kliniki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania WANANCHI CHEMBA KUNUFAIKA NA KLINIKI YA ARDHI

    DODOMA Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba kwa siku tano. Kliniki hiyo iliyoanza Oktoba 5, 2026 katika Ofisi za Ardhi Wilaya ya...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania WIZARA YA ARDHI YAJIPANGA KUSOGEZA KLINIKI ZA ARDHI KATIKA MICHEZO

    KILIMANJARO Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) ili kuzidi kusogeza huduma za ardhi kwa...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya ardhi kahama yarahisisha upatikanaji wa hati

    • Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijitali wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi. Wito huo umetolewa na Afisa...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Kliniki Geita

    Msajili wa Hati Nchini, Bw. David Mshendwa, amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chato, Bw. Louis Bura, Hati Miliki aliyopata kupitia Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani Geita. Kupitia Kliniki hiyo, wananchi wanapata fursa ya kupata elimu na ushauri kuhusu...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya ardhi Kahama yarahisisha upatikanaji wa hati

    • Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijiti wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi. Wito huo umetolewa na Afisa...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Musoma awahamasisha wananchi kushiriki Kliniki ya Ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara, Juma Chikoka, amewahimiza wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza katika Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika Viwanja vya Mara Sekondari, ili kupata elimu na huduma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ardhi. Aidha, Chikoka amesema kuwa yeye binafsi atashiriki...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya Ardhi Mbeya yahudumia wananchi 227, hati 57 zagawiwa

    Chunya, Mbeya Wananchi mkoani Mbeya wanaendelea kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi Kidjiti inayoendelea wilayani Chunya, ambapo jumla ya wananchi 227 wamepata huduma, Hatimiliki 120 zimesajiliwa huku Hati 57 zikitolewa kwa wananchi. Kwa upande wa mapato, mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Akwilapo azindua kliniki ya ardhi ya kidijiti Mtwara

    MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara huku akiwataka wananchi kutumia fursa hiyo kupata elimu na huduma mbalimbali za ardhi, ikiwamo upimaji, upangaji na umilikishaji. Uzinduzi huo umefanyika...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mwanza waendelea kuufaika na huduma za ardhi kupitia ardhi kliniki

    Wananchi mkoani Mwanza waendelea kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi, ikiwemo elimu, ushauri na utatuzi wa changamoto zinazohusu masuala ya ardhi. Kliniki hiyo inaendeshwa katika mikoa yote Tanzania Bara ambapo ilianza Septemba 22 na itahitimishwa Oktoba 03...
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya Ardhi-Iringa

    Wananchi Iringa wamejitokeza kupata huduma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ardhi katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika viwanja vya Posta Garden, Iringa Mjini. Kliniki hiyo inatoa fursa kwa wananchi kupata elimu, ushauri na huduma mbalimbali za ardhi kwa urahisi, ikiwa ni sehemu ya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa kulipia Huduma ya kliniki kwa mama wajawazito zahanati ya lilahi (Songea- RUVUMA)

    Mama wajawazito wanalipia Tsh 10,000 Huduma ya kliniki (Zahanati ya Lilahi - Songea)
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya Ardhi yafanyika kuelekea wiki ya Afya mahala pa kazi Njombe

    Katika kuelekea wiki ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi mwaka 2026 Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Njombe pamoja na Halmashauri ya Mji zimeanza kutoa huduma za Kliniki ya Ardhi kwa wananchi katika viwanja vya Mjimwema, mkoani Njombe April 26, 2026. Akizungumza katika Kliniki hiyo...
  13. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya Ngozi Na Nywele Bure Online Wiki Hii

    Dr.Mussa Zaganza nimekuwa kwa muda mrefu nikiwasaidia watanzania ushauri wa kutunza ngozi zao na nywele kwa njia za asili.Na Wiki Hii nimeandaa klinik ya ngozi na nywele kupitia group la whatsapp ambapo utapata kujifunza yafuatayo: 1.Makundi 4 ya ngozi, na makundi 3 ya nywele,jinsi ya kuipima...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mtembwa: Samia Ardhi Kliniki, Chachu Ya Kupunguza Migogoro Ya Ardhi Simiyu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani. Jaji wa Mahakama Kuu ya...
  15. IsaacMG

    JamiiForums Tanzania Wapi palipo na huduma nzuri za kliniki kwa wajawaziyo mkoa wa Mwanza?

    Habari wana Jf, mke wangu ana ujauzito wa wiki nane Kwa mjini wa ultrasound, ila amekuwa akipitia kipindi kigumu Sana ikiwemo tumbo kuuma sana Jambo ambalo naona kuwa linaweza kuwa hatari kwake. Sasa nilikuwa naomba kufahamishwa hospital inayotoa huduma nzuri ya klinic kwa wajazimzito pamoja na...
  16. Munamuge

    JamiiForums Tanzania Kliniki za Matibabu ya kibingwa wilayani kutokujumisha Wafamasia Bingwa na Wateknolojia Bingwa wa Maabara za Afya kwenye jopo, Haijakaa sawa

    Salaam, mimi nilie mdogo kati yenu nawasalimu. Kwanza kabisa napenda kutambua mchango mkubwa na matokeo chanya yatokanayo na kampeni ya huduma za kibingwa katika Hospitali za wilaya na baadhi ya Vituo vya Afya zinazoendelea nchini kote. Mwezi May mwaka huu, kampeni hizo nadhani zimeanza awamu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto, makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini

    Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto,makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini Utangulizi WAKATI nchi nyingi duniani zikiendelea na mkakati wa kuboresha sekta ya afya ili kufikia agenda ya 2030 Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) lengo 3...
  18. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ummy: Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya Mifupa MOI ambapo lilianza kutekelezwa zaidi ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yawezesha uanzishwaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu Kigoma RRH

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dkt. Jesca Leba ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kuwezesha upatikanaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma - Maweni. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba - MNH, Dkt. John Rwegasha Dkt. Jesca ambaye...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DC Mtatiro ataka Sheria itungwe kuwakamata Wanaume ambao wenza wao watachelewa kwenda Kliniki

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Wakili Julius Mtatiro, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya hiyo, kukamilisha haraka utaratibu wa kutunga sheria ndogo itakayohusisha kuwakamata na kuwatoza faini, wanaume ambao wake zao, wenye ujauzito watachelewa kufika kwenye vituo vya Afya kuanza kliniki. Chanzo: ITV
Back
Top Bottom