mafao

 1. denooJ

  Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

  Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema "Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
 2. kisugujira

  NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

  WanaJF, Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
 3. BLUE BALAA

  Naomba ufafanuzi wa uhalali wa mafao kwa mwanandoa Mwenza

  Naomba kupata ufafanuzi wa yafuatayo, Nina kaka yangu ana mke wa ndoa na wameshaishi na mke wake kwa miaka 30. Huyu bwana anafanya katika taasisi moja ya fedha mjini Mwanza. Bwana huyu ana mwezi sasa tokea astaaf hivyo anasubiria mafao yake. Familia yake iko mjini Tanga ila cha ajabu plan zake...
 4. H

  Msaada aliyepata mafao baada ya miaka 7 ya kazi 2019

  Nimefanya kazi kwa miaka 7, hatimaye kibarua kimefika tamati. Mwezi uliopita nikaenda ofisi za Mafao - Ubungo Plaza nikaambiwa niwasilishe madai lakini hawajapewa muongozo toka juu kuhusu kulipa watu ambao ni Expert. Hivyo madai yangu yatapokelewa na kuwekwa pending mpaka pale muongozo...
 5. steve111

  Kuchukua mafao NSSF mpaka miaka 55?

  Poleni na majukumu wakuu. Nilikuwa nafanya kazi sehem X sasa nimeamua kuacha na kuendelea na maisha mengine, sasa nimeenda NSSF kuchukua michango yangu naambiwa mpaka nifikishe Miaka 55? Hii hatari sana. Wanajamvi hii imekaaje?
 6. U

  NSSF Tanzania na mzunguko mrefu wa ulipaji mafao

  Habari wanajamvi! Hoja yangu ni kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF kuwa na mzunguko mrefu kwa wateja wanaodai mafao yao. Wanachama tumekuwa tukikatwa fedha kila mwezi na mwajiri hivyo hivyo kwa ajili ya kumsaidia huyu mwajiriwa pindi anapokosa ajira, kustaafu, na faidi zingine kama...
 7. Roving Journalist

  Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

  UPDATES: Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Rais Magufuli anawasikiliza na anataka kila mtu aongee na kutoa dukuduku ili aweze kuongea. Viongozi wa vyama vya...
Top Bottom