Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 783
- 525
Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato.
Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri wakuu na spika, kwadhiki gani waliyonayo, baada ya kutufikilia wazee tuliotumikia Taifa tena kwa uzalendo hatukufisadi hatukuibia.
Nchi mtuongeze hata kidogo mnafikilia wenza wa Malais ambao wanalipwa vizuri wanatunzwa na serikali wamepewa nyumba za kuongezwa magari yanayohudumiwa na serikali na bado tuwaongezee pensheni. jamani, hivi wanaotusaidia wanatuonaje? Lakini niulize Wabunge tuonaje sisi wananchi?