Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi...
Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi...
Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa?
Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16.
SWALI
Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam?
kwa waislam hili limewekwa wazi pamoja na faida yake
Sura ya An-Nisa...
Wakuu,
Njooni tuongee mahusiano. Yaani huko mtaani kuna mtu unajua kabisa anapigwa anavunjwa mpaka viungo na Mpenzi/ mumewe lakini haondoki
Tena cha kushangaza unakuta ndo wanazidi kuzaa na watoto. Unajiuliza ni kwamba hawaumii au mapenzi ni muhimu kuliko uhai na usalama wao?
Ukiuliza...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shellukindo, Mei 17, 2024 amefungua Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania.
Mafunzo hayo yaliyotolewa na wanadiplomasia wakongwe Balozi...
1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test)
Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake.
Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia...
Habarini wana jamvi
Kuna mdogo wangu mda si mrefu may anahamia mkoan
Leo niko na dogo anauliza kakaa hivi unawezaje kuishi mume dar mke mkoan and vv
Dah hizi kazi majaribu sana nkamwambia mtegemee mungu atakutun,zia mkeo
Shida bora angekuwa anaenda moro ama dodoma aje weekend weeee...
Kama mwenza wa Rais anapata kiinua mgongo hata watumishi wengine wana haki kwa sababu mwenza wa Rais sio mtumishi wa serikali iweje apewe malipo na serikali? Kama hoja ni kumtuliza Rais hata engineer anatulizwa na mkewe au mumewe arudipo nyumbani.
Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi...
Miss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto wengi zaidi ya asilimia 20 walibainika kutokwenda shule. Wawapo shuleni wanakosa chakula huku...
Habarini za asubuhi wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye
Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa
Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini, ana utajiri gani, anasali dini gani, kabila gani n.k
Umewahi jiuliza familia zinazovamiwa na...
Wanandoa 61 wamepeleka maombi ya talaka kwa ajili kuvunja ndoa zao katika Baraza la Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe kwa kipindi cha mwezi mmoja na wiki mbili kuanzia November hadi December 20 mwaka huu.
AyoTV imezungumza na Mwenyekiti wa Baraza hilo Muhimba Payovela...
Umoja wa Wenza wa viongozi "New Millenium Women Group" wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ilivyokabiliana mafuriko yaliyosabisha maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang, Mkoani Manyara.
Akizungumza na waathirika katika kambi iliyopo...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama.
Akizungumza na...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama.
Akizungumza na...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama.
Akizungumza na...
Salma Kikwete ambaye ni Mwalimu Mstaafu wa Oystrbay Primary, Mbunge huko Mtwara na pia Mmiliki. wa WAMA -NGO ya Kitajiri:
Ikumbukwe huyu Salma Kikwete alikuwa Mwalimu shule ya Msingi{elimu yake nadhani mnaijua} , kakatishwa kazi , mshahara wa Certificate ya ualimu ni 420,000/kwa mwezi mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.