• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

hospital

 1. Mlachake

  Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital

  Worrying development Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital. The Kenyan government, through the Ministry of Health (MoH), on Wednesday revealed that one of the patients who tested positive for Coronavirus escaped the isolation facility at...
 2. N

  Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

  Hapa kwenye hili suala la Corona sijui zitafanyika siasa za kishamba kama za chakubanga au wataamua kuwa wakweli? ama kwa hakika awamu ya tano tumepatikana ila laana hii yote itabewa na wewe Jk ulitufanya vibaya sana 2015. kama kweli umeingia DSM tujitayarishe kuputika labda kuna watu...
 3. shamimuodd

  Wafiwa wazika nguo tu baada ya kushindwa kulipa gharama za matibabu na Mochwari Hospitali ya Bungando

  GTs, Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu. Na hili limetokea mwezi huu, na...
 4. Sky Eclat

  Naibu Waziri wa Afya Dkt Ndugulile: Ni marufuku Hospitali kushikilia maiti kwa kile kinachotajwa hadi pale gharama za matibabu yake zitakapolipwa

  Serikali imepiga Marufuku Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati zote nchini kushikilia maiti kudai fedha iliyotumika katika matibabu. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa afya Dk. Faustine Ndugulile wakati akiwa ziarani katika Kata ya Kileo mkoani Kilimanjaro. Hatua hiyo ya Serikali...
 5. LIKUD

  Naomba kujuzwa Shule ya sekondari nzuri kwa mtoto wa kike

  Heshima mbele wakuu, Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike Ninachohitaji: 1. Iwe nzuri kitaaluma. 2. Kimazingira. 3. Kimalezi. I prefer shule inayoendeshwa na taasisi ya kikatoliki. Mtoto anasoma...
 6. kidadari

  Hospital nzuri (PRIVATE) ya kujifungulia mjini Moshi

  Salam wanabodi:Naomba anayejua hospital nzuri kwa kujifungulia mjini moshi-Kilimanjaro ila iwe na-: -huduma nzuri -iwe ya private -inakubali bima(NHIF)
 7. Kusamburo

  Mwanangu hawezi kukaa naomba ushauri wa matibabu

  Nina mwanangu ana umri wa miaka 2 sasa. Hawezi kukaza kichwa wala hajaweza kukaa. Nimeenda hospitali hadi leo ni mazoezi tu tatizo hasa sijalijua. Naombeni mwenye kuelewa anieleweshe nitashukuru. Nipo Zanzibar. MAONI YA WADAU: === ===
 8. Jamii Opportunities

  Hospital Administration at Kingdom’s Business Company limited (KCBL)

  Kingdom’s Business Company limited (KCBL) is in the Process of Establishing a University in Mwanza City-Tanzania and one of required pre-requisite is to have the required caliber of academic staff. We hereby invites applications from suitable and qualified individuals from all over East Africa...
 9. Sibonike

  Hospitali ni zaidi ya majengo

  Wengi mtakuwa mmesikia jinsi serikali ya awamu ya tano inavyojinasibu kuhusu ujenzi wa hospitali za wilaya, vituo vya afya na zahanati. Maeneo mengi kuna ujenzi unaendelea na Waziri Jafo yupo kila sehemu akikagua. Ni jambo jema lakini kuna maswali ya kujiuliza. Ujenzi huo si sawa na barabara au...
 10. O

  Naomba kujuzwa hospitali ya magonjwa ya watoto kwa Dar es Salaam

  Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam. Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana. Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
 11. kituli one

  Msaada wa nyumba nzuri ya kulala wageni karibu na maeneo ya Hospitali ya Muhimbili

  Wakuu salama, Naomba msaada wa kupata lodge nzuri na yenye bei nafuu kuanzia 20,000 hadi 30,000 maeneo ya jirani na Muhimbili hoapitali. Mke na mwanangu wanakuja huko hospitali
 12. Influenza

  Mwai Kibaki adaiwa kulazwa Nairobi Hospital. Msaidizi wake apinga taarifa hizo

  Rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki (88) anadaiwa kulazwa katika hospitali ya Nairobi huku familia yake ikisema alifikishwa hospitalini Jumatatu akilalamikia maumivu ya goti Kwa mujibu wa gazeti la Star, chanzo kutoka ndani ya familia kimeeleza kuwa Kibaki alipelekwa hospitali kwa ajili ya...
 13. Percy

  Hivi Tanzania kuna hospitali inayotoa huduma ya kuchoma sindano ya sumu kwa hiyari kama ilivyo ughaibuni?

  Kama tunavyoona nchi za wenzetu hiki kitu kipo sana mfano kupitia yule mtanzania mwenzetu aliyechomwa sindano ya kifo huko ujerumani baada ya kushindwa kuvumilia tabu za ugonjwa alioupata , je Tanzania zipo hospitali za namna hii? Na je sheria zetu zinaruhusu hii? REFFER...
 14. Kibaba MFS

  alpha - Medical Practice Management System

  A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks It is a web based Application that works with all...
Top