Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,858
Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF Wastaafu Waitara na Mboma sawa?

Na GENTAMYCINE naomba Maelezo ya Kina ya kwanini Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia kaamua kuwapa hawa Wakuu wa Majeshi Wawili tu hizi Gari na kutowapa Wakuu wa Majeshi wengine akiwemo Babu yangu Mzee Musuguri? Kuna nini hadi hawa wengine hawajapewa?

Hivi Kihistoria tukiacha Unafiki na Chuki kuna Mkuu wa Majeshi aliyefanya vyema ( hasa Kipindi cha Vita na Nduli Idi Amin ) kama Jenerali David Bugozi Musuguri?

Kwa Kinywa chake akiniambia Mjukuu wake Tukuka GENTAMYCINE alisema kuwa Yeye ndiyo alimkamata Live Dikteta Amin ( ambaye pia ndiye alimfundisha Mafunzo ya Kijeshi huku Tanzania KAR ) ili ammalize ( amuue ) ila akazuiliwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na alipomuachia ndipo Nduli Amin akapata Upenyo na Kuikimbia kabisa nchi ya Uganda.

Na Rais Samia usichokijua ni kwamba hakuna CDF aliyechukiwa na Wanajeshi kama Poti wangu George Waitara kutokana na kuwa na Roho Mbaya ambayo Wakurya hawana.

CDF gani Askari wakienda Kumlinda Kwake SalaSala anawazuia hata Kunywa tu Maji ya Bomba na kuwataka watoke nayo Lugalo katika Chupa zao? Waitara sijui hii Roho umeitoa wapi na hata Marehemu Mwanao ( Kijana wako ) alikuambia uiache kwani imekutengenezea Maadui wengi.

Pongezi nyingi Kwako CDF Mstaafu Davis Mwamnyange ambaye hata ulipokuwa CDF ulipendwa mno na Wanajeshi na hata ulipostaafu Wanajeshi wanaokuja Kukulinda Kwako wanakusifia hasa kwa Utu wako wa kuwapa Chakula na Asubuhi wakiwa Wanakuaga huwa unawapa Asante todauti na CDF Mstaafu Mwenzako Waitara ambaye hana Ukarimu wowote kwa Wanajeshi wanaoenda Kumlinda.

Waziri Bashungwa tafadhali nikifika Kijijini Uzanakini Busegwe Mkoani Mara Kumzika Uncle wangu Mzee Nimrod Elirehema Mkono Jumatatu ijayo nikienda Kumsabahi / Kumsalimia Babu yangu CDF Mstaafu Mzee Musuguri naomba nilikute na Yeye Gari yake Land Cruiser LC 300 Mpya kama mliyowapa leo CDF Wastaafu Waitara na Mboma sawa?

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
 
Hapo kwenye tabia binafsi za Hao CDF umepatia kwa 99%
Kuna kamjomba kangu ni she ana miaka 23 now alimaliza kozi JKT akapangiwa kuwa msaidizi wa kazi za ndani kwa Mwamunyange kipindi wanasubiri kumaliza mikataba yao ya JKT

wakiwa wamebakiza siku chache mikataba yao kuisha Mwamunyange akawaita akawaambia kila mtu aseme anataka kuwa nan mjomba akachagua JW wengine wakachagua tiss tanapa migration and nk na wote wakapata
 
Weka Kumbukumbu walipewa lini vinginevyo ficha Ujuha wako sawa? Yaani Babu yangu CDF Mstaafu Musuguri apewe Land Cruiser LC 300 Mjukuu wake Tukuka GENTAMYCINE nisijue?
Nyumba walijengewa na Jeshi magari hawakupewa binafsi lakini waliendelea kutumia magari na ndege, za kijeshi wakihitaji na facilities zote ikiwemo kwenda kula officers mess wakitaka Wakitaka gari gari ya jeshi inaenda kuwachukua kuwapekeka watakako

Sema sasa hivi kilichobadilika ni waliopo kupewa tu magari binafsi ingawa wa zamani hawapendi hilo kuwa ajaze mafuta yeye alipe dereva yeye kwa anachopata pension hawataki wanataka ile bure kama walivyokuwa jeshini waendeshwe na jeshi kwenye gari ya jeshi nk hawasikii raha kuwa kwenye gari ya kiraia.Sasa mtu kama huyo.kama hataki unafanyaje
 
Hapo kwenye tabia binafsi za Hao CDF umepatia kwa 99%
Kuna kamjomba kangu ni she ana miaka 23 now alimaliza kozi JKT akapangiwa kuwa msaidizi wa kazi za ndani kwa Mwamunyange kipindi wanasubiri kumaliza mikataba yao ya JKT

wakiwa wamebakiza siku chache mikataba yao kuisha Mwamunyange akawaita akawaambia kila mtu aseme anataka kuwa nan mjomba akachagua JW wengine wakachagua tiss tanapa migration and nk na wote wakapata

na hapa ndipo kama Taifa tunafeli, yaani CDF mstaafu anaamua tu kutoa ajira kwa mapenzi yake na si kuangali competence na uaminifu wa wahusika na sio kuonyesha tu roho yake nzuri.
 
Labda serikali ilivyogundua mzee ana mjukuu popoma wakaamua kusitisha zoezi.

Watakua kweli waligundua huyu mjukuu kimeo anaweza kurukwa na akili akaanza kuzunguka na LC 300 mikoa yote ya watani zake kuwalingishia angeanzia kigoma abebe mawese, aende kagera abebe senene, aende singida abebe mafuta ya alizeti gari ingechakaa haraka wameona wamkomeshe ndio kaamua kulialia hapa,
 
Weka Kumbukumbu walipewa lini vinginevyo ficha Ujuha wako sawa? Yaani Babu yangu CDF Mstaafu Musuguri apewe Land Cruiser LC 300 Mjukuu wake Tukuka GENTAMYCINE nisijue?
Waapii wewe. Eti mjukuu unapendaga sifa zakijinga ukishashiba viporo vya kande na kuvimbiwa
 
na hapa ndipo kama Taifa tunafeli, yaani CDF mstaafu anaamua tu kutoa ajira kwa mapenzi yake na si kuangali competence na uaminifu wa wahusika na sio kuonyesha tu roho yake nzuri.
Nadhani hapa itakuwa imetumika ile Dhana ya power of recommendation and the source of recommendation.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom