Wakuu kuna Binti ndoa yake Ina changamoto sana ye na mumewe....mumewe anamnyanyasa mno,kwa kushirikiana na mama mkwe,yaan mama mkwe katoka mkoani hadi mjini anapoishi mwanae wa kiume,ili tu aje kupambana na mke mwana ili aondoke!
Picha linaanza jamaa amuachii hela ya kula mkewe,watoto anawapa...