Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala.

Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi.

Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao.

Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
 
Kamanda ule mkutano wako na waandika habari juu ya wewe kujivua uanachama wa CHADEMA ulifanya?Wadau walikushauri ubadili kabisa na jina ujiite Kamanda Aliyechoka ,mbona haujafanya hivyo?
 
Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala.

Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi.

Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao.

Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
Wewe tena?
 
Back
Top Bottom