doctor

 1. feyzal

  Naomba kujua utofauti wa Bachelor of Medicine na Bachelor of Surgery vs Doctor of Medicine

  Habari wa kuu. Nikiwa naperuzi kuangalia kozi mbalimbali kwenye guide book ya TCU kwa mwaka 2024/2025 nilipofika chuo cha kampla nikakuta hiyo kozi. Naomba kufahamisha utofauti wake kimajukumu katika kozi hizo mbili.
 2. davyventure the great

  Bsc in doctor of medicine cuhas -Bugando ,st Francis- ifakara,kcmc -kilimanjaro

  Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD) ufundishishaji , theory,field na mazingira ya kusomea .natanguliza shukran wakuu
 3. Mwl.RCT

  SoC04 The Digital Doctor is In: How Telemedicine is Transforming Mental Healthcare Access in Tanzania

  The Digital Doctor is In: How Telemedicine is Transforming Mental Healthcare Access in Tanzania Introduction In the heart of rural Tanzania, Amina, a young mother of three, grapples with the suffocating weight of anxiety. The nearest mental health clinic is a grueling six-hour journey away, a...
 4. Mcheza Piano

  Kidogo nimpige vichwa huyu Daktari

  Umri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu. Baada ya kuniona akaniambia natakiwa niache punyeto maana inanizeesha, aloo hasira zilipanda kidogo nimrukie...
 5. Neverregular

  Natafuta MKE mwenye CPA(T), Doctor of Medicine au HR😎

  Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs Nipo Dar es Salaam Natafuta Mke wa kuoa. Vigezo: ●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌 ○Umri 24-48😎 ●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵 ○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃 ●lazima awe na Bubbly Ass🍑 ○ kuhusu...
 6. 2 of Amerikaz most wanted

  Jonny Kim become a doctor, navy seal and astronaut all before he turned 37 years old

  Jonny Kim, born on February 5,1984 in Los Angeles, California to South Korean immigrants. has achieved the remarkable feat of becoming a Navy SEAL, a doctor and a Nasa astronaut before he reaching the age of 37. His journey included earning a silver star as U. S. Navy SEAL, completing over 100...
 7. Ashampoo burning

  Doctor Masharubu wa times FM ni muongo sana

  Huyu Doctor Masharubu kwa Times FM watu wanaomjua Wanasema ukoo wao ulimtenga kwa uongo Doctor masharubu ni mzee wa kamba sana
 8. Jaji Mfawidhi

  Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

  Marekani ambayo kabla kupata uhuru mwaka 1776 , ilitawaliwana Uingereza na wakapata Rais wa kwanza George Washington. Tangu wapate uhuru, haijawahi kutokea Rais yeyote , awe msomi wa chuo, daktari wa hospitali[MD] au wa falsafa phD,au mjuzi wa hesabu [CPA] ambaye amewahi kujinasibu na prefix ya...
 9. M

  Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

  Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5 Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi Kuja Dar ku strugle Nimepambana from 2014 up to this moment MUngu akanibariki kiuchumi kwa kiasi...
 10. Jamii Opportunities

  Consultant Medical Doctor at Tindwa Medical and Health Services (TMHS) October, 2023

  Position: Consultant Medical Doctor Education Work requires Bachelor Degree in Medicine or Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS from reputable University or Institute.) Training • Advanced Cardiac Life Support (ACLS) or Advanced Life Support (ALS) or equivalent • Advanced...
 11. Mjukuu wa kigogo

  Babu wa Loliondo: Kielelezo cha spinning doctor

  Enzi hizo spinning doctor ilifanikiwa sana Kwa kiasi kikubwa tofauti na leo. Ndio maana Dowans Scandal ilikufa kifo cha mende. Swali je, kwa sasa spinning kupoteza nguvu ni uelewa kwa sasa kuwa mkubwa kwa watu au elimu inatolewa ipasavyo.
 12. Jamii Opportunities

  Health Volunteer – Medical Doctor at CCBRT

  Position: Health Volunteer – Medical Doctor Ref: 2023-26 The role Examining and treating patients in both the outpatient and inpatient departments, which includes running scheduled clinics, screening of patients, admitting patients to the ward, prepare operation lists and update Senior...
 13. T

  Msaada: Nahitaji Daktari yeyote anisaidie

  Nimepatwa na mtihani mmoja mzito na sijui kinachoendelea kwa sasa naomba kama kuna doctor humu asiye judge makosa ya mtu nimuelezee anipatie ushauri kwa sababu ni jambo gumu kidogo kulielezea ana kwa ana.
 14. Moronight walker

  FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

  Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi (cha afya), akiwa na mchepuko, Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.
 15. Jamii Opportunities

  Medical Doctor at Peking Health Care Limited May, 2023

  Peking Healthcare limited’ Anewly growing company located in Ilala-Dar es Salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of her dispensaries located in Ilala-Dar es Salaam. Currently there is one(01) vacancy to be filled. If you...
 16. J

  Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

  Nipo full registered medical board na nina Active License. Nipo Dar kwa sasa ila popote nakuja, part time or full time.
 17. Hemedy Jr Junior

  Daktari anamiliki "pharmacy" dawa anaiba hospitali halafu anadai ajira inalipa

  Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo. Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na...
 18. Wadiz

  Tuliosoma nao wakishakuwa Madaktari wa Falsafa(PhD) wanajikuta sana. Hivi inawasaidia nini?

  Wasalaam JF, Bila wivu ila ukweli usemwe, hawa jamaa tuliosoma nao primary, secondary na vyuo, akishapata udaktari wa Falsafa yaani PhD au uprofessa wanajikuta sana, wanajiona kama elimu yake ni uboss wakati elimu ni yake na maisha ni yake, kama wewe ni Frank, Anna, Rachel , Juma hilo ndio jina...
 19. F

  Kwa mujibu wa Vyuo Vikuu Duniani, watu waliyopewa Udaktari wa Heshima wasitambulishwe kama ‘Doctor’

  Ndio maana hatukusikia ‘Doctor Julius Nyerere’ japo alikuwa na doctorate za heshima zaidi ya sita. Kwa mujibu wa wanataaluma na mapokeo ya vyuo vikuu duniani wale waliopewa doctorate za heshima hawapaswi kuitwa doctors kama wale waliosomea PhD. Soma hapa: Should Recipients of an Honorary...
Back
Top Bottom