majadiliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya majadiliano na Bank kuu ya Dunia (WB)

  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Awakaribisha Wakenya 5,000 Katika Majadiliano Ya Vision 2060

    Rais William Ruto anatarajiwa kuwa mwenyeji wa zaidi ya Wakenya 5,000 kutoka kaunti zote 47 katika mkutano wa kitaifa unaofanyika leo, Jumatano, Agosti 12, 2026, katika KICC, Nairobi, kujadili mwelekeo wa Kenya kuelekea Vision 2060. Mkutano huo unaashiria mwanzo wa ushirikishwaji wa umma katika...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wajumbe 11 wa Congress watua Dar, wafanya majadiliano muhimu na waandamizi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress). Ujumbe huo uliongozwa na Ronny...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  5. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini mandhari na uzuri wa asili kwa kuuangalia tu au kusikia sauti za uzuri huo unamkosha sana binadamu? Majadiliano na atheists Ep5

    ‎kwa dakika moja fikiria hii: umesimama kwenye fukwe ya bahari jioni Jua linazama. Rangi nzuri za machweo ya jua zinaenea angani kama picha iliyochorwa na mkono wa ustadi usio wa kawaida. Moyo wako unashikwa na kitu kitu ambacho huwezi kukieleza kwa maneno hisia ya kwamba unashuhudia kitu...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Je, Tutafika Kweli? Tunapotazama Majadiliano ya Bunge

    Swali la kujiuliza ni hili: Je, kweli tutafikia malengo ya maendeleo ya taifa kama mijadala mingi katika Bunge inaishia kwenye masuala madogo kama ujenzi wa vyoo, madawati na majengo ya shule? Hili ni swali muhimu hasa tunapotazama malengo makubwa ya taifa kama yale yaliyowekwa kwenye Tanzania...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Azaki agusa umuhimu wa majadiliano ya kitaifa

    Geneva, Uswisi. Kiongozi wa asasi za kiraia nchini Tanzania, Martina Kabisama, ameangazia maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania katika kuimarisha haki za binadamu, mshikamano wa kijamii na majadiliano ya kitaifa wakati wa kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea mjini...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Dk Bagile: Majadiliano ni msingi wa uponyaji na mustakabali wa Taifa

    Geneva, Uswisi. Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Women in Social Entrepreneurship, Dkt. Astronaut Bagile, ametoa wito kwa Serikali, wadau wa maendeleo, asasi za kiraia na wananchi kwa ujumla kuimarisha majadiliano ya kitaifa na mshikamano wa kijamii ili kuponya majeraha ya kitaifa na kujenga...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Majadiliano: Wapalestina kupelekwa Sudan Kusini

    Ikiwa ni kweli; Je, viongozi wa Sudan Kusini watajifunza kutokana na historia au watatanguliza njaa zao? Kipindi kile Janjaweed wanawaua Wasudan weusi, wanahistoria wakasema kuwa, Wasudan weusi ndiyo walikuwa wenyeji wa Sudan na ndiyo waliwakaribisha Waarabu lakini mwisho wa siku Waarabu wakawa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SADC na Marekani kuanzisha jukwaa la majadiliano

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanalalamikia sana muundo wa muungano na kusahau muungano ulifanywa haraka sana bila majadiliano ya kina ili kuwaokoa wasichinjwe

    Ilikuwa hivi, tarehe 12 January, wazalendo wa Zanzibar, karibu wote weusi, walichukua silaha za jadi na kuteka ghala la silaha kisha kfanya mapinduzi kuuondoa utawala wa Kiarabu visiwani. Wakiwa wamejaa shamra shamra za mapinduzi walianza kuwachinja waarabu na kufanya mauaji makubwa mengi yasiyo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua

    24 May 2025 Mahmoud T. Kombo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua.. https://m.youtube.com/watch?v=wJscmF_-oEw Waziri Kombo alikuwa akizungumza leo Mei 24, 2025, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Zelensky amewasili Uturuki kwa Majadiliano huku Putin ameshindwa kuhudhuria

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan Kando na hayo Rais wa urusi voldmil putin yeye ametumiwa wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo hayon na...
  14. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Tanzania inathamini ushirikiano wake na Umoja wa Ulaya na iko tayari kwa majadiliano ya wazi, ya kuheshimiana na yanayotegemea ushahidi.

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya (8 Mei 2025) Dar es Salaam, 8 Mei 2025 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetambua azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati Tanzania...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  16. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania McGara B pigania platforms za Energy Summit, achana na events za Kiswahili!

    1. Gara B achana na events za kujazana ujinga. Nyoosha kiingereza chako ingia dimba za kimataifa (level za Energy Summit). 2. Jifunze kwa moderators wa sessions za huu Mkutano. Kama kichwa si kizito, pambana platforms za kimataifa atatoboa.
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uingereza wamebaki na hifadhi ya Gesi ya Wiki moja tu huku Tanzania majadiliano ya Mradi wa LNG yakichukua mwaka wa 4 sasa hayajakamilika

    Kusema ukweli kuna muda huwa naamini nchi yetu imerogwa. Au ilishawahi kurogwa huko nyuma. Tangu vita vya Ukraine kuanza Gesi imekuwa bidhaa adhimu na ya thamani sana duniani. Mataifa mbalimbali yenye Gesi yalichangamka kuanza uzalishaji na yale yanayozalisha yalizalisha zaidi na kutengeneza...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Majadiliano ya Dini yanayokuja Tanzania hayana mashiko.

    Majadiliano ya kidini baina ya wafuasi wa dini mbalimbali yamekuwa yakijadiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Wengine wanaamini kuwa haya majadiliano ni muhimu kwa kukuza uelewa, uvumilivu na amani kati ya watu wa dini tofauti. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa majadiliano haya yanaweza...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga: Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies - IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi asilia kuwa Kimiminika – LNG na yakikamilika Serikali itaupeleka kwenye...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa nashauri tukubaliane kwa kauli moja kwamba majadiliano ya katiba mpya yaanze rasmi baada ya uchaguzi mkuu 2025

    Kutokana majukumu ya maandalizi mazito ya kazi za kikatiba kitaifa, kwa mfano ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini nzima, pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025.. Mambo haya muhimu kwa taifa, yanahitaji muda mwingi wa kutosha kijipanga na kuyaandaa, yanahitaji umakini, utulivu, uangalifu...
Back
Top Bottom