waziri bashe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kwani Tanzania ina hazina ya mchele. Hata hivyo, muda si mrefu...
  2. K

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha. Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare interest' ,Sina mahusiano ya aina yoyote na NGO iliyoleta mchele wa msaada wenye virutubisho kutoka...
  3. BARD AI

    Waziri Bashe: Upatikanaji wa Sukari hauhusiani na masuala ya Kidini

    Bashe ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya uhaba wa Sukari kumalizika kabla ya Mfungo wa Ramadhan ===== Salaam Ndugu Zangu, Ningependa kutoa ufafanuzi wa kauli yangu iliyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari wakati wa maswali na majibu kwenye mkutano na wahariri uliofanyika Ikulu, Dar es...
  4. Justine Marack

    Nahitaji kukutana au kuwasiliana na Waziri Bashe

    Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninayo haki na wajibu wa kukutana na kiongozi wangu yeyote na kubadilishana naye mawazo ili kujenge nchi yetu kwa pamoja. Mimi nimebehetika kukaa katika biashara ya mazao na pia kulima mazao katika mikoa minne ya kanza ya Magharibi na kusini. Nimefanya export ya...
  5. B

    Tanzania na Kilimo cha Mtandaoni: Je, Waziri Bashe anaifahamu jamii ya wakulima Tanzania?

    Asalam, Leo nimeona sio mbaya kujadili mada hii, NBS inaonesha karibia 65% ya Watanzania wanajihusisha na kilimo. Kilimo cha kujikimu na kiasi kidogo kubadilishia mboga. Tukichanganya ufugaji na uvuvi kama sehemu ya kilimo (maana karibu wate hawa ni wabangaizaji) basi ni 83%. Sasa maswali...
  6. No overtaking

    Waziri Bashe na Wabunge wote wa Mkoa wa Kagera hiki kilio cha Wakulima wa Vanilla kiko mikononi mwenu

    Hapa sina cha kuongeza Video inajieleza yenyewe. Nimetaja Kagera tu sababu ndiyo sehemu video ilipochukuliwa tangu mwezi wa tano na mpaka sasa hakuna lolote lililofanyika. Kila mara inasemwa kwamba wakulima katika Mkoa wa Kagera wana nafasi kubwa sana ya kuuza mazao yao nchini Uganda ambapo...
  7. F

    Spika sio msemaji wa serikali. Kuhusu suala la mahindi spika Tulia acha kumsemea waziri Bashe na serikali, sio kazi yako!

    Mjadala wa mahindi inashika kasi bungeni namuona spika Tulia Ackson akiitetea serikali kuhusu sakata la kufungwa kwa mipaka kuzuia usafirishaji wa mahindi nje ya nchi. Kinachonishangaza ni spika kuzungumza na kutoa maelezo kuhusu msimamo wa sirikali na utaratibu unaopaswa kufanyika. Hivi hii...
  8. Justine Marack

    Hongera waziri Bashe, hongera Serikali. Lakini ongezeni haya kwa ufanisi zaidi

    Serikali imesikia kilio cha watanzania. Ilifikia WAKENYA na Wanyarwanda wanakuja Tanzania na kuingiza Mashambani kulangua mazao, mpaka kulangua mazao mabichi yakiwa shambani. Nimeshuhudia Mnyarwanda anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa mkulima ili aje amlipe mazao. Anachofanya ni anakuja...
  9. BARD AI

    Waziri Bashe apigilia Msumari marufuku ya kuuza Mazao nje ya Nchi

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kilichozuiliwa na Serikali ni watu kufanya biashara ya mazao kinyume na utaraibu. Bashe amesema hayo alipokuwa akizindua Ofisi ya kuleta mabadiliko ya sekta ya kilimo nchini jijini Dodoma leo jumatatu Juni 19, 2023 ambapo ameeleza kuwa Serikali haitaruhusu...
  10. Dr Akili

    Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Waziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo hilo akitoa sababu eti anawatajirisha wakulima, wakati ukweli ni kuwa alikuwa akiwatajirisha...
  11. robinson crusoe

    Waziri Bashe tafakari uwezo wako kabla hujaharibu kabisa sekta ya Kilimo

    Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16! Hebu tuongelee tabia na maelezo ambayo aliyatoa juu ya kilimo. Huu ni uchafu tu! Yaani waziri...
  12. Mganguzi

    Hoja nzito ya Halima James Mdee kuhusu kilimo, iliyojibiwa kipuuzi na waziri Bashe!!

    Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 . Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana...
  13. Per Diem

    Swali kwa Waziri Bashe: Kilimo gani Kitarudisha Hizi Gharama (Heka 1 milioni 17)?

    Nimeona mipango ya waziri bashe, mipango imejaa maneno matamu na porojo nyingi. Bahati mbaya wengi hupenda hizi porojo kuliko uhalisia. Bashe kwenye mipango yake kufikia 2025 wizara imepanga kuwapatia vijana heka milioni 1. Katika hesabu zake bashe anasema kuhudumia heka 1 itagharimu mil 16.7...
  14. S

    Waziri Bashe acha kuchezea Kodi zetu kwa maono mfu! Kilimo siyo filamu

    Ni mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao. *Tushaona nyanya zinauzwa debe sh 500/= na parachichi zikioza huko Iringa. *Tushaona mahindi yakioza huko Songea na Katavi. *Tushaona wakulima wa korosho wakiuza korosho kwa bei ya hasara ama...
  15. Patriot

    Waziri Bashe na wizara mnaandaa Watanzania kwa mipango ya upigaji

    Jana tarehe 20 March 2023, Rais alifungua mradi wa mashamba ya pamoja, Mradi wa Kilimo wa Vijana. Sijui kama Waziri ana lengo zuri au ni kulifanya jina lake lisikike kila wakati mbele ya Rais kwa kujitambulisha kama mchapakazi. Kama ni mpango wa Wizara, basi ni muendelezo wa udanganyifu...
  16. Leak

    Waziri Bashe uko wapi mchele mlioagiza toka nje ya nchi? Bei ya mchele imeshuka? Nani awajibike?

    Hivi karibuni Serikali iliahidi kuingiza mchele toka nje ya nchi ili kupunguza makali ya bei ya mchele na nafaka zingine! Matarajio ya watu wengi ilikuwa ni bei ya mchele kushuka na kuwasaidia watu kuweza kumuda kupata mlo Sasa imepita miezi zaidi ya miwili lakini bado bei iko pale pale lakini...
  17. HIMARS

    Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  18. Roving Journalist

    Waziri Bashe: Bei za vyakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi 2023

    BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
Back
Top Bottom