tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Tafakari Jadidifu-Je CCM Ndio Tatizo au Wana CCM Ndio Tatizo?

    Nimeweka Kakura Kadogo Hapo Kaende Pamoja na Swali Letu Je kwa Upande wa Nchi yetu na Changamoto zetu,Je CCM Ndio Tatizo au Wana CCM Ndio Tatizo? Kama CCM Ndio tatizo Kikibadilishwa Jana Utakuwa sawa tuendelee kutawaliwa kama tulivyo? Kama Wana CCM Ndio tatizo Je Tukiwaondo wote na kisha...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Huduma ya Mwendokasi Kimara–Mlonganzila

    Tunapata changamoto kubwa katika huduma ya Mwendokasi kwenye ruti ya Kimara–Mlonganzila. Gari linaweza kuchelewa kufika kituoni kwa muda wa saa mbili hadi tatu, hali inayowasumbua sana abiria. Tunapokwenda kuulizia kwa kiongozi wa kituo, mara nyingi tunapokea majibu yasiyoridhisha, ikiwemo...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza pale Nchimbi alipomchana ukweli Rais Samia.

    Ukweli huu unauma.👇
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendi kabisa kukaa na deni – tatizo ni njia wanazotumia kulipa

    Hawa viumbe, mbali na changamoto zao mbalimbali, wana baadhi ya sifa ambazo kwa kweli zinaweza kuwasaidia sana kimaisha. Sifa ya kwanza: Wanawake wanajipenda. Kihisia, kiuchumi na hata kwenye mazingira yanayowazunguka. Mara nyingi wanajipa kipaumbele kwenye mambo yanayowahusu na wanajitahidi...
  5. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  6. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Pointi Sita: Jinsi Mfumo wa Mitihani hapa nchini Unavyopotosha Ufafanuzi wa Kihistoria.

    Sidhani kama Kila tukio la Kihistoria lilisababishwa (causes) na mambo sita na kuendelea au lilisababisa (effects ) mambo sita na kuendelea. Katika somo la history hapa nchini kumekuwa na tabia kutaka kuwaaminisha wanafunzi kuwa kila tukio la Kihistoria limesababishwa na mambo mengi sana. Ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo moja kubwa: Woga mkubwa wa Samia kwa Lissu sio mzuri !

    Uoga mkubwa ambao anaonyesha Samia kwa Lissu hauna tija kwa jamii. Lissu anahitaji kuheshimiwa sio kuogopewa. Ukiwa Raisi hata kama fake ni vibaya kuogopa mtu kwa kiasi hiki maana usipokuwa makini kama sasa Samia atabomoa kila sheria za bunge na mahakama kwasababu tu ya uoga. Sasa Watanzania...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanaohusika kudai fedha za ‘parking’ kwa kusimamisha magari barabarani, wamekuwa kero kwa Wananchi!

    Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari. Hii hali ina kera sana kupoteza muda wa Wananchi. Wananchi kweli anapaswa hulipia lakini kwanini wasiweke njia nzuri...
  9. zaza1

    JamiiForums Tanzania TTCL: Tatizo Sio Wafanyakazi, Tatizo Ni Maono.

    TTCL ina tatizo kubwa la uongozi na maono. Inawezekanaje shirika lenye wataalamu, watu wenye elimu na rasilimali liendelee kufanya maamuzi yanayoonekana kama hayana mwelekeo wa ushindani? Tatizo si ukosefu wa vyeti—tatizo ni ukosefu wa maono, ubunifu na uthubutu wa kufanya maamuzi. Elimu ya...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Tanzania: Je, Tatizo Liko Kwenye Katiba au Kwenye Watu Wanaoiendesha?

    Tanzania imekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba mpya. Wapo wanaoamini kuwa baadhi ya changamoto za kisiasa, uwajibikaji na mgawanyo wa madaraka zinatokana na mapungufu yaliyopo kwenye Katiba ya sasa. Lakini wengine wana hoja kwamba hata Katiba nzuri zaidi inaweza...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nini cha kufanya kwa tatizo hili la kibenki!!

    Mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, nilikopa mkopo wa mwaka mmoja benki ya CRDB.Nikiwa mtumishi wa serikali niliruhusu makato kwenye mshahara wangu moja kwa moja.Makato tulikubaliana yaanze mwezi wa saba.Ajabu huo huo mwezi wa sita waliingiza mkopo na kuukata rejesho zima la mwezi. Nilipowafuata...
  12. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Magonjwa haya 10 yanasumbua watanzania wengi, Jifunze kutibu tatizo mojawapo husaidie jamii na kujipatia kipato

    1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
  13. G

    JamiiForums Tanzania Morogoro, Wilaya ya Kilombero, Tarafa ya Mang'ula Wananchi waomba msaada kuhusu tatizo la Tembo

    MKOA WA MOROGORO, WILAYA YA KILOMBERO, TARAFA YA MANG'ULA: WANANCHI WAOMBEA MSAADA KUHUSU TATIZO LA TEMBO Vijiji vingi vilivyopo katika Tarafa ya Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, vinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa. Kwa ushirikiano kati ya TANAPA, Serikali na...
  14. Vien

    JamiiForums Tanzania Hakuna mteja msumbufu: tatizo ni kushindwa kumtimizia mahitaji yake

    Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakisema kuna wateja ni wasumbufu sana, mpaka wengine wanafikia hatua ya kutotaka kuwahudumia. Kwa mtazamo wangu, hakuna mteja msumbufu; mara nyingi ukiona mteja analalamika, ujue kuna sehemu hajapata huduma aliyotarajia. Customer care ina uwanja mpana...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize: Majaliwa, Mpango sasa Nchimbi! Tatizo ni rushwa

    Mama ukiwa mchapa kazi na sio mla rushwa na unapenda haki unakuwa adui yake.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Samia na Kikwete Madaraka kwao ni bora kuliko taifa

    Kama haukubaliani na mimi tueleze kwanini viongozi hawa wanaiba kura?
  17. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kukopa trilion 51 ndani ya miaka 5 bado mradi wa SGR Unasuasua tatizo nini?

    Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
  18. Vien

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo Malipo Tiketi SGR Kupitia M-Pesa

    Mnamo tarehe 24 July 2026, mimi na mfanyakazi mwenzangu tulifanya malipo ya tiketi za SGR kupitia M-Pesa kwa kutumia control number tulizopewa. Fedha ziliondolewa kwenye akaunti zetu, lakini malipo hayakuwasilishwa kwa SGR. Tulipowasiliana na SGR, walituambia control number zilikuwa bado...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa, hoja za wapinzani hazijibiwi. Kilichobakia ni watu kutishiwa kukamatwa na kutekwa. Kwa namna hii hakuna maridhiano.

    Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM. Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi. Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
Back
Top Bottom