mwilini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo dume umejikita kama tattoo mwilini

    Wanawake wanaojiuza hupewa majina mabaya. Kama malaya, changudoa, vicheche, milupo na mengineyo. Wanaume ambao ni wanunuzi huonekana ni wajanja wa wa 'tauni' wanaojua chimbo zote za wajasiriamili hao wa kike. Thamani ya bikira ni kwa mtoto wa kike tu, wa kiume akitoka na 'demu' umri wa shangazi...
  2. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Matendo ya mwilini

    Gal 5:19-21 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, 1)uasherati 2)uchafu, 3)ufisadi, 4)ibada ya sanamu, 5)uchawi, 6)uadui, 7)ugomvi, 8)wivu, 9) hasira, 10)fitina, 11)faraka, 12)uzushi, 13)husuda, 14)ulevi, 15)ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nongo mwilini: Uhalisia wa mazoea uliopotoshwa

    Nongo ninini? Taka za mwilini: Huu ni uchafu unaojikusanya mwilini, mara nyingi kutokana na jasho lililokauka na vumbi kwenye ngozi. Wengi wamekulia kwenye mazoea ya kwamba mwili huwa hautakati kwa asilimia 100 kwakuwa una nongo ya asili ... Na kwa kuthibitisha madai yao ni matumizi ya taulo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukubwa wa Mdomo/Vidole huakisi vitu vingi mwilini mwa binadamu

    Ukubwa wa mdomo/vidole vya mkono humaanisha pia ukubwa wa maumbo ya baadhi ya viungo vingine mwilini mwa binadamu. Gen Z chagua kwa makini. Usije kujuta. Asanteni.
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wabobevu wa maandiko ni nini maana ya kuwa mwilini mmoja?(Mwanzo 2:24)

    Mwanzo 2:24 [24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh. Nimeweke na tafsiri ya kiingereza ili ilete maana yenye...
  6. upupu255

    JamiiForums Tanzania Picha inaogopesha: Aanguka na kukalia nondo iliyoinga mwilini

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 64 raia wa China alidungwa na nondo ya chuma baada ya kuanguka juu yake kutoka urefu wa takribani futi sita. Wenzake kazini walisema aliteleza alipokuwa akifanya kazi juu ya jukwaa. Mwanaume huyo kutoka Chenzhou, katika Mkoa wa Hunan katikati mwa China...
  7. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupunguza Mafuta Mwilini

    Lehemu (cholesterol) ni aina ya mafuta kama nta yanayopatikana kwenye damu na kusambaa sehemu mbalimbali za mwili. Kwa kawaida, lehemu ni muhimu sana kwa: Kuta za seli, Homoni za mfumo wa uzazi, Mishipa ya fahamu, Na hata kutengeneza baadhi ya vitamin. Ukiangalia nyama ya ng’ombe, yale mafuta...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Punguza tumbo na mafuta mwilini

    Punguza Tumbo na Mafuta Mwilini Ungependa kuondoa kitambi na kuishi na mwili mwepesi, wenye afya na nguvu kila siku? Soma kwa makini siri hii rahisi lakini yenye matokeo makubwa. Hii ni kwa wewe mwanaume au mwanamke, unaweza kuona mabadiliko makubwa ndani ya muda mfupi. Kinywaji cha Asubuhi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

    Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze machache kuhusu umeme wa mwilini unavyoweza kukusaidia kuishi au kukuharibu mazima

    Ndugu karibuni katika mada hii japo nitasema kwa uchache. Pamoja na kwamba mimi ni fundi umeme na ujenzi lakini hapa kwa leo nitazungumzia zaidi umeme ambao upo ndani ya miili yetu zaidi. Nikiwa nafanya kazi zangu za kiufundi umeme huu tunaotumia majumbani nilikuja kubaini kuna uhusiano mkubwa...
  11. Montania

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya vitu kumbea mwilini

    Habari za wakati Huu, Naomba kwa mtu aliyewahi kupona tatizo la kutembelewa na vitu mwilin kama vile mkononi, mgongoni atusaidie dawa yake ni nini? Au kama kuna mtaalamu (Daktari) anayejua matibabu ya hii hali anisaidie sababu ni hali inayokera na inatokea mda wowote. Natanguliza shukrani.
  12. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya juice ya mkaa kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini

    Kunywa juice ya mkaa (hasa mkaa wa miti au activated charcoal) ni jambo ambalo limekuwa likifanywa na watu kwa sababu za kiafya, lakini linaweza kuwa na faida na madhara, kulingana na namna inavyotumiwa. Hapa chini ni muhtasari: --- ✅ Faida za Kunywa Juice ya Mkaa (Activated Charcoal): 1...
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuogea chumvi ya mawe kuondoa mikosi mwilini mwangu

    Wakuu mko salama humu?. Baada ya kupitia changamoto nyingi za kimaisha,nikaamua kwenda kwa mganga kusafisha nyota.mganga hakua na mengi ya kunifanyia ,zaidi alinipa tu chumvi ya mawe akaniambia kila nikioga basi niiweke kwenye maji na kunuwia mahitaji yangu,mganga akaniambia nisisahau pia...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Tanzania tuna teknolojia inayoweza kuangalia Saratani inayoweza kujitokeza miaka 10 ijayo mwilini

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa nchini kutokana na maendeleo mbalimbali yaliyofanyika kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali. Dkt. Godwin Mollel amesema Shilingi Trilioni 6.7 zilizotolewa na Serikali...
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?

    Wakuu Nimetoka kwetu simiyu ndani ndani huko kabisa nimeingia mjini leo na Lori lililobeba ng'ombe. Nimekutana na hiki kinywaji hapa mjini,nikawa nakishangaa.nikataka kukifahamu ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wameamua kwenda mwilini

    Kinachoonekana sasa ni ACT Wazalendo kutazama wanayosema wanye madaraka wakiwemo wanachama wa CCM wa kawaida wanaopata au kupewa nafasi ya kuzungumza. Jambo ambalo limewanya CCM wengi kuchunga maulimi yao. ACT Wazalendo wameamua kumshitaki mtu na si kuilalamikia CCM ,anaetenda kosa na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Tanga mihogo ina kemikali hatari ya sayanaidi inaathiri mishipa ya ufahamu mwilini hasa macho

    Wadau hamjamboni nyote? Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo
  18. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kipelekea kufa

    Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa. Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea. Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
  19. Sakwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

    Habari wanajamvi! BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos. Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua

    Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua Laana ni Nini Laana ni bahati mbaya au maneno mabaya ya maapizo yanayotamkwa kumuelekea mtu fulani yeye mwenyewe au kitu fulani kinachomuhusu, kwa makusudi ya kumdhuru mtu huyo au kitu kinachomuhusu. Kwa mfano, kazi, shamba, watoto, masomo n.k. Laana...
Back
Top Bottom