Subwoofer aina ya Sea Piano SP-8800 2.1 inauzwa.
Ina support
Aux, bluetooth, sd card, USB, FM radio na ina remote. Unaipata ikiwa full box ikiwa na nyaya zake zote pamoja na kitabu cha manual.
Total output 120w
Subwoofer 80w yenye 8 inches
Speaker 2 kila moja 20w zenye 3 inches
Bei 130,000...