tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

    Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada. Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Mzee Said, unaforce kutengeneza tatizo ambao halipo. Tz ilijijenga katika misingi ya kuheshimiana dini zetu. Wewe ni udini ndio unakusumbua.

    Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa lebanon sasa inapelekea kukuumiza sana kwa kudanganya watu kuwa TANU na nyerere waliua historia na...
  3. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je hili ni Tatizo? nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa

    Wakuu sikwamba napenda kuumwa ila hali hii pindi fulani hunipa mashaka labda huenda naumwa ndani kwa ndani na sijijui.maana nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa na ikiwa nikaumwa labda kujisikia vibaya ugonjwa wangu ni mafua na home tu na baada ya siku 3 au 4 nimepona pia nikiwa na kidonda baada ya...
  5. Soul21

    JamiiForums Tanzania Kinachoitesa Tanzania si Viongozi ni Tatizo la Fikra.

    Hata leo usiku, ikiwa chama tawala kitatoka na kuingia chama kingine ili kupata viongozi wapya, taifa hili litaendelea kuwa maskini kama nguvu ya kuzindua raia haitatumika kwa dhati. Ukweli uliopo ni kwamba mabadiliko ya kweli hayaanzi kwenye kura za sandukuni pekee, bali huanzia kwenye ukombozi...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

    Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Tunatamani kupigania katiba mpya; Tatizo tunaogopa kesi za uhaini, ugaidi na uchochezi!

    Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote. Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
  8. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania HOJA Changamoto ya Visa ya China Tanzania: Tatizo ni Madalali, Sio Ubalozi

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si ubalozi wenyewe, bali ni mtandao wa madalali na watu wa kati ambao wamejijengea mfumo wa kujipatia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo mfumo wa uhakiki wiki ya nenda kwa usalama

    Nimejaribu kuangalia inspection report naona inaonyesha inspection date na valid until vinafanana yani inaisha siku hiyohiyo. Status pia inasoma expired. Je kuna tatizo la mfumo wa ukaguzi kutoka Jeshi la polisi au kwa wale waliolipia kuanzia mwezi January na kuendelea mfumo hautambui ?
  10. Vien

    JamiiForums Tanzania Aliyekatazwa asicheze na mimi utotoni, leo anashangaa maisha ninayoishi. Tatizo halikuwa mimi, bali namna alivyolelewa

    Habari wana JF. Katika jamii nyingi za Afrika, ni jambo la kawaida kabisa kusikia mzazi akimwambia mtoto wake: "Usicheze na yule mtoto." "Huyo atakufundisha tabia mbaya." "Usiende kwao." Lengo mara nyingi huwa ni jema. Wazazi wanataka kuwalinda watoto wao wasiharibiwe na mazingira. Tatizo...
  11. Vien

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hudhani Customer Care nzuri ni kuwa mnyenyekevu kwa wateja. Ukweli ni kwamba Customer Care ni uwezo wa kutatua tatizo la mteja.

    Happy Thursday wana JF. Katika somo la maadili tunafundishwa umuhimu wa kuwa na heshima, unyenyekevu, uvumilivu na lugha nzuri. Haya ni maadili muhimu sana iwe ni nyumbani, kazini, kwenye biashara au taasisi yoyote. Lakini kuna sehemu moja watu wengi wamechanganya sana. Wamedhani Customer Care...
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate)

    Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani: 1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia) 2. Kushindwa kuanza mkojo haraka unapokwenda chooni 3. Mkojo kutoka taratibu/dhaifu badala ya kwa nguvu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDSM kulipwa ‘Boom’ mara 2 kisha kuwekwa mahabusu ili walipe, Bodi ya Mikopo yasema waulizwe CRDB

    Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika. Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
  14. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Mbona sina access ya nyuzi zangu, nikitaka kuziona nazipatia wapi kwenye App?

    Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona. Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye nyuzi za watu wengine ila sioni nyuzi zangu.
  15. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Natatuaje hili tatizo la kuverify cheti cha CSE ajira portal

    Ni siku na masaa kadhaa sasa hii changamoto bado inaendea sana na nimejaribu kuwatumia email ila bado hakuna majibu kabisa.. Wenye uzoefu ukitaka kuverify cheti cha form four unatokaje hapa kama utakumbana na mkasa huu.. angalia pichani.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto mwenye uwaraza

    Hivi hili tatizo la mtoto kua na ulalavi(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili abadilike. Mwanzo akati mchanga nilijua akikua kua atabadilika lakini ndo kwanza anazidisha...
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kuchochea tatizo la kuzidi kwa acid tumboni

    1.��️ Uvutaji wa sigara 2.��️ Unywaji wa pombe 3.��️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk 4.��️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa 5.��️ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana. 6.�� Kutumia baadhi ya Madawa...
  18. mike2k

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa Kuku anafungwa, mwizi wa mabilioni anapoteza muda? Tatizo liko wapi?

    Kuna swali ambalo kila jamii inayojenga taifa lenye haki lazima ijiulize: Kwa nini wakati mwingine uhalifu mdogo unaonekana kupata majibu ya haraka kuliko uhalifu mkubwa unaohusisha fedha za umma? Mtu akiiba kuku wa jirani, ushahidi huwa rahisi kuonekana. Kuna mali iliyopotea, kuna...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukamata mtu na kumpeleka mahakamani alafu unasema upelelezi ujakamilika tatizo ni nini

    Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka. Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
  20. Mmawia

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama. Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama. Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro. Tujadili wana Jf --------------- Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro...
Back
Top Bottom