mahudhurio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huyaa Dr

    Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini? Maoni yenu wakuu.
  2. SAYVILLE

    Nini kilisababisha mahudhurio hafifu mechi ya Simba vs Wydad?

    Juzi wakati watu wanajadiliana ripoti ya mapato na makato ya mechi ya Simba na Yanga, kuna uzi nilitoa comment nikasema ile ripoti imeletwa maksudi kuiathiri Simba. Kuna mtu akanijibu kitu nikamwambia, asubiri mahudhurio ya mechi na Wydad. Mechi ya jana ya Simba na Wydad ilikuwa na mahudhurio...
  3. Andrew Ikingura

    SoC02 Sintofahamu juu ya hedhi na mahudhurio ya wasichana mashuleni

    Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
  4. Idugunde

    Mwita Waitara ashiriki uchaguzi wa ndani ngazi ya shina Tarime. Mahudhurio ni hafifu kabisa dah!

    "Wenyeviti wa mashina na wajumbe wake ni watu muhimu sana kwa sababu wanakaa na wananchi, ndiyo wanaopokea changamoto na kutupa sisi taarifa kama viongozi wao hivyo tuendelee kushirikiana ili tuweze kuwaleta wananchi maendeleo" Mwita Waitara, mbunge wa himbo la Tarime vijijini.
  5. Sky Eclat

    Tumbo la mwezi kwa vigoli (Dysmenorrhoea) iwe sababu maalum ya kukosa mahudhurio ya darasani siku mbili kwa mwezi

    Wanawake na mabinti wengi walipitia ama wanapitia maumivu ya tumbo la mwezi Dysmenorrhoea kila mwezi. Maumivu haya yana athiri uwezo wa mwili kisaikolojia, fizikia hata kujichanganya na wenzako inakuwa shida. Wengi hasa hupata maumivu haya siku moja au mbili ambazo wengine hutapika na tumbo...
  6. Zero IQ

    Mrejesho baada ya kumpeleka mwenza wangu Clinic

    Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito, Mrejesho. Niliomba ushauri wengi waliniogopesha kwenye swala la kupima Ngoma, kweli sikuwahi kuwazaga kama kuna siku nitakuja kupima Ukimwi, Nimeamka...
Back
Top Bottom