makubaliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauguzi Wasitisha Mgomo wa Siku 41 Baada ya Makubaliano na Magavana

    Wauguzi Wasitisha Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umesitisha mgomo wa kitaifa uliochukua siku 41, baada ya kufikia makubaliano na Baraza la Magavana (CoG). Katibu Mkuu wa KNUNM, Seth Panyako, alitangaza Jumatano, Septemba 9, 2026, kwamba mgomo ulioanza Julai 29 umefutwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Doyo: Tusiwaze kukodi watu kuja kuwaeleza matatizo ili tufikie makubaliano

    Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza leo Septemba 7, 2026 kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, amesema haiwezekani kukodi watu au kuita wageni kuja kusikiliza matatizo ya Taifa ili kufikia makubaliano. Doyo amerejea maridhiano yaliyofanyika...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania HERE WE GO: Vitol Bahrain E.C., kwa kushirikiana na Shirika (TPDC) na (UNOC), zimefikia makubaliano ya kujenga Refinery Tanga?

    Kampuni ya Vitol Bahrain E.C., kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Uganda National Oil Company (UNOC), zimeingia makubaliano ya kuendeleza mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi (refinery) jijini Tanga wenye thamani ya takribani Dola za Marekani...
  5. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mafuta yashuka bei baada ya makubaliano ya USS na Iran. Subiri, hapa Malawi yatapanda

    Ujumbe ni huo, hakuna zaidi Hapa yatapanda mara dufu
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria. Mambo muhimu ya makubaliano hayo ni pamoja na: ✅ Kukomeshwa kwa shughuli za kijeshi katika nyanja zote ✅ Kufunguliwa tena mara moja kwa Mlango-Bahari wa Hormuz ✅ Kuondolewa kwa kizuizi cha Marekani ✅ Iran...
  9. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Baada ya makubaliano ya Iran na Marekani kufanikiwa. Italy, UK, France na German zakubaliana kuiondolea vikwazo Iran

    Niaje waungwana Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court. Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Trump atangaza makubaliano ya kuacha vita na Iran, je utakuwa utapeli kama ule wa Gaza?

    Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran. Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake? Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo ni utapeli mtupu au DRC? Je, ni baada ya kushindwa kufikia malengo yake kisiasa au kuchapwa kimya...
  11. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Manchester United wamefikia Makubaliano ya awali na Atalanta kumnunu Kiungo Ederson kwa €45m

    HERE WE GO! Kwa mujibu wa Fabrizio Romano na Sky Sport Manchester United imefikia makubaliano ya Kumunua kiungo wa mpira kutoka Atalanta ya Italy kwa kiasi cha €45 sawa na £39 na nyongeza zinazoweza kuongezeka kama atafikia mafanikio fulani. Ederson ata sign mkataba wa miaka minne na mwaka...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Pakistan yakataa shinikizo la Trump kuhusu Makubaliano ya Abraham, yasema kuhalalisha makubaliano na Israeli 'hakukubaliki'

    Wanaukumbi. Pakistan yakataa shinikizo la Trump la Makubaliano ya Abraham, yasema kuhalalisha na Israeli 'hakukubaliki' —— Waziri wa Ulinzi wa Pakistani Khawaja Asif alikataa wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa nchi zenye Waislamu wengi kujiunga na Makubaliano ya Abraham, akisema Islamabad...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sweden na Tanzania kutia saini makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 reli ya Standard Gauge mjini Dodoma, Aprili 28, 2026

    Leo ni siku muhimu katika ushirikiano kati ya Sweden na Tanzania. Utiaji saini wa makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 za Standard Gauge Railway mjini Dodoma unaonesha dhamira yetu ya pamoja ya kuendeleza miundombinu endelevu, kuimarisha muunganiko, na kukuza ukuaji wa kiuchumi wa muda mrefu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Italy yasitisha makubaliano ya ushirikiano wa Ulinzi na Israel

    Serikali ya Italia imefanya maamuzi ya kusitisha mkataba wao wa ushirikiano wa Ulinzi na nchi ya Israel. Waziri Mkuu Giorgia Meloni alitoa tangazo hilo leo Aprili 14, 2026, akielezea kuwa uamuzi huo umetokana na mivutano na migogoro inayoendelea huko Mashariki ya Kati. Ingawa serikali ya...
  15. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Vita Kali Dhidi ya Atheists Season 1, Episode 1: Kwanini Kilamtu anajua "hiki ni kibaya au kizuri," bila makubaliano yeyote ?

    Fikiria mtoto wa jirani yako mdogo, hana kosa alafu mtu mkubwa anamtesa kwa starehe zaake tu. Jibu kwa uaminifu hilo ni baya, au ni opinion yako tu? Kama ni opinion yako tu basi mtu anayesema 'kwangu ni sawa sio vibayya' hana makosa. anakua ana opinion tofauti tu. Lakini hakuna mtu hapa...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Israel haikushiririkishwa katika makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran, hadi kufikia hatua za mwisho

    kumekuwepo na chapisho ambalio limesambazwa na chommbo cha habari cha Mwana habari kikiw na kukuu ya kuwa Israel hajafurahishwa na makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran huku Israel === Israel haikujulishwa kuhusu mpango wa Marekani wa kufikia makubaliano ya muda ya kusitisha...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Trump atishia kuiangamiza Iran usiku wa leo kama hawatofanya maamuzi ya Makubaliano kabla ya muda uliowekwa kuisha

    Kupitia Mtandao wake wa Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump amechapisha kuwa usiku wa leo inawezekana akaangamiza mji mzima wa Iran endapo hawatofanya maamuzi ya mapema ya Makubaliano ikiwa muda uliowekwa ukaisha, pia ametsihia Iran kufungua mlango wa bahari ya Hormuz Trump’s deadline...
  18. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China na Kenya zafikia makubaliano ya biashara na uwekezaji

    China na Kenya hivi karibuni zimefikia makubaliano kuhusu ushirikiano wa biashara na miundombinu. Kutokana na makubaliano hayo, kuanzia mwezi Mei, bidhaa muhimu za Kenya ikiwemo chai, kahawa, na parachichi zitaingia katika soko la China bila ya ushuru. Wakati huo huo, China itawekeza mabilioni...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Marekani kuwasilisha mpango wa Vipengele 15 Kumaliza vita, Iran yadai hakutakuwa na Makubaliano kamwe

    Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani. Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba...
  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Somalia makubaliano ya ziara bila visa

    Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu. Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia...
Back
Top Bottom