kujitetea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

    Je, ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa? Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia, anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

    Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama. Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea kupinga maazimio au watu watakaomdharau. Kama kila mjumbe ataamua kujitetea kivyake haoni kwamba...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Angela Kizigha asijitokeze kujitetea mwenyewe?

    Tangu Rais Samia alipomteua Angela Kizigha kuwa Mbunge Aprili 2, 2026 kumekuwa na maneno mengi mno kuhusu mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EALA). Chanzo cha maneno hayo ni tuhuma zinazomkabili Kizigha za kutokamilisha tenda ya ununuzi wa sare za Jeshi la...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    "......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tukiyasimamia haya, mzawa angalau anaweza kujitetea kwenye harakati za utafutaji

    Kama usimamizi madhubuti ukitekelezwa na zoezi likawa endelevu. Mzawa anaweza kuona matunda ya rasilimali na fursa zilizomo nchini kwake anaweza kunufaika. Siyo haya yaliyokuwa yanaendelea mchina kuhodhi kila kitu na mzawa kujikuta ni mtazamaji. Pia soma > Aina za biashara zilizopigwa marufuku...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tundulissu kujitetea mwenyewe,Mahakamani

    Mwanasiasa huyo wa upinzani nchini Tanzania,ameilalamikia mahakama kwa kunyimwa haki yake ya kisheria ya kuonana na kuzungumza na mawakili wake.Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameiambia mahakama hii leo Jumatatu kwamba amenyimwa...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Tundu Lissu kujitetea Mwenyewe. Huwezi jua pengine kati ya Mawakili wake kuna akina Yuda Eskarioti

    GT Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi. Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lissu siyo mjinga kuamua kujitetea, nadhani Ina maana kubwa kisheria. Soma hii kutoka mtandaoni

    In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences. Denying an...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Baba Hubezwa kwa sababu hapendi kujitetea

    Ni jambo la kusikitisha sana na la kugusa moyo namna wanaume wengi wanavyobeba maisha kama mzigo mzito usioonekana — mzigo wa kutegemewa, mzigo wa ukimya, na mzigo wa kutokueleweka. Mwanaume anaamka asubuhi mapema, mara nyingine hata kabla ya jua kuchomoza, anaenda kazini au kwenye mihangaiko...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais usitumie mabilioni ya maskini Watanzania kushinda uchaguzi au kujitetea pale unapokosea

    Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk. Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wafuasi wake hoja, ufafanuzi, kujitetea nk wangeyasema jana kwenye mdahalo.

    Kwamba mdahalo wameukimbia? Kwani Nchimbi walisema je? Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini? Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana? Viva CDM kuanza safari mpya free from "chawa wala viroboto!"
  13. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujitetea unaposhambuliwa na mbwa

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi majumbani, hii inapelekea watu kununua mbwa tu bila kujifunza tabia za mbwa kama unavyojua kuna aina mbali mbali za mbwa na wote wana tabia tofauti Mbwa wengine siyo mahsusi kwa ulinzi wa majumbani. Ni vyema ukajifunza tabia...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kama kuna aliyeenguliwa bila kufuata kanuni afuate utaratibu wa kawaida kujitetea

    Mimi kama mwanakijiji nataka Mwenyekiti aliyewiva katika kuzijua kanuni mbalimbali ...sitaki mwenyekiti mshari au lialia. Sasa kama unahisi umeonewa onesha weledi wa kupambana kupitia kanuni sio vurugu wala media.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, acha kujitetea sana kwa mchumba/mke. Watoto uliozaa na wanawake wengine kabla yake usimwambie

    Mwanaume kazi yake ni kuzalisha (kutoa mbegu). Hata ukiwa umegawa mbegu kwa wanawake 10 tofauti wewe kaa kimya tu. Usianze kumfungulia codes zote huyo mwanamke unayetaka kuishi ama unayeishi naye. Acha awajue watoto anaowazaa yeye tu, wengine hawamuhusu. Hata kipato chako usimwambie, ili upate...
  16. S

    JamiiForums Tanzania TCRA, acheni kujitetea kuhusu mikopo ya mtandaoni; je, hamna uwezo wa kuagiza makampuni ya simu kutosajili lipa namba wanazotumia kupokea marejesho?

    Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu: Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tuacheni kujitetea kwa kutokujua Kiingereza. Tukubali kuwajibika

    Kwenye Biblia, Adam alipoulizwa kwa nini kala tunda alilokatazwa, alijitetea kuwa si kosa lake, bali kashawishiwa na mke wake. Ingelikuwaje kama angelikubali kosa na kuomba msamaha? Daudi alipofahamu kuwa kagundulika kuwa alimwua Huria baada ya kuzini na mke wake, hakujitetea kuwa ni mke wa...
  18. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha jifunze sana kuongea ili kuleta suluhisho na sio kujitetea au kutaka ushindi

    Kuna mtu ananielewa? Ni kawaida kwa asili ya binadamu kutaka kuwa na hulka ya utimilifu na kutamani mazuri pekee. Ndiyo maana katika maongezi yetu mara nyingi ni ligi na ushindani, hatuongei ili kusuluhisha bali tunajitetea kwa kuhakikisha tupo sahihi. Matokeo yake ni vigumu mno kumaliza...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Urusi yanyong'onyea na kukubali kushiriki ICC ili kujitetea

    Wakati hii kesi inaanza ya kuishtaki Urusi, nakumbuka Warusi asili na hawa wa humu JF kwa Mtongole walitukana sana na kusema Urusi haitotambua hii mahakama, sasa Urusi imekalishwa, imetuma wajumbe wa kwenda kujitetea. Ikumbukwe Putin anaishi kama digidigi keshaogopa kuhudhuria vikao vyovyote...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wameshindwa kujitetea suala la DP World sasa wamehamia kwenye udini

    Mimi ni Mkatoliki, nikianzisha mjadala unaopinga Mkataba wa DP World kuhusu Bandari yetu basi naitwa mdini, naambiwa mimi mkatoliki sipendi waislam! Huu ndio ujinga gani? Yaani mnashindwa kujubu maswali muhimu ya wananchi mnaanza kuita watu ni wadini? By the way mtu ambaye anatafasiri kila...
Back
Top Bottom