Abū ʾUmāma or Suday ibn `Ajlan ibn Wahb or Abu Umama al-Bahili (died 81AH, 700CE, Homs, Syria) was a companion (sahabah) of Muhammad. He was with Ali in the Battle of Siffin, and later settled in Syria. Some 250 hadiths are related from him by Bukhari and Sahih Muslim. He was the last of the companions to die in Syria.
Kuna jambo ambalo watu wengi hawalizungumzi.
Ukikataa kutoa hela, mara moja unaambiwa ni mchoyo, bahili, una roho mbaya, au "Mbinafsi."
Lakini ukweli ni kwamba, si kila anayekataa kusaidia ana hela.
Wengi wetu tunaishi maisha ambayo kila shilingi ina kazi yake. Mshahara ukingia tayari una...
Dog youu. Yaani mwanamke anataka nitumie pesa zangu kwake ili ni prove kuwa mimi si bahili. Namwambia mi si bahili anasema mwongo we bahili.
Namwambia haya leta pesa zako nikae nazo uone kama mimi bahili au si bahili. Naye anagoma anaonesha ni bahili. Nikamwambia wewe bahili na mimi bahili...
Habari wana JF,
Kuna tabia imekuwa ya kawaida siku hizi - mtu anakupangia jinsi ya kutumia pesa zako. Ukihifadhi, unasemwa ni bahili. Ukipanga bajeti, unasemwa huna moyo wa kutoa. Ukikataa matumizi yasiyo na mpango, unasemwa una roho ngumu.
Lakini swali langu ni moja tu:
Kama unaona mimi ni...
Tangu nikiwa mdogo mimi ni mtu naependa sana kujitoa kwenye shida za watu, ndoto yangu ilikuwa nikija kupata hela basi nitasaidia sana watu.
My wish came true nikiwa kijana mdogo wakati bado hata sijaoa wala sina familia nikiwa na majukumu kidogo nikafanikiwa kupata shilingi milioni 12,
basi...
Mimi Mbwichichi nafahamika na baadhi ya watu humu kutokana na historia yangu ya upambanaji katika kutafuta riziki.
Kwa miaka mingi sana nimekua napambana kupata pesa,lakini hustle nyingi za wakati huo zilikua za kupata pesa ya mboga tu…lakini nilikua nina tamaa ya kupata kila kitu,gheto kwangu...
Jioni hii nikiwa hapa nje kibarazani, nawasikia wanawake hapo koridoni wanamteta mshkaji mmoja hivi mpangaji kuwa anapenda mbunye lakini ni mbahili. Jamaa ana mwezi wa tatu tokea aondoke kwenda kijijini kuhudumia ujauzito, cha ajabu wanamsema kwa kutumia wakati uliopo. Nimejiongeza tu nikajua...
Kutokana na umri kusogea sana imenibidi nipunguze mambo ya starehe kama; kwenda sehemu za starehe, kunywa pombe, kucheza na warembo pamoja na kuchepuka.
Nimeamua kujituliza ili niwaachie na wengine waweze kujiburudisha kwenye hayo mazingira ya kujimwambafai.
Sasa changamoto iko hivi, wale...
Jamani,
Naombeni mbinu za kuwa mchumi, nisitumie pesa hivyo, hali hii inanitesa sana.
Natafuta pesa kwa taabu mnoo. Yaani kuipata Ile 20,000 NI kazi Sana lakini nikiwa na pesa matumizi yangu ni mabya mnoo.
Yaani mwezi December Hadi February nafikir nimetumia zaidi ya 1M.
Juzi Jana na leo...
Kutokana na malalamiko ya wanaum e Humu jf, nimeona ni Bora kufungua Uzi huu ili kuweza kuwapa nafasi ya kutoa malamiko yao.
Lengo la chama hiki ni kukumbushana misimamo na misingi ya chama chetu.
👉 Mwenyekiti ni Natafuta Ajira, katibu Mjanja M1.
👉Katibu mwenezi wa sera za chama ni dronedrake.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Mbunge na Mwanasimba Hamis Kigwangalla ameandika ujumbe wa mafumbo kwenda kwa mmiliki wa Simba "Mo" akitumia "codename" ya "Glazer" ambaye ni mmiliki wa Manchester United
Kigwa ameandika:
"Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine...
Habari za usiku huu ndugu.
Kwenye maisha haya ya kiliberali ili yasonge mbele kila mtu anatakiwa aishi vile anavyotaka. Kimjini mjini wanasema kila mti kimpango wake. Yaani unaishi bila kuuliza uliz maswali ya nani anaishi vipi anakukaje. Sasa jama ndio hivi okay poa tusisimbuane.
Hapa nina...
Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa zaidi. Bora mabibi wa-kitaliano, wapo social na ukimpa show Kali anakuachia Dola za maana.
NB...
Habari za mchana ndugu zangu.
Baada ya chama kukubaliana kuhusu kukaza masharti ya kuhonga, sasa wanawake wamekuja na mbinu moja matata sana. Tafadhari sana usije ukauza mechi kwa hawa wasichana wa siku hizi. Ukikubali tu, basi hiyo ni one mistake. Ukishafanya nae, the next week anaanza story...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.