mitandao ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stabilityman

    Huu ndio uhuni unaofanywa na mitandao ya simu inayouza router za unlimited

    HUU NDIO UHUNI UNAOFANYWA NA MITANDAO YA SIMU INAYOUZA ROUTER ZA UNLIMITED 📶💥🙄 Hivi ushawahi kununua ile router ya "Unlimited" ya nyumbani au ofisini ukajua sasa umeyapatia maisha? Ukajua utastream muvi, utadownload mafaili makubwa, na mambo yatanyooka bila wasiwasi? Alafu ghafla, katikati ya...
  2. bless on

    DOKEZO Huu ndo uhuni unaofanywa na mitandao ya simu inayouza router za unlimited

    Hivi ushawahi kununua ile router ya "Unlimited" ya nyumbani au ofisini ukajua sasa umeyapatia maisha? Ukajua utastream movie, utadownload mafaili makubwa, na mambo yatanyooka bila wasiwasi? Alafu ghafla, katikati ya mwezi, mtandao unalala kiasi kwamba hata kupakia picha ya kawaida inakuwa...
  3. Tyrex

    Matatizo ya Mitandao ya simu

    Habari wana jf, kuna tatizo kubwa hasa kwa mitandao ya simu usipo tumia line yako ya simu kwa muda flan anapewa mtu mwingne Kwa sababu namba yako ya simu si namba tu tena. Imeunganishwa na akaunti yako ya benki. Barua pepe yako. Akaunti zako za kazi. Maisha yako binafsi. Mara tu namba hiyo...
  4. wa stendi

    Hivi kwa nini tanesco upande wa luku wasiwe wanakopesha kama mitandao ya simu .

    Yani kuna mazingira unakuwa unashida au huwezi pata huduma labda ya kuweka hela kwenye simu wakati huo unauhitaji labda wa kumunua units (luku) hadi inakuchukulia kulala giza au kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme kuisha. Kwenye mitandao ya simu kuna huduma ukitaka kukopa vocha/salio...
  5. greater than

    Je, nani anatoa taarifa binafsi za wananchi kwenda makampuni ya Mitandao ya Simu?

    Jumatatu ya leo ya tarehe 13/04 ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa. Asubuhi nilipokea pongezi kutoka kwa marafiki na jamaa kupitia jumbe za meseji za kawaida na WhatsApp. Ilipofika mida ya saa 4 Asubuhi, nikapokea meseji kutoka Airtel, ikintakia heri ya siku ya kuzaliwa.Nilifurahi lakini baada...
  6. B

    Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu

    Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu
  7. Pfizer

    TANESCO: Tunawashauri wateja wetu kununua umeme kupitia vituo vya mawakala wetu wa LUKU nchi nzima

    TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453. DODOMA, TANZANIA, SIMU 180 TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA MANUNUZI YA UMEME Jumamosi 27 Disemba, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme (LUKU) hali inayosababisha wateja kushindwa...
  8. H

    PostGE2025 Maria Sarungi: Tutawashitaki mitandao ya Simu ikishiriki Tena kwenye kusaidia Serikali uzimaji wa mitandao

    Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9 atawafungulia mashitaka haya yote ameyazungumzia kwenye kipindi chake cha Maria space.
  9. 100 others

    Mitandao ya simu itakayofuata maelekezo kutoka Serikalini kufunga au kudhoofisha internet ifunguliwe mashtaka

    Baada ya nchi kukombolewa, mitandao ya simu itakayofunga internet kuelekea uchaguzi inapaswa kufunguliwa mashtaka. Kwanini unawazimia watu milioni 70 mawasiliano, kisa watu wachache? kisa siasa? kisa interests za wachache? Intaneti ni uti wa mgongo wa biashara za kimataifa, watu wanategemea...
  10. britanicca

    Kwanini Taasisi huwa hazisomi emails za wateja ? Tatizo la Benk za Tanzania na mitandao ya simu

    Tuna Tatizo sana hasa kwa watu wanaoishi nje ya Tanzania 🇹🇿 Unakuta Vodacom Mpesa wameweka whatsap number kwa ajili ya watu wanaoishi Nje ila unaweza andika ujumbe wa haraka kujibiwa inatumia week kujibu Hata kwenye benk zetu Kama NBC na NMB hao ndo kabisa unaandika ujumbe emails zinajibiwa...
  11. A

    KERO Mitandao ya mawasilino haswa Halotel na Yass mmelala? Kuna changamoto katika mawasiliano

    Hii mitandao miwili ina tatizo la mtandao hususan upande wa maongezi 1. Utapiga simu ule mlio wa kuita upande wa mpigaji haulii, kisha simu hiyo itapokelewa lakini mpigaji hatasikia kitu, mpigiwa atasikia. 2. Utaongea halafu baada ya dakika chache ghafla sauti inakatika, unalazimika kukata...
  12. Room 28

    Taja huduma za mitandao ya simu ambazo ni zisizo na makato

    Mi ninazo zijua 1.Kununua muda wa maongezi au kumnunulia mtu kutoka mpesa/airtel money -Hapa hutakatwa hata mia kama gharama ya huduma 2.Luku Hapa napo ilikua n bure saizi naona kuna percent fulan wanakata ukinunua umeme zaman haikuepo
  13. N

    Mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel , Yas wana lipa commission ya asilimia ngapi kwa kila muamala?

    Mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel , Yas wana lipa commission ya asilimia ngapi kwa kila muamala???
  14. 100 others

    Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  15. Black Tanzanite

    Mmeona meseji ya kupunguza gharama za tozo/makato twa mitandao ya simu?

    Uchaguaji huja na mambo mengi MNO...mnaumizwa kwa miezi kadha wa kadha af mnapozwa kwa miezi kadhaa....ULIMBO HUU bwana Migulu kashakaa kuseti majambo😄😅
  16. Masalu Jacob

    Je, Kodi kwa Mikoa, Wilaya na Mitaa inafaa kwa sasa katika Taifa letu

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza. Hivi ni lini tutaweza kutoza Kodi Mikoa, Wilaya, Kata na Kijiji/ Mtaa? Ili wanavyopelekewa fedha za Umma kwaajili ya maendeleo wanapaswa waonje uchungu, wawe makini na waweze kuweka nidhamu ya fedha. Karibu.
  17. A

    KERO Kuna changamoto gani kwenye mitandao ya simu? Unatuma ujumbe haumfikii muhusika, au unapiga simu na inaita lakini simu inakuwa haijatoka!

    Naomba mamlaka inayosimamia mawasiliano nchini itusadie kuzungumza na makampuni ya simu kutatua changamoto za kimawasiliano. Maana unaweza kutuma ujumbe wa maneno(sms) leo ikaonesha ujumbe umepokewa, lakini cha kushangaza ukimuuliza mhusika baada ya kupita muda mrefu anakuambia hajaona/hajapokea...
  18. W

    Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  19. D

    AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  20. Nyafwili

    Mitandao ya simu: Usiku wa kuamkia leo na ninyi mlidukuliwa ama shida ilikuwa ni nini?

    . Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti. . Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya. . Asubuhi naamka kisha...
Back
Top Bottom