bluetooth

  1. Intelligent businessman

    Fahamu historia ya neno "Bluetooth"

    HISTORI YA NENO BLUETOOTH. Teknolojia tunayoijua kama Bluetooth imepata jina lake kutoka kwa Harald Bluetooth, mfalme wa Viking aliyeaga dunia zaidi ya milenia moja iliyopita. Kama vile alivyounganisha vikundi vya Denmark na Norway, teknolojia ya Bluetooth inaunganisha vifaa mbalimbali vya...
  2. Donson

    Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kwenye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  3. Donson

    Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kweye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  4. Liverpool VPN

    Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

    INTRODUCTION Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi.  PROBLEM Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI YA BLUETOOTH kati yenu na hao wapenzi wenu? SCENARIO Unataka kunielewa? Twende pamoja.... 1. Upo...
  5. K

    Wireless (Bluetooth) Earbuds Earphone

    Wireless Earbuds -Touch sensor -Waterproof Price: 20,000/= Contact: 0713722679 au 0753411316 Delivery: Free around Dar es salaam City Centre
  6. J

    Jinsi ya kulinda kifaa chako cha elektroniki

    ZINGATIA: Zima 'Wi-Fi' na 'Bluetooth' wakati unapokuwa hutumii. Kufanya hivyo itakusaidia kutounganishwa na mitandao isiyo salama pamoja na kutunza chaji kwenye kifaa chako cha elektroniki
  7. Tomaa Mireni

    INAUZWA Bluetooth Mp3 player zinauzwa hapa, badili radio yako kuwa ya kusasa zaidi

    Kama una radio au subwoofer ya zamani,usiichukie radio yako bali weka hiki kifaa ili uweze kutumia Bluetooth, flash na memory card kama radio za kisasa. Sony, Aiwa, Panasonic n.k hizi radio zinapiga sana lakini kama ulinunua kitambo utakuwa unamiss flash na Bluetooth. Subwoofer za zamani zote...
  8. babu M

    Bluetooth wireless ponytail!

  9. C

    Bluetooth option katika PC

    Wakuu PC ninayotumia ni HP 850 Elite Book Sasa wakuu hii PC haina option ya Bluetooth, Je?, Nawezaje kuweka hiyo Bluetooth option kwenye Hii PC Msaada wenu wataalamu wa haya mambo
  10. Elon Mzebuluni

    INAUZWA Badilisha Old subwoofer au speaker isiyokua na Bluetooth na kuifanya kua Bluetooth party speaker kwa kutumia kifaa hiki hapa.

    Habari!! Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara. Napatikana Mbeya. Mikoani tunatuma ukihitaji...
Back
Top Bottom