file

 1. troublemaker

  File liitwalo "btsnoop-hci.log" kwenye simu uhusiana na nini?

  Natumai mko vyema wanatech na mnaendelea kuchukua hatua stahiki kujikinga na COVID-19. Iko hivi, kuna file mara nyingi nalikuta kwenye storage ya simu yangu chini kabisa, huwa linakuwa na mb mpaka 300+. Kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta tena. File lenyewe linaandikwa...
 2. napendamovie

  Recover deleted file on your PC

  kwa wale watumiaji wa computer ikitokea umefuta kitu kwa bahati mbaya iwe kwenye simu memory card au flash je kuna uwezekano wa kuviludisha vitu ulivyo vifuta. jibu ni ndio inawezekana hapo unahitaji kua na proglamu moja inaitwa RECUVA kwa bahati mzuri hiyo prog ni bure kabisa kwa matumizi ya...
 3. Mkwala

  Msaada Laptop yangu haisomi Printer nikifungua PDF na Excel file kutoa nakala ngumu

  Wasalaam, Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo. Nimejaribu kuprint kwa Word document yenyewe haina tatizo. Je, kuna shida ipi inayopelekea PDF na Excel file...
Top Bottom