michepuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    Wanaume mliooa na bado mna michepuko nje mmeoa kwa ajili gani?

    Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo? Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa? Ndoa ni fashion?
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Mkeo au mchumbaako akitaka kuwasiliana na michepuko yake hutumia zaidi simu ya rafiki yake

    MKEO AU MCHUMBAAKO AKITAKA KUWASILIANA NA MICHEPUKO YAKE HUTUMIA ZAIDI SIMU YA RAFIKI YAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna wale wanaume wenye tabia ya kuzikagua simu za Wake au wachumba zao. Mbaya zaidi huzikagua waziwazi. Hilo ni kosa. Unapoishi na mwenza iwe mumeo au mkeo usifanye...
  3. Selemani Sele

    Michepuko ya Demu wangu inanipa stress nifanyeje?

    Mimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana. Demu huwa hataki...
  4. Newbies

    Daliliz za mchepuko😂

    KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine. UTATANISHI KATIKA MATUMIZI YA SIMU Ukiona simu zinamiminika mpaka usiku wa manane naye anapokea kwa...
  5. Akilihuru

    Tuliowahi kusumbuliwa na wazazi wetu kwa sababu ya michepuko yetu tujuane hapa kupitia visa vyetu

    Inakuaje waheshimiwa? Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu. Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇 Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
  6. blogger

    Hivi ni kwaninni kuwasiliana na michepuko ni kutamu zaidi na kunanoga?

    Posted, Hakuna maneno meengii.. Yani ni kwanini sauti ya mchepuko ni tamu, inabembeleza, inajali and so many others. Guyz! Why?
  7. sky soldier

    Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
  8. Unique Flower

    Hivi nyie michepuko mnajiona nyie nani?

    Yaani mwenzenu leo kuna kadada kamenikera sana kanajiona kuharibu ndoa ya mwenzake . Sijui yeye ninani kamfuata mwenzake kazini nakumtafuta uchokozi. Na akahakikisha atamchukua mume na watoto na hana chakumfanya hata iweje, na kamwambia either uiche ndoa yako mwenyewe au nikuue jamani. Hivi...
  9. maroon7

    Mke halali wa Akon vs michepuko yake

    Huyu ndiye mke wa ndoa wa Akon aliezaa nae watoto watano. Walifahamiana tangu wakiwa na miaka 20. Watoto wengine wanne amezaa nje ya ndoa Hawa ni baadhi ya michepuko wa Akon
  10. Wadiz

    Kama kuoa ni raha basi tusiwaone na michepuko sehemu za starehe na kwenye Magest

    Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko. Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa. Sauti iwafikie popote...
  11. Pascal Ndege

    Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  12. Mr Why

    Michepuko wako unawapataga wapi?

    Kuna story nyingi sana kwenye mahusiano, mtu akishaishi kidogo tu na mpenzi wake basi kashamchoka anataka kumtema na kupata mwingine. Wengine wanachokana baada ya siku, wiki, miezi, miaka nk na kuanza harakati za kupata mchepuko mpya, Wengi wana uhakika wa michepuko ndo mana kupigana chini...
  13. Wadiz

    Hivi kwa nini kumchampia mtu inaenda na kuvimba sana na tantalila za shobo nyingi sana?

    Hello, niende kwenye mada, why michepuko ama wezi wa penzi wana vimba sana wakati mwenye mume au mke, au mwenye mpenzi ashagusa sana shoo na toka kitambo. Sasa unakuta sisi na wao visokolojo tunavimba sana na tantalila nyingi sana kwenda kwa wenyewe, hivi hapo uvimbaji unajengwa na kipi cha...
  14. W

    Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

    Msaada wenu tafadhali. Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta. Majina haya...
  15. Mondela

    Vijana na wazee mliopo kwenye ndoa msipende kujibu SMS za michepuko zinazotokea juu ya Screen

    Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen. Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest...
  16. Nakadori

    Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

    Waungwana na wasio waungwana nawasalimu. Ninaandika haya nikiwa na masikitiko mengi sana... Niko kwenye tukio moja la kifamilia ambapo imelazimu watoto wote wa mji husika kuwepo. Ni tukio kubwa kiasi kwamba hata sisi tusio ndugu tumeshiriki. Nimeumia kuona katoto ka nje ambako kwa makadirio...
  17. MIXOLOGIST

    Michepuko iheshimiwe

    Wasalaam wana JF, Hakika kuchepuka ni kukosa maadili, ni kinyume na mpango wa Mungu. Mtu anapaswa kukaa njia kuu, kukaa na familia moja kama mkristu na zisizozidi nne kama Muislam. Lakini, kuna wakati tunajikwaa na kuchepuka au tuna lazimika kuchepuka kutokana na mikingamo ya ndani. Sasa...
  18. BARD AI

    Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  19. Unique Flower

    Ndiyo maana michepuko haiishi kwa hali hii

    Unakuta wanandoa hawana hata watoto wameoana majuzi tu, kidogo mwanamke anaanza purukushani. Kosa ni kidogo analivuta maana anajua kaolewa. Basi anaanza masifa na ugomvi usio wamaana. Halafu mumewe ukute anawafukuziaji tosha, mmoja anapendeza balaa. Unafikiri hatochanganyikiwa, anaenda moja ya...
  20. NetMaster

    Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

    kwa ufupi nyumbani pakiwa hivi unapa miss sana, unamuwaza mke na watoto na unapata ari ya kuwapigania.
Back
Top Bottom