Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

Jan 26, 2019
82
107
Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana simu yangu sasa lile faili la kuzima na kuwasha data(Mobile data Icon) limetoweka sasa hivi napitia changamoto ya kuingia mpaka faili la settings ndio niwashe ,Je nawezaje kuirejesha hiyo file kwa juu
 

Attachments

  • Screenshot_20241022_031357_Settings.jpg
    Screenshot_20241022_031357_Settings.jpg
    99.6 KB · Views: 10
Back
Top Bottom