300,000 Tsh per day x 30 days = 9,000,000 per month.
9,000,000 x 18 months as of today.....162,000,000 Tsh. Na bado kesi kuisha na kwa malipo hayo, lazima wapokee maagizo.......................all untaxable
Mbunge Ado Shaibu Ado alipiga simu Waziri wa Maji Aweso wakati wa mkutano na wananchi katika kijiji chake ili kuwasilisha changamoto kubwa za maji.Wananchi walikuwa wamelalamika kwa muda mrefu kuhusu maji machafu yanayotolewa kwenye visima, hali iliyowafanya kunywa maji yasiyo safi.
Waziri...
Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita.
Mimi namuunga mkono na nitamchangia tsh 2,000,000 kwenye hiyo fine. Asiache kuyabagaza hayo machoko. Ni ya bananga tu wakati wote bila...
Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026.
Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamu… lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! 💀
👀 1. IMEI & LOCK
Hakikisha IMEI...
Unakuta Google Pixel 6 au Pixel 7 ya mtumba inauzwa TSh 400,000 hadi 650,000 Bongo.
Ukipiga picha hapo hapo dukani, inakupa muonekano safi kuliko hata Iphone ya milioni mbili.
Unainunua kwa furaha kutoka Kariakoo, Mlimani City, au kwa wauzaji wa Instagram. Lakini wiki mbili baadaye, unajikuta...
Kama una mpango wa kununua simu used Toka kampuni ya Google yani Google Pixel basi kabla ujaamua kutoa pesa yako leo nakuambia jambo Muhimu 👋.
Sio kila Pixel unayoiona dukani ni deal nzuri 😬 Baadhi ya model za zamani zimeanza kusogea mwisho wa masasisho na support, zingine Betri zinazingua...
Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time.
Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya...
Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥.
Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥
Kwa ufupi tu kuhusu...
🔥 Kabla hujaamua kwenda kununua simu za Samsung used, save hii post na tuma kwa mtu anayepanga kununua simu!
Sio kila Samsung yenye jina la Galaxy bado ni simu nzuri 😳. Baadhi ya simu za zamani zimefika mwisho wa updates na security support.
❌ Galaxy S22 Series kilichobakia ni security...
Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya.
Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane.
Mkurugenzi huyo ame...
Habari wakuu.
Kama unauza Gari yako itanunuliwa tu.
au unataka kubadirisha Gari yako kwa Gari nyingine nipigie simu.
Pia kama unarafiki yako anauza Gari nipigie simu tuokote pamoja.
Aina ya magari yanayohitaji ni haya.
(1) Subaru Non Turbo au Impreza.
(2) Gari yoyote aina ya Toyota.
(3)...
Msanii Mkongwe Dudu Baya, ameonekana kwenye video akisema kuwa kuna mpumbavu mmoja panya mwenye kaswende mpumbavu eti amenipigia simu eti akifa nisisogelee maiti yake akifa nisifike Kwenye msiba wake.
Unadhani panya huyo ni nani?
M-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha.
Makato ni makubwa mno, ni kweli huduma hizi za kutuma na kupokea pesa zinatusaidia Sana kuokoa muda na kufanya biashara kwa urahisi lakini kikwazo ni ukubwa wa kulipia huduma hizi ni tatizo.
Ukipokea sh 10000 kwa mfano, ni...
Mdau kutoka Arusha naomba kufichua vitendo vya wizi na uharibifu wa miundombinu vinavyoendelea katika maeneo mbalimbali ya pembezoni mwa barabara, hususan barabara zinazoendelea kufanyiwa marekebisho na nyingine ambazo bado hazijafanyiwa ukarabati.
Kumekuwa na watu wanaoharibu miundombinu ya...
Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store.
Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu mwamba, akasepa walipo Rudi shop hawaoni simu, kupitia camera wakamuonea mdau ila hawamtambui...
Baada. ya Jengo kubwa lililojengwa na Kumaliziwa kwa juhudi za Mh Samia , ambalo ni NHC Morocoo Square, lenye ofisi nyeti za Serikali , yaani hazina , imegeuka kuwa kijiwe cha majambazi na wezi.
Jengo hilo lenye mwonekano wa ulinzi kwa ndani ndio jeno rahisi kabisa kufanya uhalifu. Parking za...
UZI ….
Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo …
Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni ….
Kivipi ?….
Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na...
Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱
Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako 👋.
Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.