🔥 Kabla hujaamua kwenda kununua simu za Samsung used, save hii post na tuma kwa mtu anayepanga kununua simu!
Sio kila Samsung yenye jina la Galaxy bado ni simu nzuri 😳. Baadhi ya simu za zamani zimefika mwisho wa updates na security support.
❌ Galaxy S22 Series kilichobakia ni security...
Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive 👋.
Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. 👀
Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye...
Habari wazee wa tech?
Kama kichwa cha news kinavyosema.
Nahitaji battery ya Samsung s22. Hii niliyonayo nadhani inakwenda kufa. Inapoteza chaji haraka sana.
wapi naweza kupata na inauzwaje?
Shukrani sana
UZI ….
Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo …
Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni ….
Kivipi ?….
Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na...
Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania.
Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones .
Je...
Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ??
Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26)
Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi kushika mkononi, lakini zaidi ya hapo zinakuja na camera kali sana 📸🔥.
Ukilinganisha na S25 na S26...
Imeniuma sana.
Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe..
Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi.
Leo ndio nagundua...
Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya.
Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)":
Modes &...
Watumiaji wa Galaxy, jiandaeni!
Samsung inaendelea na mpango wa kuleta Android 17 kupitia One UI 9, na simu nyingi za Galaxy zitaingia kwenye orodha ya kupata mfumo huu mpya. 🤯
Kama unatumia Galaxy, hizi ni baadhi ya simu zinazotarajiwa kupata Android 17, kwa mpangilio wa awamu:
MEI–JUNI 2026...
Product Type:
Samsung 32-inch LED TV (Series 4, e.g., UA32J4003).
Key Specs: 1366 x 768 resolution, Dolby Digital Plus, 2 HDMI ports, 1 USB port.
Status: Used like New….imetumika kama mpya.
Charger: AC/DC Adapter
Bei: 250,000/=
Location: Chanika!
Simu: 0716161683
Wakuu kwema?
Wale wazoefu simu yangu ya Samsung aina ya S25 muda mwingi inaniambia camera failed hivyo haioperate chochote na baada y masaa mengi kupita hurudi na kuoperate normaly walau kwa muda mchache nimejaribu kufuata njia mbalibmali za online kusolve tatizo lakini bado lipo naomba...
Wakuu naomba mnisaidie ushauri nataka kununua TV inch 55 ya kudumu nayo muda mrefu.
Sasa kati ya
LG Oled android processor vs Samsung Neo Qled android processor.
Ipi itanifaa zaidi na reasons kama itawezekana.
Asante
Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata.
Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
Kampuni ya Samsung hivi karibuni ilitangaza kuwa itaacha kuuza vifaa vyake vyote vinavyotumika nyumbani nchini China. Chapa ya Samsung ilikuwa alama ya vifaa vya kielektroniki vya nyumbani vya hali ya juu na vyenye ubora wa juu zaidi, lakini sasa imeshindwa kabisa na kampuni za ndani za China...
Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye maboksi ya TV huko nchini Marekani bila ridhaa yake.
Katika kesi hiyo iliyofunguliwa kwenye...
Watumiaji wa Samsung kwenye toleo jipya la Samsung one UI version 8.5 wametoa update mpya ya feature mbalimbali nzuri sana.
Feature mpya imekuja kuongeza ubora kwenye muonekano wa apps, mipangilio ya simu, ufanisi, stability pamoja na security kwa ujumla.
kama unatumia Simu ya Samsung Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.