simu yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu simu yangu haisomi line ,na wi-fe,hotspot, Bluetooth haziwaki

    Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka suggest ni flash nimekuja kwenu wajuzi njia mbadala kabla ya iyo kuflash Note Simu haisomi kabisa ina...
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Sipati 5G ya Halotel kwenye Simu yangu kwenu ikoje?

    Wadau Halotel wali lunch 5G katika mikoa yote 26 lakini imejaribu ku swich on Line yao tuu siipati hiyo 5G kama walivyotangaza. Nakusudia kuwaburuza Mahakamani. Tigo Vodacom ndo naona zinapandisha 5G Halotel ni Matapeli nazima Line yao nimejaribu kuzima Line nyingine ili nisiisumbue.
  3. Kunguru wa Unguja

    JamiiForums Tanzania Msaada Hotspot na Wi-fi hazifanyi kazi kwenye simu yangu

    Habari wadau wa Technologia natumai mko poa Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado inaleta shida
  4. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

    .
  5. amarina

    JamiiForums Tanzania Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  6. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Nauza simu yangu

    Infinix hot 30 play 6000 battery Used 150,000 Nipo Dar
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtandao wa Twitter Unakataa kufunguka Kwenye Simu yangu?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale . Ila naona unagoma. Kazi...
  8. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mpenzi wangu akishika simu yangu, anazidisha mapenzi na heshima kwangu

    Kuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana. Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa. Sometimes she forget that...
  9. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Jinsi content creator walivyoniharibia simu yangu.

    Ilikuwa hivi. Niliingia instagram jamaa akasema zima vitu vifuatavyo kwenye simu yako kuimarisha ulinzi wa taarifa zako. Ingiza settings Zima Google password manager Nikazima. Nikaenda settings nikazima payment method Nikaenda privacy and policy Access payments method ni kazima. Baadae...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Niuondoeje mstari huu kwenye simu yangu?

    Niu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati wa kutafuta kitu kwenye Browser

    Wakuu Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati natafuta kitu kwenye web browser Nawakilisha hapa nashindwa hata kuandika
  12. Barantogwa

    JamiiForums Tanzania MSAADA : SIMU YANGU AINA YA SONY SO 41B HAIPANDISHI MTANDO WA INTERNET.

    Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi, Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
  13. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu hili neno linajirudia kwenye simu yangu

    Hili neno la connected to other device successfully linajirudia kwenye screen ya simu yangu tangia Jana je nawezaje kulitoa
  14. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inafuta majina baadhi

    Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita. Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please Asanteni
  16. Bujoro

    JamiiForums Tanzania App ya Dstv stream ina tatizo au ni simu yangu tu?!

    Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza. Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Laini ya Vodacom kutopokea SMS, tatizo linaweza kuwa nini?

    Nina simu aina ya INFINIX nilinunua July 2020. Laini ninayotumia Ni ya Vodacom. Siku hizi hii simu hai display sms, iwe nimepokea pesa au nimetuma pesa au sms yoyote. Nikiweka laini ya halotel sms zinaingia Kama kawaida. Tatizo linaweza kua Ni Nini?
  18. KENZY

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna naweza ku play music ya simu yangu hata kama ipo mbali na mimi..?

    kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi.. Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..? Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
  19. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Naunza simu yangu aina ya Samsung Galaxy 04e

    Ndio simu ambayo natumia kulogin huku na kupost huko na huko ina 64GB ndani na 3GB of ram android 14 na Oneui 6.1 Ni yangu 100% na utakapo inunua palepale ndio nitatoa Samsung Account as proof ya kuwa mmiliki wake Ninashida na 180k tu Ipo good condition na nimeitumie for long time, nitaweka...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Nahisi simu yangu kudukuliwa

    Ndugu wana bodi, Niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya ijumaa muda wa saa nane dakika ishirini za mchana nilipokea ujumbe kutoka airtel wakinishukuru kwa kutembelea duka lao huduma za kwa wateja na wakanitumia kumbkumbu ya kuonyesha malalamiko nilyolipoti ofisini kwao. Ili hali mimi sikuwa...
Back
Top Bottom