galaxy

 1. teac kapex

  Msaada juu ya data network ya hii Galaxy note 9.

  Kwa kweli simu nilizoamini ni nzuri ni pamoja na Samsung lakini kwangu imekuwa tofauti, mwanzoni simu ilikuwa vizuri lakini sasa hivi natamani kurudi kwenye tecno na infinix, maana nikiwa safarini nawaona wenzangu wakivinjari kwenye mitandao ya kijamii mwanzo mwisho wa safari lakini hili la...
 2. Samsung_Store_Tanzania

  Phone4Sale Samsung galaxy A32 bei 750,000tsh

  Samsung Galaxy A32 Bei:750,000Tsh PHONE:0622666111 RAM:6gb internal storage 128gb camera:64MP+8MP+5MP+5MP battery:5000mAh,fast charging 15w Os:Android 11, One UI 3.1 Network:LTE warranty:samsung care + 2years na warrant ya kioo 1 year karibu tupo china plaza ground floor tunaangaliana na lift...
 3. Abu Haarith

  Msaada wa kubypass samsung galaxy a12 nitalipia huduma

  Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
 4. OKW BOBAN SUNZU

  Mjue kidogo mpinzani wa Simba Sc Jwaneng Galaxy

  Msimu wa 2018/19 ilishika nafasi ya pili Msimu wa 2019/20 ilitangazwa bingwa baada ya kuishia michezo 20 kati ya 30 kutokana na Covid19 Msimu wa 2020/21 hakukuwa na ligi kabisa anateuliwa kushiriki CAFCL. Simba Sc Mungu awape nini. Msilete dharau,huyu mnamkazia kama mnacheza na Zamalek
 5. Samsung_Store_Tanzania

  Phone4Sale Samsung Galaxy A03s zimeshafika brand new 350k

  Samsung Galaxy A03s zimeshafika brand new Karibu tukuhudumie tupo kariakoo china plaza ground floor shop no 4 ,tupigie 0622666111 zinakuja na warranty ya miaka 2 Key Specs ☑️Display 6.50-inch (720x1600) ☑️Processor MediaTek Helio P35 ☑️Front Camera 5MP ☑️Rear Camera 13MP + 2MP + 2MP ☑️RAM 3GB...
 6. Hakimu Mfawidhi

  Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

  Wakuu, habari za jumapili? Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine. Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka...
 7. Orketeemi

  Ubaora na bei ya Samsung galaxy Note 20

  Wakuu salama? Naomba kujuzwa sifa na bei ya Simu tajwa. SAMSUNG GALAXY NOTE 20. Nitashukuru sana.
 8. Red Giant

  Mungu aliyeumba Milkway(kilimia) galaxy na ulimwengu kwa ujumla ni mkuu sana.

  Mfumo wetu wa jua na sayari zake vimo ndani ya galaxy inayoitwa milky way(kilimia). Galaxy ya kilimia ina umbo kama sahani iliyogawanyika kwenye mikia (arms)mbalimbali. Sahani hiyo ina upana wa 150,000 hadi 200,000 light years(miaka ya mwanga). Hapa maana yake kutoka mwisho mmoja wa sahani...
 9. N

  Phone4Sale Samsung Galaxy A10s inauzwa

  Habari zenu wadau, nauza simu yangu ya samsung A10s kwa bei ya 210k napatikana Mbagala Dar es Salaam iko poa kwa kila kipengele
 10. astalavista

  Phone4Sale Samsung Galaxy m11, 250K

  Nimetingwa jamani, nauza simu yangu ninayoitumia. 250000/= Samsung Galaxy m11 32Gb internal Memory. 3 Ram Triple Camera. Battery 5000mAh. Imetumika miezi miwili. Hizi simu zimeingia sokoni May 2020. Location, Kimara. Karibu PM. Shukrani.
 11. Kaka Sai

  Nahitaji kioo cha Samsung Galaxy S7 edge kilichotumika

  Mwenyekioo cha hii simu anicheki haraka, Kiwe used. Offer chini ya 100k. Maeneo ya Dar, Moro na Dom tunaweza kuwasaliana kwa haraka zaidi. Mawasiliano 0715175518.
 12. GANG MO

  Wadau, wapi nitapata betri orijino ya Galaxy J2 Pro

  habari ya wakati huu wadau. ninatumia Samsung J2 Pro kwa miaka mitatu sasa. lakini sasa betri yake imechoka. ikiwa na asilimia 30 simu inazima pia betri yake imevimba. Naombeni mnijuze wapi naweza pata betry yake orijino. nipo Iringa. Natanguliza shukrani
 13. TJ360

  Xiaomi wazindua the fastest charging phone around

  Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 🔥 Pia simu hiyo ina support 50 watts wireless charging ambapo itatumia 40 minutes pekee kujaa Simu...
 14. M

  Samsung galaxy s6 used 60,000 TZS

  Imeuzwa tayari
 15. Kirisongo

  Galaxy Note 5 "No service"

  Niaje wakuu, niliflash simu yangu aina ya galaxy note 5 N9200 (HongKong version).. hii simu baada ya kuflash haioneshi network.. yaani line haipandishi mtandao.. No service/no network connection. Nimejaribu kuchange sim cards kadhaa, ku reflash na baadhi ya hatua kadhaa lakini bado. Je hili...
 16. kalovha

  "Samsung galaxy A10s inakataa kulog in

  Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri Naenda straight to the point Nina simu Aina ya Samsung galaxy A10s, cha ajabu nikiingia kwenye account yangu kulogin hasa account yangu ya matokeo ya chuo Google Chrome, au browser nyingine kama opera mini.zote zinakataa inaniambia kuwa incorrect...
 17. Echolima

  Msaada: Samsung Galaxy ipi ni bora na nzuri?

  Mimi ni mgeni kwenye hizi simu aina ya SAMSUNG kuna zinazoanzia na S..... zingine A.... mfano S-5 na A30 na nasikia tena kuna A7 ipi kati ya simu hizi ni Bora???
 18. N

  Msaada kurekebisha samsung galaxy s7 edge camera

  Habari wakuu usikeni na kichwa cha habari apo juu simu yangu samsung galaxy s7 edge tangu juzi imeanza tatizo la kutofungua camera please wajuzi tusaidiane niweze tatua ili tatizo.
 19. steve111

  Phone4Sale Samsung Galaxy A8 on sale only 250,000/=

  Mambo vip wakuu? Sumsung Galaxy A8 inauzwa Price: 250,000/= Storage: 16GB Condition: Excellent condition with No scratch Android Version: 5.1.1 Location: Tabata Segerea(DSM) Contact: 0682823028
 20. Baba Ndubwi

  Ninauza simu Samsung Galaxy A8

  Bei ni 250,000/= Imetumika. Ni nzima lakini Kioo cha juu kimepasuka. Tofauti na kioo haina tatizo zaidi. Picha:Sijaweza kuambatanisha picha kwa kuwa ninatumia des. comp. Mnunuzi tuwasiliane kwa namba:- 0679494815 Napatikana Dar es salaam.
Top Bottom