Lützow-Holm Bay is a large bay, about 220 kilometres (120 nmi) wide, indenting the coast of Queen Maud Land in Antarctica between Riiser-Larsen Peninsula and the coastal angle immediately east of the Flatvaer Islands. It was discovered by Captain Hjalmar Riiser-Larsen in two airplane flights from his expedition vessel, the Norvegia, on February 21 and 23, 1931. The name honours Commander Finn Lützow-Holm of the Royal Norwegian Navy Air Service, a pilot for Captain Riiser-Larsen on the Aagaard in 1935.
Wanawake na wanaume wanaoshiriki kwenye filamu za ngono hawana tofauti sana na baadhi yenu; tofauti ni kwamba wao hurekodi video na kuziweka hadharani.
Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15. Vivyo hivyo kwa kijana wa kiume mwenye...
AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU?
Bujibuji Simba Nyamaume
Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi?
Mjadala huu una pande mbili.
Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna.
Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU?
Bujibuji Simba Nyamaume
Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi?
Mjadala huu una pande mbili.
Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna.
Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana.
Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake.
Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele.
Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza...
Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka.
Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni.
Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john nchimbi.
Msemaji Mkuu wa serikali naye yuko kimyaaaaa.
Je ndugu john nchimbi ameamua kutuandikia...
Amewahi kutokea wapi 'fighter' anayependa chakula kama huyu?!!! Anayekula mpaka anataka kupasuka?!!! Mi sielewi elewi tu.
Nawasilisha Huku nikiwa na Imani mliotembea na kusoma mtanielimisha. Binafsi sijawahi kuwa na jambo nyeti la kulishughulikia halafu nikawa mfakamia chakula kiasi kile.
Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?.
Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na kumpongeza, vipi kwa mama mbona hamfurahi?
Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza.
Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli.
Kazi yake...
Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani...
Hawajamleta mkali voice wounder
Mkali wa Nimepende nani, Kisa cha mshenga, nimekosa, Hunifaham etc
Bado nitaendelea kuamini ile...
Katika pitapita zangu mjini hapa, nimegundua kuwa kuna kero moja inayofumbiwa macho na Manispaa ya Moshi Mjini, masoko ya hapa Moshi mjini, hususani soko la M'buyuni na Soko la Manyema, yana ufinyu au hayana kabisa maegesho ya wateja kuegesha magari yao ili wakapate huduma sokoni.
Kero hizi...
Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au wanatengeneza wenyewe yaani kiufupi nchi inapigwa kwa kweli hibi watu wanapata wapi hela!hela inapatikanaje...
Huwa tunapenda sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hata hivyo majibu ya namna hiyo hayatibu ugonjwa.
Mtaji wa kwanza wa chama cha siasa ni wanachama waaminifu ambao wapo tayari kukitetea, kukilinda na kukipigania chama chao.
Tafakari, kama chama viongozi wake, wanaweza nunuliwa kwa...
Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.
Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo...
Salaam.
Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana.
Wazee ni kwangu...
Hakuna kazi ya mwanadamu isiyo na kasoro (inayokamilika kwa asilimia mia moja). Kasoro ni matokeo ya asili yetu ya kibinadamu ya kutokamilika, uchovu, na mipaka ya ufahamu wetu. Hata hivyo, ukweli huu unapaswa kuwa daraja la kujifunzia badala ya chanzo cha kukata tamaa.
Unaweza kuangalia...
Hamjambo!
1. Bado tunawekana Sawa. Tunazungumza. Ili mambo yakae sawa.
2. Kuna vitabia vya ajabuajabu ndani ya nchi yetu. Tabia ya kujimilikisha mambo ambayo hayamilikiwi na yeyote. Mambo ya wote kundi na genge Fulani linahodhi na kujimilikisha. Hiya ni dhulma.
3. Ukweli, uzuri, uponyaji...
Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana.
Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.