simu

  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Itel a200 simu ya bei nyepesi yenye uwezo wa Samsung

    Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? 👀🔥 Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE — ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Simu za Raddy zinazotengenezwa Tanzania, ingependeza ziwe na quality nzuri na bei nzuri kuanzia mwanzo ili kutengeneza trust kwa wateja

    Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani wangeimprove product zao Kwa mfano nimeona hii simu yao inaitwa "Raddy Janja Pro" inauzwa 350,000/=...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania 9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

    Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"! Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa Wapenzi wa Samsung Galaxy ulimwenguni

    Samsung itaweza kuachia Teknolojia mpya ya Privacy Display kwenye Baadhi ya model ya Simu mpya ya Galaxy S27 sio zote. Kwa ufupi tu Privacy Display Ni teknolojia ya ndani ya OLED inayo punguza sana kile ambacho mtu aliye pembeni anaweza kuona kwenye screen yako. Tofauti na privacy glass ya...
  5. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Aina 15 simu zinazoongoza Kwa mauzo Kariakoo mpaka Sasa

    Soko la kariakoo ndio soko kubwa Tanzania na afrika mashariki lenye kila aina ya products , zaidi linauza simu za kila aina . Maelfu kwa maelfu ya simu yanauzwa kila siku , lakini ulisha wahi kujiuliza ni simu gani haswa zinaongoza kuuzwa katika soko hili maaraufu afrika mashariki ? Kama bado...
  6. nipo online

    JamiiForums Tanzania Mkataba umeisha tarehe 31 Agosti. Leo tarehe 8 Septemba napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena. Wanasheria tafadhali

    Mkataba ulikua wa miaka 3. Uliishia ile tarehe 31 mwezi wa 8 Leo napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena.. Hii ni mara baada ya kuingiza mshahara wa mwisho. Nilimuuliza kwa iyo kazi ndo imeisha anajibu kua.. hajui. Sio mtaalamu sana wa sheria, hivi utaratibu alioutumia ni sahihi? Kwisha...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Simu Inauzwa

    Habari ndugu zangu nauza simu Aina ya Infinix smart 7 HD ipo katika Hali nzuri Haina kipengele imetumika miaka 2 tu bei ni sh 190000 TSH karibuni maelewano yapo Nimepatwa na shida ikiwa haraka itapendeza zaidi tukifanya biashara, simu ni yangu mwenyewe ata kwa Mwenyekiti tunaweza kwenda...
  8. B

    JamiiForums Tanzania TCRA wekeni utatibu unaoeleweka kwenye makampuni ya simu

    Wakubwa naaamini hum ndani Kuna watu wa wa TCRA au wizara husika , haya makampuni ya simu ni kama yanajiendeshe yenyewe / yanajiamulia mambo hizi ni kero kwangu imekuwa to much 1.kifurushi kuisha mda Kitendo Cha makampuni ya simu kusema et kifurushi kimeisha mda wake ni wizi kama wizi...
  9. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

    Ni kheri wakuu.... Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X. Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU...
  10. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones . Je...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MINARA 758 YACHOCHEA ONGEZEKO LA LAINI ZA MIAMALA YA SIMU

    Minara 758 iliyojengwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita imeongeza upatikanaji wa mawasiliano kwa wananchi milioni 8.5 katika vijiji 1,400, hatua iliyochangia kuongezeka kwa laini zinazotoa huduma za miamala ya simu kutoka milioni 80.98 Machi hadi milioni 87.05 Juni 2026.
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

    Huwezi kuwa na siri nzito za matukio ya Oktoba mwaka ule, halafu waukuache tu unarandaranda mitaani.
  13. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania Wanahitaji kutumia NIDA yangu kumsajilia mtu mkopo wa simu.

    ni ofisi inayohusika na ukopeshaji wa simu za smartphone..wameniomba wanipe posho kidogo wamsajilie mtu simu ya mkopo vipi mnaojua huwa kuna risk au side effect yoyote kwa namba yangu kutumika?
  14. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Msaada; biashara ya kuchaji simu

    Wakuu naomba kufahamu mchanganuo wa biashara ya kuchaji simu mtaji, faida, hasara
  15. M

    JamiiForums Tanzania KERO Posta na Simu SACCOS tulipeni pesa zetu

    Saccos ya Posta na simu walipeni pesa zao wastaafu na waliojitoa. Eneo la Mabibo limeshauzwa muda sasa, kwanini mnaomba rushwa na hamtaki kuwalipa haki zao.
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mfumo wa app lock muanzilishi ni Infinix sio Samsung

    Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ?? Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
  17. Vien

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnapaswa muelewe hili kwa nia njema kabisa: muda wa kazi simu zinazongatiwa ni za mipango tuu

    Happy Sunday JF Members. Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda sana, ila kuna jambo moja mnapaswa kulielewa kwa nia njema kabisa. Muda wa kazi, simu na SMS za mara kwa mara za kusalimiana tuu hazimaanishi kwamba mapenzi yanaongezeka. Kuna muda zinageuka kuwa kero. Ukimtafuta mpenzi wako mara...
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hiki kilio cha Pipytida ni kunyang'anywa simu na polisi tuu au Kuna kingine?

    Kuonyesha unapata mafanikio, unajenga manyumba na kununua magari kwa kukata kiuno hapo ndio shida ilipoanzia. Hii nchi kila mtu atakuja kua mwanaharakati ni suala la mda tuu.
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google Pixel imeweka Mfumo wa App lock baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi

    Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! 😍📱 Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa kutumia Fingerprint, PIN au Pattern. Sasa unaweza kulinda WhatsApp, Gallery...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
Back
Top Bottom