mobile

 1. AsteryBoy

  Classic And International Adroind And iOS Mobile Application

  Habari wana JF Natengeneza Application Za simu kwa platform ya Android na iOS -Nafanya Application kutokana na matakwa ya mteja, kile unachokihitaji ndicho kitakachokuwa katika application KUMBUKA: Sifanyi zile za mitandaoni naadnika code mwenyewe -Ukihitaji App ya mfumo wowote ule mimi...
 2. AsteryBoy

  Classic And International Adroind And iOS Mobile Application

  ....
 3. 666 chata

  NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

  Siku zote nimekua nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na maswala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi. Nilianza kutoa laki moja na...
 4. MK254

  Safaricom’s bid to operate M-Pesa in Addis boosted by mobile money services launch

  Safaricom is still hopeful that it will launch mobile money services in Ethiopia as it awaits the decision on the acquisition of a licence to operate in the country. The telco’s bid for control of the Ethiopian telecommunication market seems to have received a boost ahead of the official...
 5. Natania

  Msaada please! Natafuta code ya equity mobile banking

  Salamu kwenu! Hivi code inayotumika kuingia kwenye account ya equity bank kutumia simu ni ipi? Msaada tafadhali.
 6. R

  Changamoto na uzembe wa wahusika wa DSE mobile APP

  Kama mmoja wawatumiaji wa Mobile Trading iliyoanzishwa na Dar es salaam Stock Exchange siku za husoni napenda kuzungumzia yafuatayo kwa kuwasadia watumiaji wa sasa na wajao pamoja na kuwajibishwa na wanaosimamia hiyo DSE mobile Application. 1. Kwa uwelewa wangu mdogo , Mobile App yoyote kabla...
 7. B

  Kwaheri TIGO Mobile Network, Unachosha kwa Usanii!

  Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi. Baadhi ya kero za TIGO Mobile: 1. Unalipia kifurushi (data au muda wa...
 8. R

  Msaada jinsi ya kutoa pesa Neteller and Skrill to Tanzania mobile networks

  Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network. Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu...
 9. Red Giant

  Ukitengeneza Mobile App halafu watu wawe wananunua vitu humo ndani, unatumia njia gani hapa Tanzania?

  Unaweza kuwa umetengeneza Application ya Mjziki, Michoro, Ramani za Nyumba, Vitabu, Video au chochote kile. Ku access hivyo vitu mtu inabidi alipie. Unatumia njia gani watu wafanye malipo kirahisi? Ukizingatia kuwa watanzania pesa zao nyingi zipo kwenye simu (M-Pesa etc).
 10. Infantry Soldier

  TANAPA: Kwanini hakuna "Mobile Zoos" kwa ajili ya kubebea wanyama pori wepesi kama ambavyo kuna Mobile Courts?

  Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini TANAPA hawana "Mobile Zoos" kwa ajili ya kubebea wanyama pori wepesi kwa ajili ya maonesho kama ambavyo kuna Mobile ATMs, Mobile Court pamoja na Mobile Hospitals? MWEZI FEBRUARY MWAKA 2019...
 11. The Master pizo

  Fahamu jinsi ya kutengeneza pesa kutumia Mobile App

  Habari za leo wandugu! napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu. kwa kipindi hiki cha sasa kumekuwa na wimbi kubwa la kukosa ajira na hivyo kupelekea mai9sha kuwa duni kwa baadhi ya watu...
 12. Informer

  Uganda: Hackers hit Mobile Money Payments processor

  A major hack that compromised Uganda’s mobile money network has plunged the country’s telecoms and banking sectors into crisis. The Oct. 3 hack was a result of a security breach on a consumer finance aggregator, Pegasus Technologies, which mainly affected bank to mobile wallet transfers...
 13. Jamii Opportunities

  Mobile Fleet HD Technician at Barrick - Bulyanhulu Gold Mine Limited

  Mobile Fleet HD Technician Reporting to: First Line Leader Mobile Fleet Underground Work Schedule: 42 Days On / 21 Days Off Duration: 2 Years POSITION DESCRIPTION: Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit Mobile Fleet HD Technician to join our team. The successful candidate for this...
 14. A

  RAC MOBILE STUDIO

  STUDIO IPO DAR ES SALAAM, POSTA MPYA MTAA WA JAMHURI, LAKINI SIFA KUU NI KWAMBA STUDIO YETU INATEMBEA KUKUFUATA MAHARI ULIPO. TAFADHARI TUTEMBELEE, AU TUPIGIE 0624 136 775 AU 0785 029 655. KARIBUNI.
 15. Roving Journalist

  Qatar Airways Celebrates the Launch of its Enhanced Mobile App with a Special Promotion

  Qatar Airways Celebrates the Launch of its Enhanced Mobile App with a Special Promotion With several new features, the airline’s mobile app is the perfect travel companion for passengers and supports a more contactless journey Qatar Airways is offering great savings and up to 3,000 bonus...
 16. Liston Cosmas

  Natoa free hosting (kwa miezi 6) pamoja na kujenga websites na mobile apps

  Habari wadau! Kama kichwa kinavyosema, ninatoa huduma ya hosting bure kabisa kwa miezi 6 na pia kama unahitaji kua na website au mobile application (ios & android), pia utapatiwa kwa gharama nafuu sana. Napatikana kwa +255 768 55 8494.
 17. Geza Ulole

  Meet Hans Paul's design for mobile laboratory

 18. software master

  Jinsi ya kuflash simu za kichina (android phones)

  Kama kichwa cha post kinavyosema, nataka ujue ni jinsi gani ya kuweza kuflash simu yako ya Android kwa kutumia Proglam mbalimbali kulingana na tatizo binafsi. Hapa kwanza nitaelezea simu mbalimbali kulingana na aina ya chipset zake = => Tecno = => Infinix = => Gionee = => Innjoo = => Itel...
 19. M

  First Mobile communication App in Africa.

  Bishop Sam Zuga to launch “SAMZUGA CHAT” App ON MAY 3, 202012:00 AMIN NEWS Not relenting on his dreams and visions to make Nigeria a better place by providing alternative job opportunities for the agile youths, Bishop Sam Zuga is set to officially launch the first Mobile communication App in...
 20. itel Mobile Tanzania

  Ifahamu Kampuni ya Simu za Mkononi ya 'itel Mobile'

  itel Mobile ilianzishwa mwaka 2007 jijini Hong Kong nchini China kwa kutambua kiu ya wateja ya kuunganishwa kimawasiliano Duniani. Kwa kutumia Falsafa yetu ya "Join · Enjoy", tunafurahi kumpa hamasa na nafasi sawa kila mtu kwa kutoa bidhaa bora kabisa na zinazokidhi haja ya mawasiliano duniani...
Top Bottom