Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,678
12,244
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.

Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae WS INSIGHT kampuni zote hizi ni za ulinzi ambazo kwa hapa nyumbani ndizo zenye malipo mazuri.

Kipindi chote nilicho fanya kazi kwenye makampuni ya hapa nyumbani hali yangu KIUCHUMI ilikuwa mbaya sana nafanya kazi lakini pesa haikai kabisa. niliandika Uzi Natafuta kazi, maji yamenifika shingoni

Niliwahi kuomba kazi ya taaluma yangu niliyo somea kwenye ajira zinazo tangazwaga na serikali Lakini sikuwahi kubahatika kwakifupi nimetafuta ajira serikalini zaidi ya miaka 15 bila mafanikio.

Nakumbuka nimepata marafiki ambao wamekuwa kama ndugu kupitia andiko langu la kusaidia walio kwama kwenye tovuti ya maombi ya ajira za afya na ualimu Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta ajira bila mafanikio ndipo niliamua kuanza kukusanya taarifa juu ya nchi walau zenye fursa za ajira zenye malipo walau mazuri. kwa msisitizo zaidi niliandikaga bandiko hili

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Kupitia bandiko hilo nilipata mwanga wa jinsi ya kuvuka mipaka ya nchi yetu.

Vitu vya kuzingatia kwa mnao taka kusafiri kwa minajiri ya kutafuta maisha nje ya mipaka yetu.

1. Passport hii ni nyezo muhimu sana kwa kila Raia uwe unatafuta ajira au hutafuti kwa kifupi passport ni kitambulisho muhimu sana ambacho unatakiwa kuwa nacho kama ilivyo nida...!

2. AGENTS kwa nchi zetu za kiafrika kama huna pesa au hutoki kwenye familia zinazo jimudu kifedha. huwezi kwenda nje bila kuwa na agent atakae fanikisha safari yako. hapa kwenye ma_agent kuna changa moto kubwa sana. kwa kifupi umakini una hitajika sana kwani baadhi ya maargent sio waaminifu wanaweza wakakupiga pesa na usisafiri au ukasafiri ila ukakutana na hali tofauti huko uendako tofauti na ulivyo ambiwa.

3. AFYA. ikiwa una lengo la kwenda nje hakikisha Afya yako unailinda kwa hali na mali kwani mchi za wenzetu ukiwa na maradhi haswa ya kuambukiza hutopata nafasi ya Visa. hivyo ichunge sana Afya yako kabla hujapewa appointment ya kuhojiwa kuhusu Maombi yako ya VISA nilazima upeleke fomu maalum iliyo jazwa na doctor kuhusu afya yako. na hospital watakazo kwambia uende ni zile genuinely ambazo huwezi kuhonga ili wapindishe taarifa.

4. KUSHITAKIWA/UHARIFU unatakiwa pia ujiepushe sana na uaharifu wowote utakaosababisha utiwe hatiani. kwani ni lazima pia itahitajika upeleke police clearance forms. Hayo ni kwa uchache ninazo connection za ajira kwa nchi za QATAR, DUBAI, UARABUNI yote kwa ujumla.

Unachotakiwa kuwa nacho ni passport na ujuzi wa ziada kama Ufundi, udereva ama fani za ualimu, upishi, udokta, uuguzi n.k Nitakuwa naweka hapa fursa hizo kila zitakapo jitokeza.

N.B
Connection hii siitoi bure, gharama za awali kabisa za kupewa maelekezo ni shilingi 50,000/=

Nafanya hivyo kutokana na kuwa kuna watu ambao awapo seriously kwenye maswala ya msingi. hivyo kama mtu aki weza kulipia nitamconsider kuwa yupo seriously na nitamuongeza kwenye group la Whatsapp kwa ajili ya update ya hizo nafasi.

Mimi mwenyewe nilihangaika kwa gharama kubwa sana hadi kupata hizi connection.

N. B

pesa kwangu sio Tatizo ila nimeweka kiwango hicho ili kupunguza idadi ya watu... maana mimi ni mtu ambae nina kazi zangu nyingine hapa hapa dar es salaam. hivyo siwezi kutoa muda wangu bure 🤣🤣🤣

moja ya kazi zangu ni... Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

hivyo sitegemei consultation fee iniweke mjini... kwenye maisha ili utoboe lazima u take risks...​
 
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.

Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae WS INSIGHT kampuni zote hizi ni za ulinzi ambazo kwa hapa nyumbani ndizo zenye malipo mazuri.

Kipindi chote nilicho fanya kazi kwenye makampuni ya hapa nyumbani hali yangu KIUCHUMI ilikuwa mbaya sana nafanya kazi lakini pesa haikai kabisa. niliandika Uzi Natafuta kazi, maji yamenifika shingoni

Niliwahi kuomba kazi ya taaluma yangu niliyo somea kwenye ajira zinazo tangazwaga na serikali Lakini sikuwahi kubahatika kwakifupi nimetafuta ajira serikalini zaidi ya miaka 15 bila mafanikio.

Nakumbuka nimepata marafiki ambao wamekuwa kama ndugu kupitia andiko langu la kusaidia walio kwama kwenye tovuti ya maombi ya ajira za afya na ualimu Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta ajira bila mafanikio ndipo niliamua kuanza kukusanya taarifa juu ya nchi walau zenye fursa za ajira zenye malipo walau mazuri. kwa msisitizo zaidi niliandikaga bandiko hili

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Kupitia bandiko hilo nilipata mwanga wa jinsi ya kuvuka mipaka ya nchi yetu.

Vitu vya kuzingatia kwa mnao taka kusafiri kwa minajiri ya kutafuta maisha nje ya mipaka yetu.

1. Passport hii ni nyezo muhimu sana kwa kila Raia uwe unatafuta ajira au hutafuti kwa kifupi passport ni kitambulisho muhimu sana ambacho unatakiwa kuwa nacho kama ilivyo nida...!

2. AGENTS kwa nchi zetu za kiafrika kama huna pesa au hutoki kwenye familia zinazo jimudu kifedha. huwezi kwenda nje bila kuwa na agent atakae fanikisha safari yako. hapa kwenye ma_agent kuna changa moto kubwa sana. kwa kifupi umakini una hitajika sana kwani baadhi ya maargent sio waaminifu wanaweza wakakupiga pesa na usisafiri au ukasafiri ila ukakutana na hali tofauti huko uendako tofauti na ulivyo ambiwa.

3. AFYA. ikiwa una lengo la kwenda nje hakikisha Afya yako unailinda kwa hali na mali kwani mchi za wenzetu ukiwa na maradhi haswa ya kuambukiza hutopata nafasi ya Visa. hivyo ichunge sana Afya yako kabla hujapewa appointment ya kuhojiwa kuhusu Maombi yako ya VISA nilazima upeleke fomu maalum iliyo jazwa na doctor kuhusu afya yako. na hospital watakazo kwambia uende ni zile genuinely ambazo huwezi kuhonga ili wapindishe taarifa.

4. KUSHITAKIWA/UHARIFU unatakiwa pia ujiepushe sana na uaharifu wowote utakaosababisha utiwe hatiani. kwani ni lazima pia itahitajika upeleke police clearance forms. Hayo ni kwa uchache ninazo connection za ajira kwa nchi za QATAR, DUBAI, UARABUNI yote kwa ujumla.

Unachotakiwa kuwa nacho ni passport na ujuzi wa ziada kama Ufundi, udereva ama fani za ualimu, upishi, udokta, uuguzi n.k Nitakuwa naweka hapa fursa hizo kila zitakapo jitokeza.

N.B
Connection hii siitoi bure, gharama za awali kabisa za kupewa maelekezo ni shilingi 50,000/=

Nafanya hivyo kutokana na kuwa kuna watu ambao awapo seriously kwenye maswala ya msingi. hivyo kama mtu aki weza kulipia nitamconsider kuwa yupo seriously na nitamuongeza kwenye group la Whatsapp kwa ajili ya update ya hizo nafasi.

Mimi mwenyewe nilihangaika kwa gharama kubwa sana hadi kupata hizi connection.​
Mimi ninaitoa bure kabisa ukiamua kusaidia watu we wasaidie tu hapo kwa ulichokiandika hakuna tofauti na upigaji.

Muhimu ili usaidiwe ni lazima uwe na
1:passport
2:cheti cha afya ambacho mnazi mmoja wanatoa kwa 30k unakipata ukiwa fresh safari ipo

Kuhusu usafiri na visa hizo ni gharama za tajiri ambae anakuhitaji

NB: mshahara wako wa kwanza ukianza kazi unakuwa wa agent kama fee kwa sasa zipo nafasi kwa wafanya kazi wa kazi za ndani tu na mikataba ni kuanzia 6 up to 12 month's
 
Bora na wewe unasidia!! Sio mzee baba asee!
 
unge anzisha uzi wako broh hiyo agent fee ya nini kama una nia ya kusaidia free...! 🤣🤣🤣🤣
 
Mtu anayetaka asaidiwe kazi anaombwa 50k!!, Kuna watu humu wanasaidi bila malipo na kazi za maana tu!.
Mkuu huu sio msaada bali ni biashara yako unaitangaza asee!.
shukrani sana kwa maoni yako... nadhani bado wabongo hujawajua linapo kuja swala la bure...

mind you that huwa watu awathamini misaada... that why unaweza ukamsaidia mtu kwa moyo mmoja mwisho wa safari akakutukana matusi ya nguoni.

mtu anaweza akatupa mtoto kwasababu alimpata bure... ila umesha wahi kuokota gari...?

unadhani kwanini mtu atupi nyumba...?​
 
Bora umefanya hivyo maana jf imevamiwa na wajuaji wengi sana,hata ukitoa connection for free watakuita tapeli
yap... anae penda atanitafuta... ila sio Lazima... na ningeweza kutoa connection bure... na sio mala yangu ya kwanza kusaidia humu... mimi nilisha wahi kutoa msaada humu kwenye ajira za ualimu na Afya...

wengi walipata na mimi nikakosa... watu walikuwa wananipigia simu hadi usiku wa manane... uzi wangu huu Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

ushahidi tosha ... kama ninge kuwa nina nia ya kutapeli ninge watapeli wahanga wa hizo nafasi.... lakini kwakweli niliwasaidia kwa moyo mmoja... huku mimi pia nikiwa ni muombaji na bado nilikosa...!

kwenye huo Uzi nilipata ndugu ambao sifahamiani nao na tuna wasiriana...!​
 
Back
Top Bottom