marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kike

    Jamani uwezi amini sina rafiki wakike mwanamke yeyote anaye hitaji rafiki wa kiume nipo hapa karibu ,ni pm/DM me .
  2. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Kuwa 'Photographer' wa marafiki zako wakati mnatoka out, nacho ni kipengele

    Wakuu, ' Ushauri wa bure: Usikubali kabisa kuwa 'Official Photographer' wa marafiki zako mkienda out! 😂 Unateseka kupiga picha 200, unalala chini kutafuta angle, mwisho wa siku kwenye album nzima huonekani ata kwenye kona, unakuwa mpenzi mtazamaji tu. Halafu kibaya zaidi, ukishalipa hilo...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo marafiki zako watamfariji mkeo, siku ya msiba wako.

    Siku ukitangulia mbele za haki mkeo atapata faraja kutoka kwa marafiki zako.
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa na marafiki wengi wa kike

    Wataalamu wanasema, kuwa na marafiki wengi wa kike ni sawa na kufuga kuku wengi bandani, pale unapohisi njaa unamkata kuku mmojawapo, unachinja na kumla. Ingawa changamoto yao, ya kuwa nao wengi, wanakula sana mapumba (hela) ila hawata taka kuathiri vyanzo vyako vya fedha; ila ni bora wao...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wasegeju na washirombo ni marafiki wanafiki

    Je wajua kwamba urafiki wa kinafiki ni moja kati ya mambo yanayouma na kuacha majeraha makubwa moyoni?. Ni pale mtu anayejifanya yuko na wewe mbele ya macho yako, lakini nyuma yako anakuwa wa kwanza kukuharibia, kukusengenya, au kufurahia anguko lako?. Wanajifanya ni "ndugu" lakini kiuhalisia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

    Nimemaliza. Lisu hujawahi kwenda kumuona. Au??? mara moja!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jamaa na Marafiki Wanasherehekea Miaka 80 ya Profesa Issa Shivji: Maisha, Uanazuoni na Harakati

    22 August 2026 https://m.youtube.com/watch?v=4x2ejQJnBQk Marafiki, wanazuoni na makamaradi wanampongeza proffesa Shivji kutimiza miaka 80 ya maisha yake na mchango wake katika jamii kupitia kazi zake za uwakili, mwanazuoni uanaharakati pamoja na maandishi mbalimbali ambayo ameandika kuwahusu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wa kubadilisha mawazo
  9. Lamomy

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa marafiki ulioniacha mdomo wazi!

    Haya haya wambea wenzangu njooni..!! 😹 Juzi kati nilishikwa na homa. Sasa kuna mtoto wa sis angu alikuja kunisalimia ni mwanachuo wa chuo kimoja hapa jijini..!! Tukaanza kupiga story na kupeana pole. Mara nyingi nimezoea kumuona na bff wake Rose (sio jina halisi) ikabidi nimuulize rafiki yako...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, Tunaweza Kuwa Marafiki!?

    Katika ulimwengu huu wenye kelele nyingi lakini uliojaa mioyo pweke, swali hili halitoki tu midomoni, bali linasikika kama kilio cha chini chini kutoka ndani kabisa ya roho inayotafuta makazi. Upweke si tu hali ya kuwa peke yako, bali ni ule mzigo mzito unaokukaba koo katikati ya umati wa watu...
  11. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Family Friend / Marafiki wa karibu iwanasaidia kuokoa ndoa / Mahusiano

    Ni muhimu sana kwa watu waliopo ktk ndoa kuwa na Family friend au waliopo kwenye mahusiano serious kuwa na marafiki wa karibu . Mwanamke uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki wako wa karibu kwa mwanaume wako , na mwanaume uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki yako wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Marafiki waliniacha, lakini yule niliyemuumiza alibaki nami

    Nimekuwa nikijiuliza kila mara ni kwa kiwango gani mtu anaweza kujitoa kwa ajili ya mwingine. Wakati mwingine watu tunaowadharau au kuwaona hawana thamani ndio wanaoweza kubadilisha maisha yetu kabisa. Hii ni hadithi yangu kuhusu majuto, msamaha na somo ambalo sitawahi kulisahau. Nilipokuwa...
  13. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kubadili aina ya marafiki nilionao.

    Mko salama? Toka jumamosi nilikua na shida kama ya laki 5 hivi,kila rafiki niliyejaribu kumpigia aniazime anasema hana.mimi nikiwa nazo huwa ni mwepesi kutoa ila siku nikikwama sina msaada kutoka kwenye cycle yangu. Nafikiria kubadili aina ya watu wanaonizunguka kabisa.
  14. adriz

    JamiiForums Tanzania Je , upo comfortable watu wako wa karibu , ndugu na marafiki waijue account yako ya Jf ?

    Moja kwa moja... Jf imekuwa tofauti na mitandaoni wengine watu wengi tunatumia majina na picha fake kama utambulisho wetu wachache sana wanaotumia utambulisho wao halisi , hali hii inaelekea ugumu kukutana na kuwajua Wana Jf mtaani tofauti na mitandao mengine. Na mtu anaweza kujutajia account...
  15. realMamy

    JamiiForums Tanzania Marafiki zako wa leo, Mustakabali wa Mtoto wako kesho

    Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda. Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Samia anajali familia na marafiki zake tu sio Tanzania!

    1. Angalieni safari ya Urusi kajaza ndugu zake na watoto. Hakuna hata kitu kimoja cha kunufaisha 2. Ni mkataba gani wa maana tumepewa au uwekezaji gani wa maana!!! 3. Yaani tukio kubwa eti ni kupewa PHD ya heshima!!!! Haya mambo yote ni ya kufurahisha nafsi yake lakini manufaa kwa nchi hakuna
  17. MRWINNER

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni 🤔🤔 lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti Nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘
  18. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kazi chanzo ni marafiki

    Habari za usiku wakuu wa kazi, Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia. Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa . Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida...
  19. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Je, mtu anaweza kuishi bila marafiki?

    Baadhi ya watu huishi maisha ya peke yao. Je, hiyo ni afya au tatizo?
  20. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje niache kubeti?

    Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza...
Back
Top Bottom