Naweza kutibiwa nje ya nchi kwa kadi ya bima ya Afya (NHIF)?

Hawa ndo watumishi wetu wa umma,tena unaweza kuta ni top official ila hajui kati ya national health insurance na international health insurance.

Kiufupi mkuu huwezi tibiwa kwa bima ya NHIF ukiwa nje ya nchi,achilia mbali Ivory coast hata Burundi tu hawaipokei na huwezi pewa huduma.
 
National Insurance Health Fund

Ni hapa tu Bongo,ukita kutibwa huko deal wakata Bima zile International/Universal
Vifurushi vyao vimechangamka mno.
 
Wakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?
Unaweza kupata ikiwa hapo hospitali utakutana na maandishi yanayosomeka "TUNAPOKEA KADI YA NHIF HAPA"
 
Back
Top Bottom