Marekani yavunja Rekodi yake ya kuuza silaha nyingi nje ya Nchi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukizidisha mahitaji hayo ya silaha.

Poland ambayo iko katika harakati za kupanua jeshi lake, ilifanya nayo ni moja ya Taifa lililonunua silaha nyingi ikiwemo Helikopta za Apache kwa Dola Bilioni 12, Mfumo wa Roketi (Himars) Dola Bilioni 10 na Dola Bilioni 3.75 kwa Vifaru vya M1A1 Abrams, Mfumo wa Ulinzi wa Anga Dola Bilioni 4.

Baadhi ya Wateja wengine; Ujerumani Dola Bilioni 8.5, Bulgaria Dola Bilioni 1.5, Norway Dola Bilioni 1, Czech Dola Bilioni 5.6b

Utawala wa Rais Joe Biden umesema kuwa msaada wa Marekani kwa Ukraine unakuza uchumi wa ndani kupitia mauzo ya silaha. Bado.

+++++++

US weapons sales abroad hit record high in 2023, boosted by Ukraine war

US weapons sales overseas rose sharply last year, reaching a record total of $238bn (£187bn), as Russia's invasion of Ukraine stoked demand.

The US government directly negotiated $81bn in sales, a 56% increase from 2022, the state department reported.

The rest were direct sales by US defence companies to foreign nations.

Ukraine's neighbour Poland, currently on a drive to expand its military, made some of the biggest purchases.

Poland bought Apache helicopters for $12bn, and also paid $10bn for High Mobility Artillery Rocket Systems (Himars) and $3.75bn for M1A1 Abrams tanks, the department said in a report for the US government's fiscal year that ended in October

It also spent $4bn on Integrated Air and Missile Defence Battle Command Systems.
Prime Minister Donald Tusk has vowed to continue the previous conservative government's military modernisation programme, which aimed to make Poland "the most powerful land force in Europe".

Germany, meanwhile, spent $8.5bn spent on Chinook helicopters. Bulgaria paid $1.5bn for Stryker armoured vehicles and Norway bought $1bn worth of multi-mission helicopters.

The Czech Republic bought $5.6bn in F-35 jets and munitions.

"Arms transfers and defence trade are important US foreign policy tools with potential long-term implications for regional and global security," the state department said in its annual memo released on Monday.

Sales were also boosted by countries turning away from Russia, which has been the second largest seller of weapons after the US for decades, according to the head of the department's arms transfers office.

"The Russian defence industry is failing and continues to fail," said Mira Resnick told Politico, adding that Russian weapons manufacturers are being "denied the resources that come from exports", such as cash.

President Joe Biden's administration has argued that American support to Ukraine boosts the domestic economy through arms sales. Still, US lawmakers look increasingly willing to end direct support to Ukraine, with many Republicans pushing for assistance to be tied to an overhaul of US immigration policy.

One Wednesday, Nato Secretary General Jens Stoltenberg will visit a Lockheed Martin missile facility in Alabama, hoping to underscore the importance of the US defence industry to the alliance.

Outside of Europe, the weapons report showed that South Korea paid $5bn for F-35 jets and Australia spent $6.3bn on C130J-30 Super Hercules planes. Japan reached a $1bn deal for an E-2D Hawkeye surveillance plane.

Source: BBC
 
Hzo silaha zake anauza kilazima sio kama watu wanazikubali kiubora akisikia hujanunua kwake silaha ananuna na vikwazo anakuwekea aache soko liwe huru aache watu wachague wanapotaka kununua aone km kuna atakaenunua kwake lakini yy anawawekea vikwazo wenzake hili yy auze.
 
Uturuki alikuwa amezuia Sweden isijiunge NATO Ili kuishinikiza marekani imuuzie ndege za f-16.
Mpaka marekani alipokubali kuiuzia uturukif-16 ndio ikaondoa zuio la kujiunga NATO!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Source
Kweli kufa kufaana kwa takwimu hizi yule Zelensk bado haelewi tu.

Maana pesa nyingi zinazoitwa za msaada zinabaki kwa hao hao wanaotoa msaada halafu wanamtumia silaha.

Wenyewe wanakuza uchumi wao yeye wanambomolea.
 
Hzo silaha zake anauza kilazima sio kama watu wanazikubali kiubora akisikia hujanunua kwake silaha ananuna na vikwazo anakuwekea aache soko liwe huru aache watu wachague wanapotaka kununua aone km kuna atakaenunua kwake lakini yy anawawekea vikwazo wenzake hili yy auze.
Hakuna kitu kama hicho acheni porojo zisizo na maana. Nchi gani duniani inaweza kuilazimisha nchi nyingine inunue bidhaa zake kwa shuruti, angalieni vitu mnavyoandika sio kupotosha watu humu mitandaoni. Bure kabisa.
 
Na wewe mwekee.
 
Mzee naomba uthibitisho, turkey alikuwa anazitaka nadhani ni F16 tangu 2021 lakini kwakuwa alikuwa hataki sweden ajiunge NATO alinyimwa juzi kakubali sweden ajiunge utawala wa Biden umeruhusu uuzaji wa ndege
 
Ila baishara ya silaha ji gharama sana ndo maana nchi za afrika zinanua urusi kutokana na utafauti wq gharama.
 
Hzo silaha zake anauza kilazima sio kama watu wanazikubali kiubora akisikia hujanunua kwake silaha ananuna na vikwazo anakuwekea aache soko liwe huru aache watu wachague wanapotaka kununua aone km kuna atakaenunua kwake lakini yy anawawekea vikwazo wenzake hili yy auze.
Sasa ulitaka wakanunue urusi zile siraha zilichomw moto km60 zote zikaungua kwa vibomu vya mkono saivi anagiza toka iran
 
Hakuna kitu kama hicho acheni porojo zisizo na maana. Nchi gani duniani inaweza kuilazimisha nchi nyingine inunue bidhaa zake kwa shuruti, angalieni vitu mnavyoandika sio kupotosha watu humu mitandaoni. Bure kabisa.
Wavaa kobazi hao wavumilie
 
Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukizidisha mahitaji hayo ya silaha.

Poland ambayo iko katika harakati za kupanua jeshi lake, ilifanya nayo ni moja ya Taifa lililonunua silaha nyingi ikiwemo Helikopta za Apache kwa Dola Bilioni 12, Mfumo wa Roketi (Himars) Dola Bilioni 10 na Dola Bilioni 3.75 kwa Vifaru vya M1A1 Abrams, Mfumo wa Ulinzi wa Anga Dola Bilioni 4.

Baadhi ya Wateja wengine; Ujerumani Dola Bilioni 8.5, Bulgaria Dola Bilioni 1.5, Norway Dola Bilioni 1, Czech Dola Bilioni 5.6b

Utawala wa Rais Joe Biden umesema kuwa msaada wa Marekani kwa Ukraine unakuza uchumi wa ndani kupitia mauzo ya silaha. Bado.

+++++++

US weapons sales abroad hit record high in 2023, boosted by Ukraine war

US weapons sales overseas rose sharply last year, reaching a record total of $238bn (£187bn), as Russia's invasion of Ukraine stoked demand.

The US government directly negotiated $81bn in sales, a 56% increase from 2022, the state department reported.

The rest were direct sales by US defence companies to foreign nations.

Ukraine's neighbour Poland, currently on a drive to expand its military, made some of the biggest purchases.

Poland bought Apache helicopters for $12bn, and also paid $10bn for High Mobility Artillery Rocket Systems (Himars) and $3.75bn for M1A1 Abrams tanks, the department said in a report for the US government's fiscal year that ended in October

It also spent $4bn on Integrated Air and Missile Defence Battle Command Systems.
Prime Minister Donald Tusk has vowed to continue the previous conservative government's military modernisation programme, which aimed to make Poland "the most powerful land force in Europe".

Germany, meanwhile, spent $8.5bn spent on Chinook helicopters. Bulgaria paid $1.5bn for Stryker armoured vehicles and Norway bought $1bn worth of multi-mission helicopters.

The Czech Republic bought $5.6bn in F-35 jets and munitions.

"Arms transfers and defence trade are important US foreign policy tools with potential long-term implications for regional and global security," the state department said in its annual memo released on Monday.

Sales were also boosted by countries turning away from Russia, which has been the second largest seller of weapons after the US for decades, according to the head of the department's arms transfers office.

"The Russian defence industry is failing and continues to fail," said Mira Resnick told Politico, adding that Russian weapons manufacturers are being "denied the resources that come from exports", such as cash.

President Joe Biden's administration has argued that American support to Ukraine boosts the domestic economy through arms sales. Still, US lawmakers look increasingly willing to end direct support to Ukraine, with many Republicans pushing for assistance to be tied to an overhaul of US immigration policy.

One Wednesday, Nato Secretary General Jens Stoltenberg will visit a Lockheed Martin missile facility in Alabama, hoping to underscore the importance of the US defence industry to the alliance.

Outside of Europe, the weapons report showed that South Korea paid $5bn for F-35 jets and Australia spent $6.3bn on C130J-30 Super Hercules planes. Japan reached a $1bn deal for an E-2D Hawkeye surveillance plane.

Source: BBC
Jamaa vita ni mtaji
 
Back
Top Bottom