rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa zaidi ya LNG yaweka rekodi mpya duniani

    Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam, Uholanzi. Bio-LNG ni aina ya mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye taka za kilimo na mabaki ya viumbe...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

    Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
  3. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Ronaldo Avunja Rekodi ya Eusébio World Cup

    Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora zaidi wa Portugal kwenye historia ya World Cup 🔥 Baada ya mabao yake mawili dhidi ya Uzbekistan: Ronaldo amefikisha mabao 10 ya World Cup 🔥 Akimvuka gwiji wa zamani wa nchi hiyo Eusébio da Silva Ferreira aliyekuwa na mabao 9 Jamaa anadai amerudi...
  4. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Ronaldo Amaliza Ukame na Kuweka Rekodi Mpya World Cup 🔥

    Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo. Mabao hayo: Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa. Na pia yakamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga kwenye World Cup 6 tofauti. Ronaldo sasa...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Prof.Mbarawa: Bandari ya Dar yavunja rekodi Kwa Kuhudumia mzigo wa Tani Milioni 30.Atoa kongole nyingi Kwa DP World.

    Bila uwekezaji wa DP World hii volume ingekuwa ndoto maana target ilikuwa kuhudumia Tani mil.30 by 2030 lakini target imefikiwa miaka 4 kabla . Kwa sasa Bandari ya Dar ni Kimbilio sio njia mbadala Mombasa ikifeli. Haya Sasa ndio maamuzi ya Tija Kwa Nchi, Serikali ingesikiliza zile kelele za...
  6. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Uholanzi Yaweka Rekodi Kali World Cup 🔥

    Netherlands wameweka rekodi mpya kwenye World Cup baada ya kufikisha unbeaten run ya mechi 14 bila kupoteza ndani ya 90 minutes + extra time🔥 Rekodi hiyo imevunja ya: - Brazil waliokuwa na mechi 13 bila kupoteza (1958–1966) 📌 Muhimu:Rekodi hii haijumuishi penalty shootouts. Yaani:Mechi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tegemea huu mwaka kuvunja rekodi ya vifo vya wabunge na mawaziri wa CCM wanaweza fika mpaka 30

    Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
  9. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

    Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
  10. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi tata ambao ulivunja rekodi ya dunia ya GUINESS ambayo haijawahi vunjwa hadi sasa

    Uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927.Katika matokeo mshindi alikuwa bwana Charles D.B King wa chama cha True Whig, alichaguliwa kwa kipindi cha tatu baada ya kumshinda mpinzani wake bwana Thomas J.R.Faulkner wa chama cha watu yaani People's Party.Kabla ya hapo Faulkener alikuwa ni...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Simon Msuva aifikia rekodi ya Mrisho Ngassa, afikisha Magoli 25 Taifa Stars

    Mshambuliaji wa Timu ya Tanzania “Taifa Stars”, Simon Happygod Msuva ameifikia rekodi ya Mrisho Ngassa ya kufunga Magoli 25 katika timu hiyo na hivyo kuwa wachezaji waliofunga Magoli mengi ngazi ya timu ya Taifa. Msuba amefikia rekodi hiyo kwa kufunga kwa njia ya penati katika mchezo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ona unyama uliopitiliza wa rekodi ya dunia. Unatokwa na machozi

    Unyama , ukatili wa serikali, polisi na jeshi kwa wananchi wao. Soma, unatokwa na machozi.
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  15. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya Samia yavunja rekodi ya kuua raia wake tangu Idd Amin kuwaua!

    https://twitter.com/RahmaMwita/status/1990298542972559465?t=7qbHSYfr_DjgtMvB3nvTCA&s=19
  16. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  17. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

    Tangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu. Sitta 2005 - 2010 Makinda 2010-2015 Ndugai 2015-2021 Tulia 2021 - ?? Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Liverpool yamsajili Alexander Isak na kuweka rekodi Ligi Kuu England

    Liverpool wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United, wakiweka rekodi mpya ya usajili England kwa mara ya pili msimu huu wa joto. Alexander Isak ametangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Liverpool kwa usajili wa rekodi wa £125m kutoka Newcastle kwa Mkataba hadi...
  19. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Wajue wanawake na wanaume waliovunja rekodi ya kufanya mapenzi na idadi kubwa ya watu duniani!

    Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang” Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani) Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo rekodi zinazoshikiliwa na majiji nje ya Dar-Es-Salaam

    Muonekano mzuri city center - Mwanza Barabara - Dodoma Maji - Mbeya Huduma za Serikali - Dodoma Utalii - Arusha Vyuo - Mbeya Malls na supermarket - Mwanza Usalama - Dodoma Huduma za Afya - Mbeya Hali ya Hewa - Arusha Mzunguko wa pesa - Mwanza Unafuu wa maisha - Mbeya Ukarimu wa watu - Tanga...
Back
Top Bottom