Hii inawahusu wanaopenda kusafiri nje ya nchi

HUKU ABROAD

Senior Member
Nov 20, 2020
127
210
Hii ni kwa wote wanaopenda kusafiri.

Nachukua nafasi hii kusema kwamba asanteni kwa wote wanaofatilia nakali hizi za Huku Abroad.

Leo nataka kuelezea njia moja wapo ambayo watu wengi pamoja na Ma agent wengi wamekuwa haitumii kwenye swala zima la kufata taratibu za Kusafir Abroad.

Kwa wenye uzoefu nahis watakuwa wanaelewa nazungumzia nini mara nyingi tumekuwa tukisafir kwa Njia za Mialiko ya mikutano mialiko ya Ndugu jamaa na marafiki , na wengine huenda kwa ajili ya Business baadhi yao huenda kwa ajili ya kusoma , schoralship na nk.

Lakini kuna Kitu kinaitwa Trip Tour ambayo unakuwa unailipia ukiwa huku au unafanya mawasiriano na compuni za utalii kule ili washike nafasi yako yako endapo utafika kule una lipa.

Lakini Pia kuna Kitu Kinaitwa itinerary, kwa lugha ya kiswahili unamaana ya " Ratiba "

Sasa hii Itinerary naweza kusema ni kama trip tour ila hii tofauti yake ni kwamba .. ni wewe unachagua sehemu ambazo utatembelea kipindi umeshafika unaposafiri ukiambatanisha na Hotel utakazi pumzika kipindi unapo ama kwenda sehem moja kwenda nyingi..

Kwa kutumia njia ya Itinerary ni rahisi na uhakika wa kupata visa kwa asilimia 100% kama utakuwa na Vigezo hivi;

1. Bank statement yako iwe ina pesa za kutosha kufanya mizunguko hiyo

2. Uwe na uhakika wa kurudi nchini mwako , Ushahid kuonyesha kama una mali , au familia
barua kutoka kwenye taasisi unayofanya kazi , nk

Kwa wale ndugu zetu wanaopenda kujilipua. Usikurupuke kutafuta agent fanye research kwanza ujue nini unataka ndio Utafute Agent wa Anaeweza kufanya kazi yako Vizuri.

Kama hujaelewa kuhusu Itinerary
Usiogope Kuuliza ....

+255 696 444464 WHATS APP ONLY
 
Back
Top Bottom