madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JembeNaNyundo

    JamiiForums Tanzania Uganda analipwa mara nne ya mshahara wa Daktari wa Tanzania

    Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine? Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6. Kama mvivu kusoma...
  2. kali linux

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuchat moja kwa moja na madaktari wabobevu ukiwa na App hii

    Hello bosses... Napenda kuwakaribisha kwenye App ya Afya Mingle Afya Mingle - Apps on Google Play ambamo utaweza kuchat moja kwa moja na madaktari wabobevu. Madaktari wetu ni Professional Medical doctors wenye leseni. Tunazidi kuwasiliana na madaktari bingwa wengine ili uweze kuwapata ndani ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za madaktari Ndanda Referral Hospital, Masasi

    Habari wakuu? Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II. Kama una ndugu yako hajafanikiwa hizi za serikali basi mjulishe! Kwa bahati mbaya leo ndo mwisho wa kutuma maombi...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa kiume wasijihusishe na uchunguzi wa sehemu za Siri za wanawake, sera itungwe upya daktari wa kike ahudumie wanawake!

    Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake. Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania JE, NI KWELI PUNYETO NA USAGAJI NI MIONGONi MWA VYANZO VYA KANSA YA VIA UZAZI, MADAKTARI NA WATAALAMU WA AFYA YA UZAZI?

    Naomba ufafanuzi tafadhali wangwana matabibu wa afya na mapenzi?🐒
  6. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki ina maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4

    Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki inao maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4! Wadau hamjamboni nyote? Familia bora kabisa kitaaluma. Niwatakie siku njema.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanawake watakiwa kuacha Kupenda Kutumia 'Vilainishi' wakati wa Tendo la Ndoa bila Maelekezo Maalum ya Madaktari

    Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa tendo la ndoa. Kila mmoja akiuza bidhaa ya aina yake, njia tofauti zimekuwa zikitumika katika...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba madaktari huwatibu vizuri na kuwajali zaidi wateja wanaolipia cash badala ya bima ?

    Kuna ukweli wa hili jambo ?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Madaktari wanafunzi (Intern)

    wasaidiwe
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba Magari ya Wagonjwa yawe mengi kwa Mkapa Keshokutwa na Madaktari wakae Stand by Hospitali za Jirani na Kubwa Dar es Salaam

    Kwa nilichokipata tu kutoka somewhere huenda kuna wa Kuzimia kuwa Wengi au Kufa na Kuugua vibaya Keshokutwa.
  11. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Moja ya Taaluma ambayo inaendelea kuwaweka CCM Madarakani Ualimu Wangekua kama Madaktari na wanasheria CCM ingekua out zaman sana

    Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana. TLS ashawahi shinda Lissu Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm. The same Madaktari washawahi itikisa hii Nchi hadi wakaanza wafanyia ukatili NB:Yule Daktar Ulimboka. Hii Nchi taaluma moja...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza posho kwa madaktari, wauguzi

    Serikali ya Tanzania imesema imeongeza posho za madaktari anapoitwa nje ya saa za kazi, posho ya sare za wauguzi na ile ya kuchunguza maiti kuanzia mwaka wa fedha 2024/2025. Hatua hiyo imekuja ikiwa ni miaka mingi imepita tangu madaktari na wauguzi chini, kuomba ongezeko hilo. Hayo yamesemwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa anajadiji kuadhibu Madaktari kwa kutibu wagonjwa katika vituo zaidi ya kimoja kweli? Kwanini tumekuwa na viongozi wanaowaza kuadhibu tu?

    Yapo mambo yameshawekwa wazi kwenye taratibu za ajira. Kila mfanyakazi ana masaa ya kazi na baada ya muda huo yupo huru kufanya kazi zake. Tanzania tuna upungufu wa madaktari bingwa. Wanataaluma ya udaktari wa binadamu wameweka utaratibu wao wakusaidiana kuokoa maisha Mfumo wa afya wa nchi...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi madaktari wasasa mbona mnageukana?

    Jf wasaalam 🙏 Nina hoja kadhaa wa kadhaa naomba nisikilizwe na kupewa majawabu. Kwa Sasa tumeshuhudia wimbi kubwa la ma doctor hasa kwenye mitandao ya kijamii wakitumia Account zao kutupa elimu za namna Gani ya kuishi huku tukitunza afya zetu. Ni jambo jema na tunawapongeza sana Kwa kutumia...
  15. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  16. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania KERO Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila) Madaktari wanafunzi ni Janga. Watu wanakufa kwa uzembe

    Hii hospitali kama serikali na uongozi hautachukua hatua za haraka watanzania wengi wataendelea kufa kwa uzembe wa madaktari wanafunzi ambao hawasimamiwi ipasavyo na wakuu wao kazi. Nimeshuhudia mgonjwa wangu akiambiwa hana tatizo lolote la nyonga baada ya kumpeleka akiwa amepata ajali na...
  17. Expect Quality

    JamiiForums Tanzania Nchini China na Madaktari wa roboti

    Nchi ya China imeendelea kuwekeza katika huduma za afya, hospitali kubwa zaidi ya Artificial intelligence ambayo inaweza kuhudumia wagonjwa 3000 Kwa siku, ambayo kwa kawaida Madaktari wanaweza kuchukua zaidi ya miaka 2 kufanikisha
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunajali Maafisa Habari kuliko Madaktari?

    Kuna nchi Afisa Habari ana muhimu zaidi kuliko hata Madaktari wanaookoa maisha ya Mama zetu Vijijini. Waandishi/ Maafisa Habari, wanapewa posho kila kikao, audience kibao. Hivi ni lini tutaheshimu na kuwathamini Madaktari wa binadamu Kwa maslahi na vifaa kazi? PIA SOMA - Kwanini Serikali...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
Back
Top Bottom