madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

    Waziri Ndaki na katibu(mifugo) Bw. Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa madaktari wa mifugo. kutoka kwa Vet Surgeon Habari Mh. Mashimba Ndaki , pole na majukumu na hongera kwa kuwezesha sekta ya mifugo kuendelea kusonga mbele. Kulingana na Takwimu za 2020...
  2. L

    Afrika yaendelea kukumbuka na kuenzi mchango mkubwa unaotolewa na timu za madaktari wa China

    Ikiwa dunia inaadhimisha siku ya Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali nyekundu kila ifikapo Mei 8, nchi mbalimbali hasa hza Afrika zitaendelea kukumbuka na kuenzi mchango mkubwa unaotolewa na timu za madaktari wa China katika barani humo, ambao wamekuwa mstari wa mbele kupambana na...
  3. NITAKUKAMATA TU

    Je kwa Uzembe huu wa madaktari ulivosabababisha kumpoteza mdogo wangu,nilikosea kuwaacha ningechukua hatua??,(ukweli)

    Habari wana jamvi,leo nimekuja na thread hii. hili pengn kama kuna mtu,anaweza kujikuta katika hali kama hii,pengine wawe waangalifu . Ep1 Mimi ni mzaliwa wa pili katika familia yetu ,familia yetu ilikuwa ya watoto sita .mama yetu alifariki tukiwa bado wadogo .tukabaki na baba ambaye alikuwa...
  4. beth

    Hali yazidi kuwa tete Sri Lanka, Madaktari waitisha maandamano kutokana na uhaba wa dawa

    Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea katika miongo kadhaa Madaktari wanasema hali iliyopo inaweza kusababisha Mfumo mzima wa Afya unaweza...
  5. S

    Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri , haiwaathiri kweli hii?

    Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri. Hii aiathiri kweli nguvu zao zakiume?
  6. L

    Watu wa Sudan Kusini watarajia kikundi cha madaktari wa China kirudi tena

    kikundi cha tisa cha madaktari wa China nchini Sudan Kusini jana ilikamilisha majukumu yake ya kimatibabu katika jimbo la Lakes kwa siku tano, na kurudi katika mji mkuu Juba. Wakazi wa jimbo hilo wanatarajia kuwa madaktari wa China watarudi tena. Shughuli hiyo ya matibabu ilifanyika katika...
  7. Mwasapile

    Ufanisi wa madaktari wa Tanzania umeshuka, tatizo ni nini?

    Hivi madaktari wa siku hizi wana shida gani! mbona kama ni hawajui kitu tena!? Yaani siku hizi ukienda hospitali utapata tiba ya haraka kama unaumwa magonjwa yaliozoeleka kama malaria,typhoid, u.t.i nk lakini kama unaumwa kitu ambacho hakijazoeleka unaweza ukafia hapo wanakuangalia. Yaani...
  8. Erythrocyte

    Zambia: Madaktari Waandamana kuelekea Ikulu, Polisi wawasindikiza

    Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao . Cha kushangaza ni hatua ya Polisi wa nchi hiyo kujitokeza na kuwasindikiza waandamanaji hao kuelekea Ikulu , katika nchi ambayo ni...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa hawa Madaktari huko mbeleni tutapata tabu

    Sabato NJEMA! Kuna madaktari waliotokea moja Kwa moja Kidato cha Sita kwenda kusoma MD, na wapo ambao wametokea Diploma(Clinical Officer, CO) kwenda kusomea MD. Kiukweli nimeshtushwa mno baada ya kukutana na Baadhi ya Madaktari watarajiwa wasomao MD na wengine waliomaliza CO. Mambo...
  10. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo

    Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza...
  11. K

    Mgomo wa Madaktari na Wafanyakazi wa hospitali ya Dar group (T.O.H.S) kuanza Februari 14

    Madaktari na wafanyakazi wa Taasisi ya Tanzania Occupational Health Services (T.O.H.S) maarufu kama Dar Group Hospital wanatarajia kuanza mgomo na kuishinikiza Serikali kupitia wizara zake husika kutoa muafaka na hitimisho kuhusu kadhia ya muda mrefu iliyop ktk hospital hiyo isiyo na mmiliki...
  12. MK254

    #COVID19 Madaktari 38 wakutwa na COVID-19 Zanzibar

    Chukueni tahadhari, hiki kitu kimebeba hadi marais... ========= Eighty nine people have on December 24 tested positive for Covid-19 including 38 doctors and nurses at Mnazi Mmoja Referral Hospital in Zanzibar. This was said by the hospital's director Dr Marijani Msafiri while briefing the...
  13. F

    Udaktari sio wito, madaktari mtaendelea kudharaulika

    Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito. Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na...
  14. meningitis

    Chama Cha Madaktari Tanzania chatoa tamko juu ya tukio la Kaliua

    Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa. Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
  15. dyuteromaikota

    Madaktari mnapotuandikia dawa semeni kama inaendana au haendani na vitu vingine mfano pombe

    Kuna pisi moja ya ukweli sana imepotea. Naskia ilichanganya pombe na dawa. Kwa nini hamsemi? Mnafurahi mtu akifa? Haya ninyi madaktari mliomo humu hebu tusaidieni orodha ya dawa ambazo haziendani na pombe. Msisubiri watu wafe ndo mjifanye kusikitika. Ahsante.
  16. Nduka Original

    Ushauri serious unatakiwa toka kwa madaktari

    Nina ndugu yangu amekuwa diagnosed na High Blood Pressure na Diabetic. Anakunywa red wine karibia kila siku chupa moja. 1. Je hii ni sawa 2. Au anatakiwa kuacha kabisa?
  17. M

    Baada ya kumtega mhadhiri wa UDOM kwa rushwa ya ngono, sasa tuwatega madaktari hospitalini kwa dhambi hiyo hiyo

    Nasikitika hadi Kushangaa kuona Watanzania tukijikita zaidi katika Kupambana na Rushwa ya Ngono kwa Wahadhiri wa Chuo dhidi ya Wanafunzi wa Kike Vyuoni huku tukilisahau eneo lingine Muhimu. Sasa leo nawataarifu kama kuna Sekta ambayo kwa miaka ya hivi karibuni kama Miaka Kumi inaongoza kwa...
  18. Sol de Mayo

    Je, mazoezi haya wakati wa kuyafanya unatakiwa kubana pumzi?

    Natumai muko njema bandugu. Msaada wenu bandugu,,,mazoezi haya wakati wa kuyafanya unatakiwa kubana pumzi??? Na je, usipobana pumzi inakuwaje? Nitashukulu sana mukinisaidia na Mungu atawabaliki. Zoezi la kukimbia Kegel Push up Gym Zoezi la kuchuchumaa
  19. Cannabis

    Waziri Dorothy Gwajima aagiza Baraza la Madaktari kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa wa COVID-19

    Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari (MAT) kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa na chanjo dhidi ya UVIKO19. Amesema atakayeshindwa kuthibitisha taarifa zake atachukuliwa hatua, lengo likiwa ni kudhibiti upotoshaji.
  20. Osmokalu

    Aina hii ya fistula, msaada wenu madaktari ni jinsi gani ifanyike ili mgonjwa aweze kupona

    Niende moja kwa moja kwenye maada. Kuna dada mmoja alipatwa na bawasiri ila ile bawasiri ilipona kwa dawa pasipo kufanyiwa operation's. Kilichojitokeza sasa ni jipu pembeni ya tundu la haja kubwa, baada ya jipu kupasuka imetengeneza njia ambayo ina uhusiano na njia ya haja kubwa, hivyo basi...
Back
Top Bottom