manesi

Andrea Manesi was an Albanian leader who organized a revolt in 1607 against the Ottoman Empire. He declared himself to be the second Skanderbeg, instructed by celestial beings to depose the Sultan and take his place. Gaining fame as having miraculous abilities and helping the poor, he increased the number of his supporters until the revolt was put to an end by Ottoman armies.

View More On Wikipedia.org
  1. Niwaheri

    Wakurugenzi na maafisa utumishi chanzo cha mikopo kausha damu kwa watumishi, hasa walimu na manesi

    Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtumishi wa umma anaenda kukopa taasisi zenye riba kubwa na matapeli wakati anauwezo wa kukopa benk kama NMB na CRDB ambapo ni salama kwake. Kumbe chanzo ni nyie nyie serikali kupitia wakurugenzi na HRO, alafu kucha kutwa mnasimama majukwaani watumishi...
  2. Niwaheri

    WAKURUGENZI NA MAAFISA UTUMISHI CHANZO YA MIKOPO KAUSHA DAMU KWA,WATUMISHI HASA WALIMU NA MANESI

    Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtumishi wa umma anaenda kukopa taasisi zenye riba kubwa na matapeli wakati anauwezo wa kukopa benk kama NMB na CRDB ambapo ni salama kwake. Kumbe chanzo ni nyie nyie serikali kupitia wakurugenzi na HRO, halafu kucha kutwa mnasimama majukwaani watumishi...
  3. E

    Kwanini manesi wana roho mbaya?

    Kwanini manesi wakike hasa wa Dar es Salaam hasa wanaohusika na wazazi wana roho mbaya sana. Manesi kwani ninyi hamjui kwamba Kuna ambao hawana uwezo wa kuwahonga pesa. Kwani ni kosa kuzaa? Wewe nesi hapo Muhimbili mama mtu mzima mwenye curl kit jiheshimu.
  4. Torra Siabba

    DOKEZO Hospitali ya Bugando hamuwaoni Manesi wanaoacha kuhudumia Wagonjwa na kuwa bize na Biashara kwa Wajawazito?

    Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu. Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Leo tuwachane madaktari na manesi kujiona wadogo zake Mungu

    Hakuna shaka wanafanya kazi kubwa kuokoa maisha yetu. Mungu awabariki sana kwenye hilo. Lakini kama binadamu wengine nao wana mapungufu. Wengine mapungufu makubwa zaidi mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri. Ninayo machache ya kushangaza kwa hawa ndugu wakiwa anga zao; 1...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Manesi wanahitajika: Kama wewe ni nesi ajira ya nje nje hii hapa tuma maombi nenda mkachape kazi

    Nurse Position at Milvik Bima Location : Dar es Salaam, Tanzania MILVIK BIMA Founded in 2010, MILVIK BIMA is democratising healthcare in emerging markets through technology that enables affordable and accessible healthcare solutions, while empowering people to take control of their health. With...
  7. Faith Athanas

    SoC02 Jinsi nilivyopata Kisukari kutokana na kutokuwa na utayari wa kusomea utabibu na Uzembe wa matabibu na manesi katika Afya

    Habari, Afya ni sekta nyeti sana ambayo sekta hiii ikiyumba ,sekta zingine zote zimeyumba.Tujiulize tuna matabibu wanaotegemea nadharia au tunamatabibu wanafanya kazi kwa moyo.? Mwaka 2003 mama Yangu mzazi alienda katika hospitali moja, njiani iringa ,ilikuwa hospitali nzuri tu ,alienda...
  8. BARD AI

    UTAFITI: Kwanini Madaktari wanaingia kazini wakiwa wamelewa

    Shinikizo na uchovu unaokuja na kazi ya Udaktari umesababisha wengi wao kuripoti kazini wakiwa wamelewa, ripoti mpya imefichua. Kulingana na utafiti wa All Points North (APN), kampuni ya afya ya akili, wafanyakazi wengi wa afya wanakabiliwa na matumizi mabaya ya dawa za kulevya. Takriban...
  9. Dr. Wansegamila

    Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
  10. Equation x

    Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

    Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'. Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...
Back
Top Bottom