Habari zenu
Leo nimeona ni vyema wana jikoni na wazazi tujadili na tubadilishane mawazo kuhusu lishe za watoto wetu kuanzia umri wa miezi 6 hadi mwaka.....
Nini madhumuni hasa
1)kwa wale...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Wadau habari ya Jioni,
kwani ugali una shida gani, mimi
nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu.
Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa...
Habari wakuu wa JF! Hapa ni Mchina Bakari, ni muda mrefu hatujaonana.
Leo nitawafundisha namna ya kupika chakula kizuri cha Kichina, jina lake ni 番茄炒蛋, ambalo linamaanisha nyanya na mayai.
Kabla...
Wadau sina uwezo wa kununua maji ya kunywa ya chupa kwa ajili ya familia,maana tupo wengi,hivyo huyachemsha na kuweka kwenye water dispenser,lakini huwa yana uchafu,je nitumie njia ipi ya...
JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa?
Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati
Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi...
Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea.
Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji...
Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa
Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya
Mahitaji
Tikitimaji...
Msela leo magetoni nikaamua kuandaa tena kuku kama wa KFC ni watamu sana yaani
MAHITAJI NILIYOTUMIA;
Vidali viwili, mafuta lita 1, unga wa ngano nusu, soya souce, curry powder, paprika, black...
Habari ndugu zangu,
Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
Kwa hakika kama kuna mtu kati yetu asubuhi ya leo kala tunda lolote lile basi ni wale waliolala zile hotel zenye bed n breakfast full course. Wengine wetu kwa uchache mno ni wale wafanya diet na...
Tuwe wakweli, chipsi yai imeshakumbana na conspirancy theories nyingi sana lakini hazijafanikiwa kuondoa umaarufu na kupendwa kwake, mara mayai feki, sijui mafuta ya transfoma lakini wapi, watu...
Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha
MAHITAJI NILIYOTUMIA
Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui...
Mtu mmoja akanishangaa kwamba Kwa mchanganyiko huo wa ndizi mbivu na supu ya nyama ama ya pweza kwamba natafuta kitu gani tumboni yeye anachojua Kwamba ndizi ni tamu zina sukari huku supu...
Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.
Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
Kwa kiingereza tungeita street food festival).
Hizi karamu sio za msimu bali zimekuwa sehemu ya maisha ya watu daily uswahilini, usijali sana ubora na usalama wake, vina ladha yake fulani...
Naamini karibia kila aliyewahi kula kitimoto, alishakula pia na nyama ya kuku wa kienyeji!
Kati ya hivyo vitoweo viwili: kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.