moi

The aliʻi were the traditional nobility of the Hawaiian islands. They were part of a hereditary line of rulers, the noho aliʻi.
The word aliʻi has a similar meaning in the Samoan language and other Polynesian languages, and in Māori it is pronounced "ariki".

View More On Wikipedia.org
  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Vazi hili unaweza kuja nalo MOI na kupata huduma

  2. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Roziana, MOI itakukumbuka daima

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameungana na familia, ndugu na jamaa katika kumuaga aliyekuwa mtumishi wa taasisi hiyo, Bi. Roziana Philipo Mnzava, aliyefariki usiku wa Septemba 06, 2026 jijini Dar es Salaam wakati akipatiwa matibabu. Akizungumza wakati wa...
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI na JKCI kuimarisha ushirikiano kuboresha huduma kwa wagonjwa

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kujifunza na kuibua maeneo mapya ya ushirikiano yatakayochangia kuboresha huduma za matibabu kwa wagonjwa. Ziara hiyo, imefanyika leo Septemba 2, 2026...
  4. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania CAF yaridhishwa na maandalizi ya moi kuelekea AFCON 2027

    Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limeeleza kuridhishwa na maandalizi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) katika kutoa huduma za tiba za michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 yatakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda. Kauli hiyo...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MOI panua huduma za ubingwa na ubingwa bobezi

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mfumo wa Fahamu Muhimbili (MOI) inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kisasa, ikiwemo ujenzi wa majengo mapya ya OPD, huduma kwa wagonjwa binafsi na wa kimataifa, tiba na utengamao pamoja na Kituo cha Ubingwa Bobezi katika Mfumo wa Fahamu. Miradi hiyo inalenga...
  6. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania FAIDA FUND (WHI) YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MOI KUHUSU UWEKEZAJI WA FEDHA

    Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuwekeza fedha kwa ajili ya maisha yao ya baadaye...
  7. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo tayari kuhudumia ukanda wa SADC MOI na MZRH zafungua fursa mpya ya utalii wa tiba nchini Zambia

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa katika utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi na Tiba Utalii (Medical Tourism), kufuatia kuwasili kwa jopo la madaktari bingwa na mabingwa bobezi nchini Zambia kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (MZRH)...
  8. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yashiriki maonyesho ya elimu ya juu Pemba, yatoa elimu kuhusu huduma za kibingwa na bobezi

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili MOI inashiriki kwa mara ya pili katika Maonesho ya Elimu ya Juu yanayofanyika viwanja vya Gombani, Pemba kwa lengo la kuwafahamisha wananchi juu ya huduma za kibingwa na kibobezi zinazopatikana nchini. Ushiriki huo unalenga kupunguza idadi ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe DH wanalazimisha kupandisha mapato kwa kuwatoza TZS 50,000 Mama wanaojifungua Watoto Njiti

    Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Kuna malalamiko kuwa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe, Katavi, wameanza kuwatoza fedha akina mama wanaojifungua watoto njiti kwa madai ya gharama za matumizi ya oksijeni, hatua inayolenga kuongeza mapato ya hospitali. Hata hivyo, baadhi ya wananchi...
  10. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magembe apongeza huduma za MOI Sabasaba, ahimiza Kampeni ya "Vaa Helment, Ubongo Hauna Spea"

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, amepongeza huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba, huku akihimiza kuendelea kuimarishwa kwa kampeni ya "Vaa Helmeti, Ubongo...
  11. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wauguzi chumba cha upasuaji MOI wakumbushwa misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa

    Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
  12. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yashiriki Mkutano wa tatu wa PEN-PLUS kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeshiriki katika Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Kimkakati wa Kikanda wa PEN-PLUS unaolenga kujadili na kuimarisha mikakati ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza, unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)...
  13. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wananchi 537 wahudumiwa katika banda la MOI wiki ya utumishi wa umma Dodoma

    Jumla ya wananchi 537 wamepatiwa huduma za kibingwa na kibobezi katika banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yamehitimishwa leo, Juni 23, 2026 na...
  14. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI kuanzisha huduma mpya 11 za Kibingwa na Kibobezi nchini

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeeleza mpango wake wa kuanzisha huduma mpya mbalimbali za kibobezi zitakazoifanya kuendelea kuwa kitovu cha weledi cha matibabu ya mifupa na mfumo wa fahamu katika ukanda wa Afrika. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 30...
  15. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu mtambo wa kisasa wa MRI uliopo MOI

  16. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yasogeza huduma za kibingwa na kibobezi kongamano la wanawake TANESCO

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesogeza huduma za kibingwa na kibobezi kwa wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Kongamano la Pili la Wanawake wa shirika hilo lililolenga pia kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Huduma zilizotolewa ni pamoja...
  17. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wauguzi MOI wapatiwa mafunzo ya kudhibiti msongo wa mawazo

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira yao ya kazi pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo majumbani. Mafunzo hayo yamenyika leo...
  18. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa miradi moi wafikia wastani asilimia 78.5

    Kasi ya utekelezaji wa miradi minne ya maendeleo katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefikia wastani wa asilimia 78.5, hali inayowasha taa mpya ya matumaini ya uboreshaji zaidi wa huduma kwa wagonjwa. Meneja Milki, Mazingira na Matengenezo wa MOI Bw. Victor Kamagenge...
  19. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yaendelea kuwa kinara wa tiba ya mifupa Duniani

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya upasuaji wa mivunjiko ya mifupa kutoka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani, Surgical...
  20. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa wodi mpya ya ICU ya watoto MOI yafikia asilimia 98

    Ujenzi wa wodi mpya ya Wagonjwa Mahututi (ICU) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) umefikia asilimia 98, hatua inayotarajiwa kuboresha huduma za kibingwa na kibobezi kwa watoto wenye uhitaji wa uangalizi maalum. Akizungumza leo januari 15...
Back
Top Bottom