Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu.
Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI, KAMA YATAKUFAA BASI KARIBU, KAMA UTAONA BATILI, THEN LIVE YOUR LIFE
1: Hakuna jambo lolote la kiroho linalo control maisha yako. Maombi na swalah ni njia za kujifariji ila sio za kumuokoa mnyonge au kubadili mwelekeo wako
2: Hakuna utajiri kwa mganga. Utaishia...
Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta...
CODE 30 ZA AFYA AMBAZO KILA MWANAUME ALIPASWA KUJUA KABLA YA MIAKA 35.
HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HUYAGUNDUA WAKIWA WAMECHELEWA.
1. Kiwango chako cha homoni ya kiume Testosterone kitaanza kushuka ukifikisha miaka 30. Nyanyua vyuma, pata usingizi wa kutosha na kula lishe bora ili...
Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea?
Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Niliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991
Na Leo nimetimiza miaka 35
Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2
Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji
Nitakie heri na nishauri chochote
Hebu njoen
Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana
Ananipa kila kitu nnachotaka
Nakatazwa kutoka nje hata nikienda kwetu napelekwa na kurudi nna mama na pia baba yangu alikufa nna baba wa kambo nakatazwa...
Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi...
Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto nyingi. Ikumbukwe Dr Aaron Mujajati ndo yule aliyesema kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi kuonyesha...
Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana...
Utafiti mpya uliofanywa kwa ushirikiano kati yangu na Daniel Stockemer kutoka Chuo Kikuu cha Ottawa, uliotolewa katika jarida la Political Psychology, umeonesha kuwa umri ni miongoni mwa vihisishi vikuu vya kuamini Conspiracy theories — lakini si kwa namna ambayo wengi wangetegemea.
Watu walio...
Waziri Kombo ashiriki Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, Atoa Wito wa Umoja kwa Maendeleo ya Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, ambapo ametoa wito kwa...
Hii nchi ina vituko na JF ndio studio yake🤣
Ni basi tu tunawaponda dada zetu walio 30+ ila Kijana wa kiume ukishafikisha 30+ wewe nae ni "LIJOMBA" hadhi ile ile ya lishangazi.
Siku hizi wadada hawazeeki, kuna vipi vipi siku hizi, kuna serum za kuondoa makunyazi, etc
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa...
Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza.
Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao
Lakini unafika 35 huna au hujawahi kuwa na...
Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.
Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
Wakuu
Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?
Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34.
Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.