madaktari bingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Katavi: Madaktari Bingwa 18 kutoka Marekani kutua Hospitali ya Tanganyika

    Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, Dkt. Alex Mrema amesema wanatarajia kupokea timu ya Madaktari Bingwa 18 kutoka Nchini Marekani kwa ajili ya kutoa huduma ya matibabu ya upasuaji ambapo itafanyika bila malipo (bure). Madaktari hao wanatarajia kufika tarehe...
  2. Roving Journalist

    Kinondoni Hospital na Madaktari Bingwa wa India kushirikiana kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Saratani

    Kinondoni Hospital imetangaza programu ya siku mbali kuwa itashirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya HCG ya nchini India katika kutoa huduma za kitaalamu kwa wagonjwa wa Saratani. Akizungumzia programu hiyo leo Oktoba 3, 2023 Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
  3. Dr Msaka Habari

    Madaktari bingwa wa Saratani watakiwa kujikita katika tafiti

    Madaktari bingwa wa Saratani watakiwa kutoa mapendekezo na mikakati ya namna bora ya Wagonjwa kuzifikia huduma sambamba na kupunguza rufaa zinazo epukika kwenda nje ya Nchi kupata matibabu. Pia ametakiwa Wataamu wa Saratani kujikita katika kufanya tafiti za kisayansi zitazowezesha nchi kuwa na...
  4. galimoshi

    Madaktari bingwa wa Macho kutoka Ujerumani watinga Mbeya

    Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo. Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya...
  5. NostradamusEstrademe

    Nyalandu aleta madaktari bingwa 50 kumuunga mkono Rais Samia

    Katika kuhakikisha afya za Watanzania hasa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali, kundi la zaidi ya madaktari bingwa 50 kutoka Jimbo la Califonia nchini Marekani, watakuwa nchini kutoa matibabu na ushauri wa kitaalamu bure. Madaktari hao ambao wamebobea kwenye tiba za mifupa, nyonga na mishipa...
  6. BARD AI

    Serikali yatuma madaktari bingwa Kagera, karantini wafikia 205

    Watu waliowekwa karantini wilayani Bukoba Mkoa wa Kagera baaada ya kuchangamana na wagonjwa wa Marburg wameongezeka kutoka 193 hadi 205 huku Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akisema hakuna wagonjwa walioongezeka. Waziri Ummy akiongea na waandishi wa habari katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo Machi 25...
  7. Roving Journalist

    Watu 360 wanapatiwa matibabu ya Saratani ya Ubongo kwa Mwaka

    Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
  8. Ojuolegbha

    Ikulu Zanzibar: Madaktari Bingwa kutoka China Wawasili Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa madaktari bingwa kutoka China ni fursa adhimu kuimarisha sekta ya Afya Zanzibar. Dk. Mwinyi amesema timu ya madaktari bingwa kutoka China imewasili Zanzibar kuongeza nguvu katika sekta ya Afya kwa kutoa...
  9. Roving Journalist

    Madaktari Bingwa MOI wapewa mbinu za kisasa za upasuaji wa Vivimbe vya Mishipa ya damu kwenye ubongo

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo kwa mbinu za kisasa kwa madaktari bingwa waliohitimu katika chuo hicho ambapo wagonjwa...
  10. TODAYS

    KUTOKA ZANZIBAR: Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi awaaga madaktari bingwa wa kichina waliomaliza muda wao

    Sehemu ya matukio katika picha ambapo mheshimiwa rais wa Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na madaktari bingwa kutoka nchini china walipokuja Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kufanya kazi ya kutoa huduma ya Afya katika kisiwa cha Unguja kupitia hospitali ya Mnazi mmoja na...
  11. M

    Miezi 9 imetimia lakini mtoto hajageuka tumboni

    Habari wandugu! Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia. Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yoyote atageuka tu! Sa sjaelewa vizuri, anatutia moyo au la! Nina hofu sana jamani.
  12. Cannabis

    Madaktari bingwa wafariki na kuacha simanzi Arusha

    Arusha. Jiji la Arusha, limekumbwa na simanzi kufuatia vifo vya madaktari bingwa wawili ambao ni maarufu katika jijini hapa, mmoja akiwa ni mmiliki wa hospitali ya St Thomas jijini Arusha. Madaktari hao ni Dk Lamweli Henry Makando, mmoja wa wamiliki wa hospitali ya St Thomas ambaye alikuwa...
Back
Top Bottom