Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store.
Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu mwamba, akasepa walipo Rudi shop hawaoni simu, kupitia camera wakamuonea mdau ila hawamtambui...
Huu ni ukweli kabisa,kwanza siku zote kwenye chama cha kichawi hawatakagi kula nyama za mataira,yaani watu wenye matatizo ya akili,au mtu mwenye roho mbaya,wao humtaka mtu mwenye adabu heshima anayekubalika na jamii inayomzungu na mwenye uwezo wa kimaisha,
Sasa pindi anapoambiwa mchawi amtoe...
Adui mkubwa wa nchi yetu so mwingine ni Hawa;
1. Ukosefu WA ajira kwa vijana wetu.
2 UTAWALA usiofata Sheria za nchi hata kama katiba yetu ni mbovu lakini haifatwi( mfano kijana wa CCM kukemea maccm wenzake anakamatwa wanapiga mijeredi), NATAMBUA mh raia una MKONO mrefu utakuwa umeona clip ya...
Utangulizi
Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
CCM inapaswa kuacha kutafuta visingizio kuhusu kuporomoka kwa mvuto wake kisiasa. Tatizo kubwa haliko kwa wapinzani, bali kwenye maamuzi ambayo chama chenyewe kimekuwa kikiyafanya.
Baada ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kulikuwa na kundi kubwa la wanachama na wafuasi waliotaka kuona...
Wivu mbaya na chuki ya kupitiliza ni sumu kali ya kiroho inayomfanya mtu aanze kufikiria au kutenda mambo ya kishirikina na kijicho.
Huu usemi usemao "Wivu ni darasa la mwisho kabla ya kufuzu kuwa mchawi" una ukweli mkubwa kiroho.
Kimaandiko na kiimani, wivu si tu hisia mbaya ya kibinadamu...
Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!!
1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea.
Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka.
Engine oil...
Wachawi wanawanga usiku. Sasa kaka wewe sio mtu wa kulala usiku tufanye kazini unaingia usiku au unakesha usiku kucha unaperuzi bila kulala au upo sehemu unakunywa pombe mchawi atakupata kweli?
Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili
Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z
Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
GTs,
Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29.
Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao kiri kuwa walitumwa na aliyewatuma kuua. Ila kama hawapo kesi ya MO29 itakuwa haina nguvu.
Hivyo...
NDAGU, KITALA NA ADHABU YA MCHAWI
NDAGU maana yake ni ‘ramli'. Kwa desturi, baada ya kuondoa matanga, ndugu waliofiwa huenda kwa mganga wa ramli ili awajulishe sababu ya kifo kilichotokea. Ziko namna nyingi za ndagu, kwa mfano, ndagu ya kifo, ndagu ya ugonjwa, yaani ramli ya kubashiri maradhi...
Nilikua usukumani, nikiwa kama mganga wa Zahanati ya kijiji,
Kulikua na msimbe mmoja ambae tulikua tunafanana makabila, kazi yake alikuwa akifanya kazi Grocery, muuza vinywaji.
Siku nazungumza nae alikuja ofisini kwangu, akaniomba nimtolee Njiti.
Basi bhana nilikua na upwiru mwingi kijiji...
Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana.
Vitu nitakavyo gusia ni
1. Mambo ya kidini (Kikiristo).
Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho
2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine Learning
3. Brain Computer Interface Technology (BCI)
3.Teknolojia ya BCI ya Kusoma na Kutafsiri Mawazo...
Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa.
Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa imeisha ila jamaa hataki kumaliza ,atataka akufunge ki ladha kiasi kwamba hata wewe unayefungwa...
Mtu wa kwanza kulaumiwa apa alitakiwa yule wa simba alie fanya maamuzi kusema tusicheze mechi trh nane kukataliwa ku train, ndo ukatae kucheza? , Uwanja wa serikali mmekodi siku ya mechi tu kwa nn ulazimishe ku train kana kwamba uwanja wa yanga, utalipia garama za ku train?
Turudi kweny...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.