madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadiz

    Hivi Kwanini Wanaume Madaktari, Mapolisi, Wanasheria, Wajeshi wanaogopeka Kwa wake wa Majirani Zao. Umwamba wao ni nini?

    Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya. Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake. Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
  2. JanguKamaJangu

    Nigeria: Jamaa wenye silaha za moto wavamia hospitali, wawateka madaktari, wagonjwa na ndugu wanaouguza wagonjwa

    Tukio hilo limefanywa na watu wenye silaha za moto ambapo hawajajulikana na inaelezwa pia wamewateka ndugu waliokuwa wakiuguza wagonjwa katika Jimbo la Niger. Hakuna tamko rasmi la idadi ya watu waliotekwa lakini taarifa za awali inadaiwa ni Watu 20 na watatu wengine wameuawa. --- Medics and...
  3. C

    Ni kweli kuna uhaba wa Madaktari Hospitali ya Mwananyama?

    Leo nimetembelea hospital ya Mwananyama na kukuta foleni kubwa ya wagonjwa wakusubiri Madaktari. Kadhaa hii imekuwa ikitokea mara Kwa mara katika hospital hii. Swali ni kuwa ni kwel Kuna uhaba wa madaktari? Bado kuna upendeleo katika utoaji wa huduma katika hospital hii?
  4. JanguKamaJangu

    Waliofariki kwa Ebola wafika 23, mgomo wa madaktari waungwa mkono

    Idadi hiyo ni ndani ya wiki moja tangu mlipuko utangazwe eneo la Mubende na kusambaa Kyegegwa na Kassanda wakati idadi ya wanaodaiwa kuwa na maambukizi ni 36. Aidh, Rais wa Jumuiya ya Madaktari wa Uganda amedai wafanyakazi wa afya wapo sahihi kutoka huduma maeneo yaliyoathirika kwa madai...
  5. nyboma

    Mawakili na madaktari ni walevi sana

    Kuna mwenzangu kati ya hao ni walevi, hivi karibuni ilibaki kidogo aharibu kazi. Pascal Mayalla ni shahidi wa hili, jinsi ulevi ulivyo msababishia ajali mbaya ya pikipiki miaka kadhaa nyuma. Uzi tayari
  6. L

    Mchango wa timu za madaktari wa China watambuliwa na kuthaminiwa zaidi watu wa Afrika

    Pili Mwinyi China na Afrika zinaendelea kuwa na ushirikiano mkubwa kwenye sekta mbalimbali muhimu ikiwemo ya afya. Uwepo wa timu za madaktari wa China katika nchi za Afrika kwa sasa unaonekana ni jambo la kawaida na limeshazoeleka, ambapo madaktari hawa wanajitahidi kadiri wawezavyo kuokoa...
  7. BARD AI

    TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

    Malkia wa Uingereza, Elizabeth II amefariki dunia akiwa na miaka 96 huku akiwa ni Kiongozi wa Kifalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi (miaka 70) katika historia ya Taifa hilo. Imeelezwa kuwa Kiongozi huyo ambaye pia ameweka historia ya kuwa Kiongozi wa Nchi aliyeongoza akiwa na umri mkubwa...
  8. BARD AI

    UTAFITI: Kwanini Madaktari wanaingia kazini wakiwa wamelewa

    Shinikizo na uchovu unaokuja na kazi ya Udaktari umesababisha wengi wao kuripoti kazini wakiwa wamelewa, ripoti mpya imefichua. Kulingana na utafiti wa All Points North (APN), kampuni ya afya ya akili, wafanyakazi wengi wa afya wanakabiliwa na matumizi mabaya ya dawa za kulevya. Takriban...
  9. MOONFISH

    MADAKTARI: Vipimo vya UTI kama ni hivi ni balaa

    Ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam. Gazeti linasimulia mbinu kadhaa za uchunguzi alizotumia mwandishi kupima vipimo mbalimbali katika zahanati na hospitali mbalimbali, ili kuthibitisha malalamiko ya Mwanahamisi. Jaribio la kwanza ‘‘Saa 6:30 mchana natoka Mabibo...
  10. BARD AI

    Kenya 2022 Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya alinyongwa, Ripoti ya Madaktari yaonesha

    Ripoti ya uchunguzi wa Madaktari imeonesha kuwa Daniel Musyoka, mfanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyepatikana akiwa amefarki, alinyongwa hadi kufa Timu ya Madaktari Bingwa watano waliofanyia upasuaji mwili wa Afisa huyo, pia wamepeleka Nairobi baadhi ya vielelezo kwa ajili...
  11. BARD AI

    Kenya 2022 Madaktari kuchunguza mwili wa Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya

    Madaktari wa Uchunguzi wataufanyia uchunguzi mwili wa afisa wa IEBC, Daniel Musyoka aliyekutwa amefariki baada ya kutoweka kwenye kituo cha Kura. Mchunguzi wa serikali pamoja na Daktari aliyeteuliwa na familia watafanya shughuli hiyo ili kubaini sababu za kifo cha Afisa huyo aliyetoweka kwa...
  12. Nobunaga

    Kama kawaida ya madaktari, huwa hawapendi kuguswa

    Lile sakata la kufutwa gharama za kuonwa/kuhudumiwa hospitali na wahudumu linazidi kuchanja mbuga. Kwanza tuwekane sawa hapa, haiitwi gharama ya kumuona daktari, inaitwa "Consultation Fee" ikimaanisha "Gharama ya Kuhudumiwa" kwa maana utapita mikono ya wataalamu kadhaa siyo daktari tuu. Baraza...
  13. L

    Madaktari wawafanyia upimaji wa afya wazee kwenye maeneo ya makazi mjini Hefei, China

    Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
  14. Willima

    Waziri Ummy: Inasikitisha madaktari kuombana rushwa

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema rushwa imekithiri na kuota mizizi katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) kiasi cha madaktari kuombana rushwa wenyewe kwa wenyewe. Ummy aliyasema hayo juzi, alipozindua bodi mpya ya wadhamini wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)...
  15. A

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini… WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
  16. J

    Waziri Ummy: Rushwa sekta ya afya inatisha imefika hatua Daktari anamuomba rushwa Daktari mwenzake. Nashauri JKCI ihamie Mloganzila

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao. Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa. Aidha Waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza...
  17. M

    KWELI Ugonjwa wa U.T.I unaweza kusababishwa na Kutokuwa msafi (Uchafu)

    Mdau wa JamiiForums.com ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa UTI kwa wanawake. Anahoji inakuwaje sababu kubwa inayotajwa kuwa ni uchafu ipate mashiko kwa nyakati hizi, kwani wanawake wa zamani ndio walikuwa wasafi zaidi kuliko hawa wa sasa? Mdau huyu anashauri...
  18. L

    Timu ya madaktari ya Kikosi cha 25 cha walinda amani wa China nchini DRC watembelea Kituo cha kulelea watoto yatima cha SOS

    Tarehe 28 mwezi Mei, timu ya madaktari ya kikosi cha 25 cha walinda amani wa China nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) walitembelea Kituo cha kulelea Watoto yatima cha shirika la kibinadamu SOS huko Bukavu wakati Siku ya Kimataifa ya Watoto ikikaribia. Waliwazawaida watoto wa pale vifaa...
  19. Ngarob

    Wizara ya Afya chukueni ushauri huu kuhusu madakatari wenye maslahi binafsi

    Wizara ya Afya / Waziri wa Afya tunawapa pongezi kwa jitihada mbalimbali mnazofanya lengo likiwa ni kuimarisha afya ya mtanzania. Kuna changamoto kadhaa hasa kwa baadhi ya madaktari katika kutibu wagonjwa mbalimbali kutanguliza maslai binafsi katika hospitali za u make badala ya tiba sahihi kwa...
Back
Top Bottom