upasuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel: Zuchu kajifungua kwa upasuaji kama Wema, leo hii anakata mauno na hamsemi

    "huyu zuchu kajifungua Kwa Upasuaji kama Wema, Leo hii anakata mauno na watu hawaulizi kuhusu mshono, ila Kwa Wema kipindi kile kucheza tu na kupokea Wageni watu walikuwa wakiongea sana mara oooh hakuna aliye jifungua hapo, mara kaiba Mtoto. Leo niwaulize kwanini Kwa Zuchu hamuongei, hivi Wema...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Hongereni JKCI:Mtoto wa siku mbili afanyiwa upasuaji!!

    Kwa kuwa tulikosea sana kusomesha ngwini wengi na tukasahau kusomesha wanasayansi basi Taifa linajikuta katika mijadala isiyo na tija na kuacha kuangazia maendeleo ya kweli katika sekta muhimu kama afya. Nimejuzwa kuwa sasa JKCI imeweza kufanya operesheni ya kipekee na kihistoria kwa mtoto wa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa Tezi Dume Ukisaidiwa na AI Unavyowasaidia Wanaume Kurudisha Hali Yao ya Kawaida ya Maisha

    Mkisukumo wa maji wa kiroboti ukisaidiwa na AI (Akili Mbandia) unawasaidia wanaume waliovimba tezi dume kurejesha ubora wa maisha yao, huku mgonjwa mmoja akisema matibabu hayo yamempa "maisha ya kawaida tena." Hospitali ya General ya Cheltenham imekuwa kituo cha umahiri katika eneo la kusini...
  4. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Asimulia alivyojifungua kwa upasuaji katikati ya tetemeko la ardhi

    Maria Florida ameeleza furaha yake baada ya kujifungua salama mtoto wake wa nne kwa njia ya upasuaji wakati tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 likitikisa eneo la Nusa Tenggara Mashariki mwa Indonesia. Tetemeko hilo lilitokea Agosti 15, 2026 na kuleta madhara makubwa mashariki mwa Indonesia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa urembo wazua gumzo mtandaoni

    Muonekano wa hivi karibuni wa rapa mkongwe wa Marekani Lil’ Kim umezua mjadala mkubwa mitandaoni, huku baadhi ya mashabiki wakionyesha wasiwasi na wengine wakikosoa tabia ya wanawake kukataa miili yao na kutaka miili ama maumbo mengine ambayo huishia kuwaletea madhara. Video na picha za Lil’...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wanawasaidia wagonjwa kupata nafuu kupitia upasuaji wa uvamizi mdogo

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
  7. UTPC

    JamiiForums Tanzania Hofu ya upasuaji dhidi ya okoaji maisha ya mama, mtoto

    Katika wodi za uzazi, sauti za uchungu na matumaini hukutana. Wakati mwingine, dakika chache ndizo hutenganisha uhai na mauti. Ndipo upasuaji wa dharura unapokuwa tumaini la mwisho. Lakini nyuma ya kila uamuzi huo, kuna swali lisiloepukika: je, hatua hiyo imechukuliwa kwa sababu sahihi za...
  8. UTPC

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wanawake kujifungua kwa njia ya upasuaji ni fasheni, presha au sababu za kiafya?

    SAFARI ya uzazi, ambayo kwa familia nyingi hutarajiwa kuwa ya matumaini na furaha ya kumpokea mtoto imeanza kugubikwa na hofu, mashaka na maswali yasiyo na majibu katika baadhi ya hospitali nchini. Kwa baadhi ya wazazi, chumba cha kujifungulia kimegeuka kuwa eneo la shinikizo, maamuzi ya haraka...
  9. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wauguzi chumba cha upasuaji MOI wakumbushwa misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa

    Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MOI: Huduma za upasuaji zinaendelea kama kawaida, mwenye changamoto afike ofisini tumsaidie

    Baada ya mdau mmoja wa JamiiForums.com kudai kuwa mgonjwa wao amekaa zaidi ya wiki mbili katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akisubiri kufanyiwa upasuaji, huku wakielezwa kuwa kuna vifaa vinasubiriwa, jambo linaloongeza gharama kwa familia, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Israel wamfanyia upasuaji mtoto huku akiwa bado tumboni kwa mama yake

    🇮🇱 BREAKING: MADAKTARI WA ISRAEL WAMFANYIA UPASUAJI MTOTO HUKU AKIWA BADO TUMBONI KWA MAMA YAKE. Akiwa na ujauzito wa wiki 25 tu, uchunguzi wa kawaida ulibaini kuwa uvimbe adimu ulikuwa umetokea kwenye kondo la nyuma - na tayari ulikuwa unasababisha moyo wa mtoto ambaye hajazaliwa...
  12. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Bawasiri powder na Bawasiri Fluid ni dawa yenye kutibu Bawasiri bila upasuaji

    NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER ⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids). FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA KUTUMIA...
  13. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Bawasiri bila upasuaji

    BAWASIRI NI NINI? Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri. Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua mkutano wa pili wa kimataifa wa shirikisho la dunia la madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: www.ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza #MaendeleoEndelevu
  15. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Uganda walianza kufanya upasuaji kwa ajili ya kujifungua (C-section) kabla ya mwaka 1879

    Je, hili ni kweli wakuu? By 1879, Uganda was the only place in the world where C-sections were performed to save both mother and baby. European observers documented this practice, which used local tools, herbal anesthetics & antiseptics.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kujifungua kwa upasuaji Muhimbili ni anasa kwa wajawazito? Gharama ni ghali

    Kama tunavyojua, mara kadhaa tumekuwa tukiwasikia baadhi ya wanasiasa wakidai kuwa wajawazito wanajifungua bure. Kauli hizi zimekuwa zikizua mijadala mikubwa kuhusu uhalisia wake, hasa ikizingatiwa kuwa bado kuna gharama mbalimbali zinazotozwa kwa maelezo kuwa ni michango ya huduma. Hata hivyo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Huduma baada ya upasuaji iliyotolewa na madaktari wa China yamwezesha mgonjwa nchini Sudan Kusini kuondokana na maumivu makali

    Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umedumu kwa miongo kadhaa, na kugusa maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na elimu, uchumi na biashara, kilimo, na maeneo mengine mengi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa makubwa kwa pande zote mbili, na kubadili maisha ya watu katika nchi nyingi za...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kutumia Robot kwenye upasuaji wa moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewapokea wageni kutoka Hospitali ya Apollo ya India waliotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya tiba utalii na huduma za kibingwa. Dkt. Kisenge amesema kuwa JKCI imeanzisha...
Back
Top Bottom