mapishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masai dada

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

    nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani. ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Karai na ndoto: Vijana wa Tanzania wakumbatia sanaa ya mapishi ya Kichina

    Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
  3. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya asili na mapishi ya asili ni tiba kwa asili.

    Habari, Nimeleta hii post ili kukumbusha asili yetu kwa upande wa mapishi na vyakula kwakua ni wazi kuwa magonjwa yanaongezeka kila kukicha pindi asili inapoondoka. Kwa ambao tumeonja ladha ya vyakula vya asili toka utotoni tumebaki na kumbukumbu ya zamani tu ila hatupati ile ladha ya asili ya...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapishi wa Kenya wavutiwa na mapishi ya Kichina wakati uhusiano wa kitamaduni ukishamiri

    Kama ambavyo tunafahamu, China nan chi za Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano unaogusa pande nyingi, ikiwemo elimu, kilimo, sayansi na teknolojia, biashara na uchumi, pamoja na masuala ya kitamaduni. Kupitia Taasisi za Confucius zilizoko nchi mbalimbali za Afrika, elimu ya lugha na...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Full Video: Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge hadi jinsi ya kuwala

    Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge. Ukishaonja nyama ya panya huachi. Kenge ndo mtamu balaa Mdau hapa kaweka video hatua kwa hatua ya Uandaaji wa nyama ya Kenye hadi jinsi ya kumla
  6. Cybercurex

    JamiiForums Tanzania App Ya Mapishi na Vyakula mbalimbali

    Wataalamu wenzangu wa Flutter, hii hapa tena Mapishi App — jukwaa la kipekee kwa wapenda kupika App hii inaruhusu wanawake (na wote wanaopenda kupika) kupost vyakula, kushare mbinu, na kujifunza mapishi mbali mbali. Kila recipe inakuja na maelezo ya kina: jinsi ya kuandaa, viambata, muda wa...
  7. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

    Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
  8. SIR.NOM

    JamiiForums Tanzania JIFUNZE MAPISHI KWENYE VITABU HIVI

    #ICE_CREAM #JUICE #Kwa_mtaji_mdogo_tu. Anza leo biashara ya #Ice_Cream_&_Juice,kwa mtaji mdogo.Hadi elfu 20 tu,inatosha sana kuanza nayo kama mtaji. #Nakupa ofa ya Kitabu kitakacho kupa mafunzo ya kutengeneza #Ice_Cream na #Juice_za_matunda_zaid_ya_aina_30. Kwa #Tsh.2000/=(Elfu mbili tu)...
  9. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Storytime: Nilivyopata aibu kwa mpenzi sababu ya ushamba na kutokujua kupika

    Ngoja niwape kisa cha ujana, nilivyoenda kupashana joto kwa kijana fulani nikaaibika, ila yule kidume akapotezea na kunipamba na sifa kedekede ili tu aichakate mbususu. Nimekikumbuka hiki kisa kwa sababu naandaa ule msosi ulioniaibisha back in 2006. Basi bwana, nilikua na huyo kijana...
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

    Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha. Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa BA Sociology, Political Science & Archaeology waitwa VETA kujifunza Mapishi kwa ajili ya AFCON 2027

    Wito umetolewa kwa wahitimu haswa kozi za BA Sociology, Archaeology & Political Science wakimbilieVETA kujifunza mapishi kwa ajili ya wageni wa AFCON 2027. GHARAMA zote zitalipwa na Madiwani
  12. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mnaouza viungo vya mapishi muwe mnatuuliza maswali wateja wenu sio wote tunajua kupika!

    Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!. angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠 Na wengine...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Vyakula vya Kibongo.. Bara na Pwani .... Makabila yote, mapishi yote

    Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani visu na uma😂 TAHADHARI: KAMA UNA NJAA NA UKO MBALI NA SEHEMU YA KULA USIFUNGUE HUU UZI Nb: Makande...
  14. Logikos

    JamiiForums Tanzania Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala

    Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Disemba 31, 2024 siku ya mwisho kwa matumizi ya Mkaa na Kuni Taasisi za Umma

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Mapishi ya Kitaa Festival Yatikisa Manzese, Washindi Wapatikana

    Tamasha la Kitaa Festival la Kampuni ya Coca-Cola limeanza rasmi Jumamosi hii, likiwatembelea wakazi wa Manzese Bhakresa jijini Dar es Salaam kufurahia utamaduni wa vyakula vya asili vya Watanzania. ‘Bakhresa Kitaa Fest’ iliwaunganisha wapishi, mashabiki wa vyakula mbalimbali, watu maarufu, na...
  17. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Mazoezi na mapishi bora: kabiliana na umri na Saratani

    Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum. Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari. Mabaki ya sukari baada ya kuiunguza ( AMP) husisimua king'amuzi (exercise sensor) kilichoko kwenye chembe hai. King'amuzi hiki...
  18. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake kutoka makabila mbali mbali kwenye vigezo vya utafutaji, wife material, pisi kali, maisha ya ndoa, mapishi, support, n.k

    N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
  19. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kwenye Vyakula na Mapishi bora 50, Tanzania hatumo

    Kwangu mambo yote ni shega tu! Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!. Yawezekana tumefanyiwa tu fitina. Ina maana hawa waliotoa haka ka listi walijui Zege? (CHIPS MAYAI) au (WALI MAHARAGE)?
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

    Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa. Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu...
Back
Top Bottom