kutoa mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Abortion / kutoa mimba: Je, ni sahihi au si sahihi?

    LllHii ni moja ya mijadala mikubwa duniani. Wapo wanaosema ni haki ya mwanamke kuchagua, na wapo wanaosema ni kuondoa uhai wa asiye na uwezo wa kujitetea. Kabla ya kutoa hukumu, ni vizuri kusikiliza hoja zote. WANAOSEMA NI SAHIHI, HUSEMA: 1. Mwili ni wake, maamuzi ni yake Wanadai hakuna mtu...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wengine wakitupa watoto ama kutoa mimba.. Kuna wanaoiba watoto ili nao waitwe mama

    Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kutoa mimba

    Kuna jamaa mwanamke wake katoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana Leo anamwambia anaumwa tumbo anataka waende hospital akatibiwe hio changamoto au atume hela
  4. dogman360

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

    Demu wako/mke wako/mchepuko akikwambia ana mimba muamini 100% ila anakua tu anataka kutoa.baadae utaskia nlikuwa nataka tu kuona utakavyo nijibu . . Wadau skuizi wanawake wanajua kutoa mimba yaani kuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
  5. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Aliyegundua kidonge cha kutoa mimba afariki dunia

    Mwanasayansi wa Ufaransa Étienne-Émile Baulieu aliyetengeneza kidonge cha kutoa mimba amefariki akiwa na umri wa miaka 98. Mwanasayansi huyo alisaidia kutengeneza dawa ya kumeza ya RU-486, ambayo pia inajulikana kama mifepristone, ambayo imewapa mamilioni ya wanawake ulimwenguni kote njia...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Jamani acheni kujihusisha katika kutoa mimba

    Mnaua kiumbe kilichoanza uhai ndani ya mfuko huo ambapo ndipo haki yake ilipo. Usitoe uhai kwa maana tu uliteleza Usitoe uhai kwa sababu unajisikiaga raha ukiwa haujavaa kondomu. ABORTION IS SATANIC
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeweza kujihatarisha yeye mwenyewe Kwa kutoa mimba muogope kama ukoma!

    Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke. Hapo Sasa ndo ataanza kushituka. Ukweli ni kwamba mwanamke anayeweza kumeza vidoge(dawa) Ili au kiumbe kilicho ndani ya tumbo lake mwenyewe ni wakugopwa...
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau; anasameheka mke aliyekuzunguka na kwenye kutoa mimba Yako?!!

    Yamenikuta mwenzenu. Hapa naandika talaka, tena KWA HERUFI KUBWA!!
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Rappers wa kike wa Mbele "mamtoni" wengi ni pisikali halafu huku kwetu Rappers wa kike wanajifanya ni majike dume?

    Kwema Wakuu! Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja. Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa. Wanamapozi ya kike, wanajichetua...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kutoa mimba ni kosa?

    Watu wengi wakiulizwa kuhusu kutoa mimba wanasema hoo sijui unaua kiumbe Cha Mungu. Sasa Nina maswali. 1. Mtoto anaanza kuwa na mawazo na viungo muhimu na maumivu katika miezi mitatu ya mwisho. 2. Hamna mtu anakumbuka chochote kabla ya kuzaliwa this shows haukuwa unaishi ndo maana hatuhesabu...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Guinea: Madaktari wafungwa miaka 35 kwa makosa ya Kubaka, Kuua na Kutoa Mimba

    Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari hao walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia mwaka 2021. Waliohukumiwa ni Daniel na Patrice Lamah ambao wamepea kifungo cha miaka 15 jela na...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kutoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama wa marehemu

    Mabinti wengi wanatoa mimba kwa sababu mbalimbali za msingi, lakini sio za msingi sana ukilinganisha na thamani ya uhai wa mtu unayeenda kumuua. Kibaya ambacho wanakikwepa mabinti na wanawake ni kutokuwa na mtoto kwa wakati huo, lakini Ukitoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Marekani: Democrats kampeni yao ni ya kuruhusu ushoga/LGBT na uhuru wa kutoa mimba.

    Mwanadada huyu hapa ana furaha sana mgombea wa Democratic ameshinda kwenye jimbo lake kwa hiyo anafurahia kwenye jimbo hilo kutoa mimba itakuwa ni ruhusa! Alikuwa na wasiwasi kuwa kama angeshinda mgombea wa Republican, utoaji mimba ungepigwa marufuku kwenye ji,mbo lake!! “We won!” That was...
  14. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya kutoa mimba ya miezi mitatu

    Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela. Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu. Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dar: TMDA yakamata dawa ambazo hazijasajiliwa, zimo za Kutoa Mimba & za kuongeza Nguvu za Kiume

    MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki imekamata vifaa tiba na dawa ambazo hazijasajiliwa zenye thamani ya Sh. milioni 294.4. Bidhaa hizo zimekamatwa kufuatia ukaguzi maalum, uliofanyika eneo la Mtaa wa Kitumbini katika Kata ya Mchafukoge katikati ya Jiji la Dar es Salaam...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dawa za Flagyl zatumika kiholela kuzuia, kutoa mimba

    Imebainika kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo. Hatua hiyo inakuja kutokana na baadhi ya maduka ya dawa hivi sasa kutaka vyeti vya daktari ili kuuza dawa za kutolea...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mpenzi wangu niliyemuacha baada ya kugundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, amekuja nyumbani kunifanyia fujo akisema simtunzi mtoto

    Ndugu wanajamvi nawasalimu! Niliwahi kuleta uzi humu kuwa nilimuacha mchumba wangu nilipogundua aliwahi kutoa mimba. Mimba zaidi ya tatu akiwa chuo kikuu. Amefika kufanya fujo nyumbanu last week huku akizusha vitu ambavyo si vya kweli. Anasema nina mtoto naye wa miaka 2 kitu ambacho ni uongo...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mke wa Mtu auawa na mchepuko wake baada ya kutoa mimba ya mchepuko

    MWILI wa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Teddy Mallya mkazi wa Ilboru Kisiwani, Arumeru mkoani Arusha umekutwa umetupwa kwenye shamba la migomba akiwa mtupu na baadhi ya majeraha mwilini ikiwemo ya kung’atwa na meno huku akidaiwa kuuawa na hawara yake (mchepuko). Mwili huo ulipatikana jana...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

    Helloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, tena mimba mbili. Kwa alivyo mpole sikumdhania kabisa, amemaliza chuo mwaka huu na AME graduate...
  20. raiswenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafanyaje ukigundua mimba yako ilitaka kutolewa ili usizaliwe?

    Umeshakuwa mtu mzima sasa unajitambua, harakati za maisha zinaendelea kama kawaida, mara unakuja kugundua kuwa wewe ni abortion survivor, mama yako alitaka kuitoa mimba yako. Na wahusika ni baadhi ya ndugu unao ishi nao. How will you react? Iko hivi nakumbuka nilikuwa kwenye...
Back
Top Bottom