vifaranga

  1. D

    Experience ya kulea vifaranga vya kuku

    Asalaam wana JF, Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea with less mortality. This will be like my Diary so keep yourselves updated 11/04- nilivifata kwa...
  2. MRBIASHARA

    Kwanini vifaranga vingi hufia kwenye mayai?

    (Dead in shell cases)😔⁉️ ▪️Hii ni changamoto kubwa ambayo, wafugaji wanaotumia viangulizi (Incubators) hukumbana nayo siku 21 baada ya kuweka mayai kwenye Incubators. ▪️Wafugaji na watumiaji wengi wa incubators hudhani kwamba, vifo vya vifaranga ndani ya mayai hutokana na maambukizi ya...
  3. MRBIASHARA

    Tunauza taa za joto za kulelea vifaranga. (heat infrared light bulb)

    TUNAUZA TAA ZA JOTO ZA KULELEA VIFARANGA. (HEAT INFRARED LIGHT BULB) ●Hutoa mwanga mwekundu ambao husaidia kupunguza stress kwa vifaranga na kufanya ale vizuri. ●Taa moja hulea vifaranga 100 hadi 150. ●Huzalisha joto la kutosha hivyo humfanya kifaranga wako kufurahia maisha. ●Hudumu muda mrefu...
  4. Suip

    Yaliyowakuta Vifaranga vyangu vya kuku baada ya Chanjo ya kideri

    Nina kuku wakubwa ambao nawatumia kama wazazi,pia nina vifaranga wa takriban miezi 3 na nusu,mara mwisho niliwapa chanjo ya kideri tar. 20.8.2023 na hapa kati nilikuwa na vifaranga wengine wapatao 40 wenye umri wa mwezi moja ambao niliwapa chanjo ya kideri juzi tar. 4.12.2023 ikiwa ni pamoja na...
  5. Snapdragon 8

    Vifaranga vya Kuroiler F1 Vinahitajika Singida

    Habari wanajamii forum nahitajo Vifaranga vya kuku aina ya kuroiler kuanzia wiki nne nipo singida
  6. U

    Vifaranga vinatolewa kwenye bruda/duara ya silingi bodi

    Habari wanajf,ningependa kujua ni lini vifaranga vinatakiwa vitolewe kwenye BRUDA au lile Duara la silingi bodi linalotumika kuhifadhi joto kwa vifaranga ,ninaomba mnielimishe.Nimeambatanisha na kielelezo hapa chini
  7. Burhani Khaled

    Je Kuku aina ya Malawi huatamia na kuangua vifaranga?

    Habarini ya kazi. Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia mayai?
  8. BwanaSamaki012

    Kwa wale wapenzi wa ufugaji wa Samaki, Vifaranga vya Sato vinapatikana

    Habari za wakati huu? Hii ni kwa wale wote wenye mapenzi au wanaovutiwa na shughuli za kilimo na ufugaji hususani ufugaji wa samaki Tuna toa huduma ya kuuza Vifaranga/mbegu bora ya samaki aina ya Sato (Nile Tilapia) Mbegu zetu ni nzuri Sana kwanza kabisa wana-uniform size, samaki wanakuwa...
  9. N

    Tanzania kupunguza uagizaji vifaranga nje ya nchi

    Mwaka 2022/2023 Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imewezesha uwekezaji wa shamba la kuzalisha kuku wazazi halisi (Grandparent Stock) lenye uwezo wa kufuga kuku 60,000 na kuzalisha mayai ya kuku wazazi halisi 40,000 kwa siku, uwekezaji huu utapunguza uagizaji wa vifaranga nje ya nchi...
  10. U

    Vifaranga vya kuku viwekewe majiko ya kuvipa joto hadi umri gani?

    Ndugu wanajf na wafugaji wa kuku, hivi vifaranga vinatakiwa viwekewe chanzo cha joto hadi vifikishe umri upi?
  11. Brox

    Je, jogoo la sasso likipanda kuku wa kienyeji nitapata vifaranga vya sasso?

    Habar wakuu. Swali langu ni kwamba endapo nkichanganya jogoo la sasso na tetea wa kienyeji breed itakayo toka hapo ni ya sasso au laa.
  12. U

    Huu ni ugonjwa gani wa vifaranga vya kuku?

    Wanajf ninaomba msaada kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga vya kuku! Kwenye sehemu ya haja kubwa anatoa kinyesi laini mithili ya mapovu! Mwishowe mapovu hayo hukauka na kuwa magumu mwishowe vifaranga hudondoka na kuiaga dunia! Mwenye uelewa anisaidie, huo ni ugonjwa gani, unatibiwaje! MSAADA WA...
  13. C

    Kwa mahitaji ya vifaranga vya broiler wasiliana nasi

    Kwa mahitaji ya vifaranga vya broiler wasiliana nasi. kampuni Mkuza, Organia, kibo ofisi zetu zipo banana ukonga vifaranga wetu ni wazuri na afya njema week 4 unaingiza sokoni kwa sasa bei ni 160000 kwa box ila bei inabadilika kulingana na soko pia ukihitaji chotara wa pure kroiler wanapatika...
  14. saidoo25

    Vifaranga vilivyofia airpot kwa kukosa huduma vipo wapi kwa sasa?

    Hivi karibuni tulisikia vifaranga 60,000 vikiwa vimekufa kwa kukosa huduma kwenye uwanja wa ndege wa Dar baada ya kuingizwa nchini kinyume cha sheria na kutokuwa na vibali. Vifaranga hivyo ni mali ya Kampuni ya Phonex ya Mkuranga Mkoa wa Pwani swali je viko wapi kwa sasa vifaranga baada ya...
  15. saidoo25

    Vifaranga kwa maelfu vyachomwa moto awamu ya sita! uchokozi kwa Rais Samia

    VIFARANGA KWA MAELFU VYACHOMWA MOTO AWAMU YA SITA! UCHOKOZI WA RAIS SAMIA! 1.0 Utangulizi 1) Rais Samia Suluhu Hassan alimkashifu Hayati John Pombe Magufuli hadharani kwa eti kuchoma moto vifaranga. Mbaya zaidi, hii ilitokea mbele ya mgeni, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. 2) Ndio maana...
  16. saidoo25

    Kashfa ya vifaranga kufia Airport hadi sasa hakuna wa kuwajibika?

    KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii. Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
  17. S

    Laana ya vifaranga: Tutarajie mapigo kama mafuriko, ukame, njaa, tetemeko, n.k kama sio wahusika wenyewe kupata pigo la moja kwa moja

    Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja. Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda...
  18. peno hasegawa

    Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

    Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo,Herzon Nonga akionesha Vifaranga vya kuku wa mayai vilivyozuiwa kuingia nchini,kutokuwa na vibali na cheti cha afya katika kago ya mizigo ya uwanja wa ndege wa Juliasi Nyerere,jijini Dar es Salaam jana. Kukamatwa kwa vifaranga vilivyokuwa vikiingizwa nchini...
  19. BARD AI

    Vifaranga vya Ubelgiji vilivyokamatwa Airport Dar bado havijaondolewa

    Licha ya Serikali kuagiza vifaranga vya kuku 62,730 wa mayai vilivyoingizwa nchini virudishwe Ubelgiji, inadaiwa hadi sasa bado havijaondolewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Vifaranga hivyo vilivyoingizwa nchini Desemba 22 na kampuni ya Phoenix Farms Limited, vilizuiliwa...
  20. JanguKamaJangu

    Serikali yazuia vifaranga 62,730 vilivyoingizwa nchini kutoka Ubelgiji

    Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Hezron Nonga amesema wamezuia vifaranga 62, 730 vya kuku wa mayai kuingia nchini baada ya kubainika kutokuwa na vibali pamoja na cheti cha afya. Vifaranga hivyo ambavyo ni mali ya kampuni ya Phoenix Farms Limited ya Mkuranga...
Back
Top Bottom